Muliro: Tunafuatilia taarifa za Polepole kutekwa ila alisema hayupo nchini amerudi lini?

Akili zenu ndogo sana yule mwana kapachikwa kwenu mwanajeshi mkaamini ni kweli mkamuamini kumbe mtu yupo kwenye mission, askari gani anapindua nchi anatuma barua? lakini sababu uelewa mdogo wa kijasusi mkaingia choo cha kike. Hamjiulizi tu yupo wapi?
Qumma wewe
 
JF mnazingua mna edit comment sio vizuri kabisaaa...
 
Kazi kwelikweli.
 
Hivi yule msanii anaitwa sijui Z-ANTO alifanikiwa kukupata kweli? maana kwenye ngoma ulikuwa humuelewi...
 
Itakuwa ni kosa kubwa mno la kiufundi kama hawa CCM mtandao wataamua kumuua.
 
Watu kama min -me unadhani wewe hujulikani ni nani??Nenda kasome shule....Nimeona ni mjinga fulani ila unajulikana tayari....
 
Aliingiaje nchini bila Immigration kujua? au alitumia usafiri wa majahazi toka Cuba akaingia nchini kwa njia za panya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…