AmeeenLissu ni shujaa wa Tanzania na mzalendo wa kweli kwa nchi yake kushindana naye ni kushindana na kusudi la Mungu utaaibika
Very painfulTabia hujenga mazoea. Ccm wameshazoea kuiba kura. Imeshakuwa tabia yao. Hawajawahi kushiriki kwenye ushindani wa kweli.
unaamini wewe kwasababu unaitwa Samiaagain2025Kuna logic fulani hapa.
Japo mimi naamini SAMIA ana nafasi kubwa ya kushinda.
Sijui uoga wa kumkamata umetokana na nini!!!!.
🤣🤣
Huku , mtaani wanasema lissu amepewa kesi ya uhaini Ili kupunguza Kasi ya wananchi kupewa elimu ya Uraia na lissu....Ukweli ndio huo.
Hata wananchi wa kawaida kwa namna mbalimbali wanakiri kwamba Lissu ni kiongozi na ana uwezo kuliko Samia.
Inawezekana kabisa hicho ndicho chanzo cha Tundu Lissu kusingiziwa uhaini, ili kumharibia rekodi yake asigombee.
Na CCM hawataki Reforms, na uchaguzi wenye haki, kwasababu mgombea wao ni mbovu, na hana uwezo ukimlinganisha na mgombea mtarajiwa toka upinzani.
Ni kweliUkweli ndio huo.

Ukweli ndio huo.

Mwitikio ni Mkubwa sanaUkweli ndio huo.
Hata wananchi wa kawaida kwa namna mbalimbali wanakiri kwamba Lissu ni kiongozi na ana uwezo kuliko Samia.
Inawezekana kabisa hicho ndicho chanzo cha Tundu Lissu kusingiziwa uhaini, ili kumharibia rekodi yake asigombee.
Na CCM hawataki Reforms, na uchaguzi wenye haki, kwasababu mgombea wao ni mbovu, na hana uwezo ukimlinganisha na mgombea mtarajiwa toka upinzani.
Umemaliza kabisaUkweli ndio huo.

Ukiangalia kwa umakini hii inaweza kuwa kweli.Usimsingizie samiah, Nchi hii haijawahi kuwa na kiongozi mwenye upeo kuzidi Tundu Lissu, hata nyerere namtoa. NO REFORM NO ELECTION
Uwezo wa kuongea wa Lissu ni mkubwa, hilo halina ubishi. Lakini kuongoza watu ni SUFURI. Siku chache tu baada ya kupata UWENYEKITI wa CHADEMA tumeona akifanya maamuzi ya kukisambaratisha chama.Ukweli ndio huo.