PreGE2025 Muitikio wa wananchi huko field ni kwamba Tundu Lissu ana uwezo na kipaji kuliko Samia Suluhu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

..anapozungumzia udhalimu wa Ccm ndipo hutumia lugha ngumu, lakini stahiki.

..tatizo Ccm mko madarakani halafu hamtaki kuambiwa makosa yenu, au yakifanyika mambo ya kishenzi mnataka wananchi wasitoe hisia zao.
 
Ukweli umekua adui yao wa kudumu. Hii sio sawa.
 
Kuna wakati ukimsikiliza Samia unaona kabisa kama nchi tumefeli na hatuna succession plan ya uongozi wa juu
 
Uwezo wa kuongea wa Lissu ni mkubwa, hilo halina ubishi. Lakini kuongoza watu ni SUFURI. Siku chache tu baada ya kupata UWENYEKITI wa CHADEMA tumeona akifanya maamuzi ya kukisambaratisha chama.
Ni ama hujui ulichokiandika au unafanya makusudi.
 
..hapana.

..4R hazikuwa kwa ajili ya Chadema, ni kwa ajili ya nchi.

..ukisema Samia ameachana na 4R kwasababu ya Lissu, au Chadema, unadhihirisha kuwa Raisi ana upeo mdogo sana wa kiuongozi.
 
Ni kweli kwenye mikutano ya Chadema Lissu anakubalika kuliko Samia.
Lakini si kweli kwamba hata kwenye mikutano ya CCM Lissu anakubalika kuliko Samia.

..ukiwaweka pamoja Lissu anamfunika Samia.

..niambie ni jambo gani ktk uongozi unaweza kufikiria kwa haraka haraka unadhani Samia ana ufahamu nalo kuliko Tundu Lissu.
 
Unamzungumzia Lisu yupi? Mtu haongozi kwa matakwa yake anaongoza kwa matakwa ya katiba bora ambayo mpaka sasa imewekwa kwapani
 
Lisu ni zaidi ya chama chote cha kijani.
 
..ukiwaweka pamoja Lissu anamfunika Samia.

..niambie ni jambo gani ktk uongozi unaweza kufikiria kwa haraka haraka unadhani Samia ana ufahamu nalo kuliko Tundu Lissu.
Labda mipasho ya kwenye taarab!
Hapo sa100 ni nguli nadhani ndiko alikopatia ile PhD yake!.
 
Huwezi fananisha huyo parang kilaza aliyepata urais kama dodo kwa kifo cha magufuli.
Tokea ajiunge kwenye siasa hajawahi kushinda kwa kupigiwa kura kwenye nafasi yeyote. Nafasi zote alizopitia ni za uteuzi nafasi za kuvuliwa chupi
Hata hii nafasi ya kugombea sasahivi amepitishwa kimagumashi.
Lisu ni mwamba kumfananisha na huyo kibwengo ni Kama kufananisha mbingu na ardhi
 
Ni ama hujui ulichokiandika au unafanya makusudi.
Nasimama na kauli yangu, Lissu ni mtu wa kutumwa tu, siyo mtu wa kuachiwa hatma ya mwisho ya Taasisi yeyote. Ni sawa na kukakia bomu la kulipuka
 
..hapana.

..4R hazikuwa kwa ajili ya Chadema, ni kwa ajili ya nchi.

..ukisema Samia ameachana na 4R kwasababu ya Lissu, au Chadema, unadhihirisha kuwa Raisi ana upeo mdogo sana wa kiuongozi.
Ni maoni yako kadri ya ufupi wa akili yako. Kama huoni kazi kubwa aliyoifanya huku akiwavumilia wahafidhina na wanaomkejeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…