Samia amewadharau CHADEMA siyo kwamba ame paralyse kiuongozi.. Alileta 4R na mambo yakaanza kubadilika na Lissu mwenyewe akawa mnufaika mkuu wa 4R...tatizo Mama Samia ame-paralyze kiuongozi.
..wateule wake hawamsikilizi na hawamheshimu na yeye amekosa ujasiri wa kuwachukulia hatua.
..haiwezekani mambo yaende namna hii wakati Rais Samia amesema falsafa yake ni 4R. She is a total failure.
Ni SW KWA 100%Usimsingizie samiah, Nchi hii haijawahi kuwa na kiongozi mwenye upeo kuzidi Tundu Lissu, hata nyerere namtoa. NO REFORM NO ELECTION
Mbowe mnaempenda mlimpa kesi ya ugaidi.Ni kweli ana uwezo na kipaji kikubwa sana cha uropokaji na ukosefu wa busara.
Hilo lipo wazi halihitaji uwe na degreeUkweli ndio huo.
Hata wananchi wa kawaida kwa namna mbalimbali wanakiri kwamba Lissu ni kiongozi na ana uwezo kuliko Samia.
Inawezekana kabisa hicho ndicho chanzo cha Tundu Lissu kusingiziwa uhaini, ili kumharibia rekodi yake asigombee.
Na CCM hawataki Reforms, na uchaguzi wenye haki, kwasababu mgombea wao ni mbovu, na hana uwezo ukimlinganisha na mgombea mtarajiwa toka upinzani.
Na Mbowe aliepewa kesi ya ugaidi na Samia ilikuaje.Samia amewadharau CHADEMA siyo kwamba ame paralyse kiuongozi.. Alileta 4R na mambo yakaanza kubadilika na Lissu mwenyewe akawa mnufaika mkuu wa 4R.
Sasa Lissu alipoanza dharau na matusi, dola ikamuambia Samia kaa pembeni, tuache tu deal na wahuni.
Sometimes kwenye uongozi unakuja na ile style ya kumchinja ngamia. Ukitaka kumchinja ngamia siyo lazima umuelekeze "kibra", bali unachinja kuelekea kulekule aliko lalia.
Lissu amekuja kibabe, na dola imemjibu kibabe period. Tusubiri Mahakama
Tundu anaweza kuwa Waziri Mkuu tu lakini kwa URAIS ni BIG NO. Watu wa type yake wanaojiamini kuwa wanajuwa kila kitu huwa hawa MAKE GOOD PRESIDENCY.Ukweli ndio huo.
Hata wananchi wa kawaida kwa namna mbalimbali wanakiri kwamba Lissu ni kiongozi na ana uwezo kuliko Samia.
Inawezekana kabisa hicho ndicho chanzo cha Tundu Lissu kusingiziwa uhaini, ili kumharibia rekodi yake asigombee.
Na CCM hawataki Reforms, na uchaguzi wenye haki, kwasababu mgombea wao ni mbovu, na hana uwezo ukimlinganisha na mgombea mtarajiwa toka upinzani.
Kukinukisha ni nini? Uasi ni nini?Vipi kuhusu kusema watafanya uasi na kukinukisha??
Yule siyo mwana siasa.Kuna logic fulani hapa.
Japo mimi naamini SAMIA ana nafasi kubwa ya kushinda.
Sijui uoga wa kumkamata umetokana na nini!!!!.
You are right.....kuna mtaalam wa Psycholojia amesema Tundu Lissu ni Msafisha njia. Yupo Mtu nyuma yake anakuja kuwa Rais Soon.Tundu anaweza kuwa Waziri Mkuu tu lakini kwa URAIS ni BIG NO. Watu wa type yake wanaojiamini kuwa wanajuwa kila kitu huwa hawa MAKE GOOD PRESIDENCY.
Huyu Tundu ni mzuri kwa kutumwa ila siyo kuwa mtu wa mwisho kwenye maamuzi.
Kwa kuwaza utumbo hujambo. Toka alipochaguliwa alikaa mda gani na mkamkamata lini?Uwezo wa kuongea wa Lissu ni mkubwa, hilo halina ubishi. Lakini kuongoza watu ni SUFURI. Siku chache tu baada ya kupata UWENYEKITI wa CHADEMA tumeona akifanya maamuzi ya kukisanbaratisha chama.
Pili ni mtu ambaye anaweza kuuza mchi kwa ajili ya madaraka. Angalia ambavyo anatetewa na Bunge la Ulaya, huku wazungu wakiwa na ahadi/ sharti la kueneza ushoga.
Uongozi ni busara, hekima, utulivu na kukubali kushauriwa, vitu hivi Lissu hana
Tundu Lissu nadhani ana uwezo mkubwa sana wa kuongea lugha za ovyo,sizizo za kiungwana wala ustaarabu na za kishenzi.Saa nyingine utajiuliza hivi kweli ni mtaznzania mwenzetu huyu ? Mnaendelea kumtia bichwa halafu mnamuacha gerezani anaingia peke yake.Ukweli ndio huo.
Hata wananchi wa kawaida kwa namna mbalimbali wanakiri kwamba Lissu ni kiongozi na ana uwezo kuliko Samia.
Inawezekana kabisa hicho ndicho chanzo cha Tundu Lissu kusingiziwa uhaini, ili kumharibia rekodi yake asigombee.
Na CCM hawataki Reforms, na uchaguzi wenye haki, kwasababu mgombea wao ni mbovu, na hana uwezo ukimlinganisha na mgombea mtarajiwa toka upinzani.
Nyerere na Lissu wako on par kwenye upeo, tofauti kidogo iliyopo kati yao ipo kwenye vipengele vichache ndani ya falsafa zao. Mtazamo wangu tu.Usimsingizie samiah, Nchi hii haijawahi kuwa na kiongozi mwenye upeo kuzidi Tundu Lissu, hata nyerere namtoa. NO REFORM NO ELECTION
Ukweli ndio huo.
Hata wananchi wa kawaida kwa namna mbalimbali wanakiri kwamba Lissu ni kiongozi na ana uwezo kuliko Samia.
Inawezekana kabisa hicho ndicho chanzo cha Tundu Lissu kusingiziwa uhaini, ili kumharibia rekodi yake asigombee.
Na CCM hawataki Reforms, na uchaguzi wenye haki, kwasababu mgombea wao ni mbovu, na hana uwezo ukimlinganisha na mgombea mtarajiwa toka upinzani.
YesUkweli ndio huo.

Wewe hapo ulivyo ni sababu ya Ulaya kuueneza huo ushoga!!?Uwezo wa kuongea wa Lissu ni mkubwa, hilo halina ubishi. Lakini kuongoza watu ni SUFURI. Siku chache tu baada ya kupata UWENYEKITI wa CHADEMA tumeona akifanya maamuzi ya kukisanbaratisha chama.
Pili ni mtu ambaye anaweza kuuza mchi kwa ajili ya madaraka. Angalia ambavyo anatetewa na Bunge la Ulaya, huku wazungu wakiwa na ahadi/ sharti la kueneza ushoga.
Uongozi ni busara, hekima, utulivu na kukubali kushauriwa, vitu hivi Lissu hana
Kuwa na MBA au Ph.D hakukufanyi kuwa na akili, uwezo, hekima, busara.Nani kakuambia kujua sheria ndiyo uwezo wa uongozi?? Kwa taarifa yako nina MBA na nimewahi kuongoza taasisi kubwa nchini.
Ogopa sana watanzania, unawezakuta hao uliowahoji walikuwa wanakuchengesha bwege tu.......subiri kwenye kura ndo utajua.Ukweli ndio huo.