Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,306
- 14,632
Hoja yako ni kweli tupu pia hujanielewa kido tu, huo utekaji ndio niliomaanisha uchafuzi kwa sababu kufanya mambo ambayo yanajulikana fika ni makosa kwa wananchi, hii ndiyo inasababisha watu kutamani machafuko yatokee nchini ili kuondoa utawara usio na haki kwa watu wote, ila sidhani kunamtu anatamani machafuko yatokee nchini ila ni kwa kuwa inalazimu kuwa hivyo.Shida inakuja tumekariri kuwa hayo machafuko ni kupitia maandamano tu na tena yaliyopangwa na tarehe maalumu kabisa, binafsi siamini kabisa katika hayo maandamano maana naona asili ya kufanikiwa kwake kuweza kufanyika ni ndogo sana na yakishindikana basi yatazidi kukatisha tamaa.
Kilichofanyika kwenye mabasi na vituo vya mwendokasi hakikuwa kimepangiwa siku maalumu ila kilifikisha ujumbe vizuri sana.
wanliomteka ndo wamezingua , HP ana haki ya kuishi Tz
watuhumiwa ndo hao waliomtekaAcha akatoe ushahidi kwanza ili akitoka huko watuhumiwa mahakaman kabisa maan anaonekana ana mengi sana anayajua
Wacha ujinga wako wewe. Una mawazo ya kizamani sana na ungejua kilicho nyuma ya pazia ungejiaharishia.Sasa mnataka kupindua nchi halafu mnalia.....ilikuwa inakuja tu kaanza mzee jana katoa kila kitu bado mzee Warioba hamshangai yupo kimyaa. Hakuna mtu akatukana serikali personal majina ya watu na wafanya biashara wakubwa akabaki salama.
Ni kweli mummy. Wakati wa vita ya ukombozi huombolezi.Sio muda wa kuendelea kushangaza Sasa bali ni muda wa kuingia barabarani Kila mtu Kwa umoja wetu.
Mkuu hawa watu wamelewa madaraka hivyo akili zao haziko sawa.Muliro bwana!
Majibu ya Muliro yako personal sana, Anapaswa tu kujibu amepokea taarifa na wanafanyia kazi. Hayo anayomuuliza mwandishi anaonesha wazi ana kitu dhidi ya Polepole, Of which kama mkuu wa jeshi la polisi hatakiwi kuwa na kitu against Polepole, ethical-wise. Polepole sio muhalifu ina a bigger picture.
Polisi akiwa ana itikadi ya chama ndio inapelekea hivi anavyobehave MuliroMuliro bwana!
Majibu ya Muliro yako personal sana, Anapaswa tu kujibu amepokea taarifa na wanafanyia kazi. Hayo anayomuuliza mwandishi anaonesha wazi ana kitu dhidi ya Polepole, Of which kama mkuu wa jeshi la polisi hatakiwi kuwa na kitu against Polepole, ethical-wise. Polepole sio muhalifu ina a bigger picture.
Wewe mwenye akili hebu tuambie, ungekuwa wewe ndio Rais wa nchi ungemfanya nini huyu jamaa.Wacha ujinga wako wewe. Una mawazo ya kizamani sana na ungejua kilicho nyuma ya pazia ungejiaharishia.
Kama hawakuweza kulinasa tukio lote kwenye CCTV nitashangaa sana. Nasikia walipiga risasi camera, lakini kwa mtu mtaalam anayejua ku-set CCTV camera, anaweka bosheni na halisi. Unazificha kila kona... Na pia alitakiwa awe amejijengea safe room.. au huwa wanaita panic room. Unaweka mlango wa chuma cha pua na mawasiliano ndani. Mtekaji ahitaji muda na zana imara kuvunja mlango. BTW kila wanapoteka wanaacha mchirizi wa ''damu'' kwa nini? Huwa wanakuja na nyundo na kufanya mauaji hapo hapo na kuacha damu ili kutishia wengine? Au huwa wanakuja na damu ya ng'ombe wanamwaga ili kufanya watu wadhani ameshafariki kwa kipigo?Mkuu wa wilaya anajua, Mkuu wa polisi hajui Hana habari? Hii nchi salama kweli?
Na Kagame anasikia haya maneno, are we sucure? Hivi kuna investor akisikia haya anajiona comfortable?
Hawa hawana itikadi yoyote. Ni matumbo yao tu. Ukisema wana itikadi ni kama kuishushia hadhi itikadi.Polisi akiwa ana itikadi ya chama ndio inapelekea hivi anavyobehave Muliro
Mahakama ziko za nini? Kama ana makosa kwa nini asipelekwe mahakamani? Subiri tu haya yana mwisho mbaya sana kwa Samia.Wewe mwenye akili hebu tuambie, ungekuwa wewe ndio Rais wa nchi ungemfanya nini huyu jamaa.
Muliro ni mwanachama wa CCM ndio maana sio mzalendo linapokuja Mambo yanayohusiana na siasa umeshasahau huyu ndio alikuja na kauli ya kuwa watu wanajitekaHawa hawana itikadi yoyote. Ni matumbo yao tu. Ukisema wana itikadi ni kama kuishushia hadhi itikadi.
Najua lakini hawa wote walio CCM hawako huko kwa sababu ya itikadi. Ni matumbo yao tu. Mtu kama Nyerere ndiyo unaweza kusema alikuwa na itikadi.Muliro ni mwanachama wa CCM ndio maana sio mzalendo linapokuja Mambo yanayohusiana na siasa umeshasahau huyu ndio alikuja na kauli ya kuwa watu wanajiteka
Sijakwambia Samia, nimekwambia wewe ungefanya nini?Mahakama ziko za nini? Kama ana makosa kwa nini asipelekwe mahakamani? Subiri tu haya yana mwisho mbaya sana kwa Samia.
Sasa haraka ya nini, ndio kwanza kashikwa subiri siku akipelekwa mahakamani mbio speed.Mahakama ziko za nini? Kama ana makosa kwa nini asipelekwe mahakamani? Subiri tu haya yana mwisho mbaya sana kwa Samia.
Si ndugu yake kasema ana chip, sasa anashindwa kusema yupo wapiKama hajui alipo Polepole ampigie simu kumuuliza Mafwele au Abdul.
I am not a murderer, and that means I would have sought justice through the court of lawSijakwambia Samia, nimekwambia wewe ungefanya nini?
For clarification, he was not arrested. He was abducted during the night, which is both illegal and a violation of the law.Sasa haraka ya nini, ndio kwanza kashikwa subiri siku akipelekwa mahakamani mbio speed.
Sio wote wapo CCM kimaslahi wengine huwa wanarithi kupitia wazazi wao usikariri maana sisi wote hatujui chimbuko la Muliro lilikuaje mpaka akawa ni mwanaccmNajua lakini hawa wote walio CCM hawako huko kwa sababu ya itikadi. Ni matumbo yao tu. Mtu kama Nyerere ndiyo unaweza kusema alikuwa na itikadi.