Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Mbona wanachadema chakavu mnakuwa wakali sana likitajwa hilo swala wakati wameliweka wazi kabisa wenyewe?!!!!🤣🤣🤣Wewe hapo ulivyo ni sababu ya Ulaya kuueneza huo ushoga!!?
Mbona mmpo wengi na kitambo kabla hata haya mambo ya EU!!??
Hao mashoga wa dar, Mombasa, Tanga na Zanzibar nao wametengenezwa na lissuUwezo wa kuongea wa Lissu ni mkubwa, hilo halina ubishi. Lakini kuongoza watu ni SUFURI. Siku chache tu baada ya kupata UWENYEKITI wa CHADEMA tumeona akifanya maamuzi ya kukisanbaratisha chama.
Pili ni mtu ambaye anaweza kuuza mchi kwa ajili ya madaraka. Angalia ambavyo anatetewa na Bunge la Ulaya, huku wazungu wakiwa na ahadi/ sharti la kueneza ushoga.
Uongozi ni busara, hekima, utulivu na kukubali kushauriwa, vitu hivi Lissu hana
Hili mbona liko wazi na wala tusipoteze muda kumlinganisha yule bibi na Lissu; kwa hakika tusimlinganishe Lissu na takataka yoyote fisiemu, yale yote mapanya tuUkweli ndio huo.
Hata wananchi wa kawaida kwa namna mbalimbali wanakiri kwamba Lissu ni kiongozi na ana uwezo kuliko Samia.
Inawezekana kabisa hicho ndicho chanzo cha Tundu Lissu kusingiziwa uhaini, ili kumharibia rekodi yake asigombee.
Na CCM hawataki Reforms, na uchaguzi wenye haki, kwasababu mgombea wao ni mbovu, na hana uwezo ukimlinganisha na mgombea mtarajiwa toka upinzani.
Hapo sawa, naafikiYou are right.....kuna mtaalam wa Psycholojia amesema Tundu Lissu ni Msafisha njia. Yupo Mtu nyuma yake anakuja kuwa Rais Soon.
Na wewe je ushoga wako umetengenezwa na nani?Hao mashoga wa dar, Mombasa, Tanga na Zanzibar nao wametengenezwa na lissu
📌 🔨🔨🔨Kuwa na MBA au Ph.D hakukufanyi kuwa na akili, uwezo, hekima, busara.
Viongozi wengi wa taasisi kubwa ni wenye vyeti vingi na vizuri, lakini kichwani na utendaji ni zero.
Kama makaratasi yanayoitwa vyeti waliyonayo Watanzania yangekuwa na msaada kwenye kutatua changamoto za Mtamzania, basi Tanzania ingekuwa zaidi ya Norway.
Nenda kasome tena mafaili ya kesi. Samia ameingia amekuta kuna matukio ya "ugaidi" ya miezi ya Octoba- Novemba 2020 yanayomhusu Mbowe. Na kuthibitisha hivyo Mbowe mwenyewe hakuwa nchini hadi Magufuli alipofariki ndiyo akarudi. Kwa hiyo lugha ya Samia alimpa Mbowe kesi ya ugaidi siyo sawaNa Mbowe aliepewa kesi ya ugaidi na Samia ilikuaje.
Hiyo hainihusu, nina MBA na nilikuwa kiongozi na nilifanikiwaKuwa na MBA au Ph.D hakukufanyi kuwa na akili, uwezo, hekima, busara.
Viongozi wengi wa taasisi kubwa ni wenye vyeti vingi na vizuri, lakini kichwani na utendaji ni zero.
Kama makaratasi yanayoitwa vyeti waliyonayo Watanzania yangekuwa na msaada kwenye kutatua changamoto za Mtamzania, basi Tanzania ingekuwa zaidi ya Norway.
Mjinga ni mjinga tu, hata siku moja inatosha kumtambua. Haihitaji miaka 10Kwa kuwaza utumbo hujambo. Toka alipochaguliwa alikaa mda gani na mkamkamata lini?
Mzungu anasingiziwa mambo mengi sanaHao mashoga wa dar, Mombasa, Tanga na Zanzibar nao wametengenezwa na lissu
😀😀Kwa kuwaza utumbo hujambo. Toka alipochaguliwa alikaa mda gani na mkamkamata lini?
Ndugu mimi naishi magomen huku ni waislam pure ila hali ya madawa ya kulevya na ushoga inatishaMzungu anasingiziwa mambo mengi sana
Chonji si alikamatwa? Hiyo mitaa kwa ushoga ni hatariNdugu mimi naishi magomen huku ni waislam pure ila hali ya madawa ya kulevya na ushoga inatisha
Kinachowaponza chama kikongwe ni kuishi kwa mazoea. Matokeo yake wametengeneza kundi kubwa lisilo na uwezo wa kujibu hoja. Kwa sababu wanategemea usaidizi wa vyombo vingine vya dola wamekua wavivu wa kujifunza, wavivu wa kubadilika kulingana na nyakati na zaidi sana wamejaa kibri kana kwamba wananchi ni walewale wa 1960s.Ukweli ndio huo.
Hata wananchi wa kawaida kwa namna mbalimbali wanakiri kwamba Lissu ni kiongozi na ana uwezo kuliko Samia.
Inawezekana kabisa hicho ndicho chanzo cha Tundu Lissu kusingiziwa uhaini, ili kumharibia rekodi yake asigombee.
Na CCM hawataki Reforms, na uchaguzi wenye haki, kwasababu mgombea wao ni mbovu, na hana uwezo ukimlinganisha na mgombea mtarajiwa toka upinzani.
Chonji yuko nyuma ya nondoChonji si alikamatwa? Hiyo mitaa kwa ushoga ni hatari
Hilo lipo waziUkweli ndio huo.
Hata wananchi wa kawaida kwa namna mbalimbali wanakiri kwamba Lissu ni kiongozi na ana uwezo kuliko Samia.
Inawezekana kabisa hicho ndicho chanzo cha Tundu Lissu kusingiziwa uhaini, ili kumharibia rekodi yake asigombee.
Na CCM hawataki Reforms, na uchaguzi wenye haki, kwasababu mgombea wao ni mbovu, na hana uwezo ukimlinganisha na mgombea mtarajiwa toka upinzani.
Hebu tutajie hizo lugha za ovyo na zisizo za kiungwana nasisi tuzijue?Tundu Lissu nadhani ana uwezo mkubwa sana wa kuongea lugha za ovyo,sizizo za kiungwana wala ustaarabu na za kishenzi.Saa nyingine utajiuliza hivi kweli ni mtaznzania mwenzetu huyu ? Mnaendelea kumtia bichwa halafu mnamuacha gerezani anaingia peke yake.
Umemuonea sana Samia. Samia si wa kumfananisha na Tundu Lissu. Mfananishe na Kigala,John Mrema au Mwaimu.Ukweli ndio huo.