Kuna jamaa yangu alishawahi kaa na mke aina hiii alikuwa anamsumbua sana jamaa maana jamaa kutwa kumez panadolHahaha
Ninavyojijua hiiiiiiiKuna jamaa yangu alishawahi kaa na mke aina hiii alikuwa anamsumbua sana jamaa maana jamaa kutwa kumez panadol
Kuna siku mke akamwambia mme wake anataka kwenda fiesta,jamaa kmkataaza mke akaenda na wenzake
Kibishi....
Jamaa akaniambia nkamwqmbia kama umemkataza kapuzia we achana naye,faster nkaenda kwake na fundi kubadili komeo na vitasa vya mlango kuingiliaa
Ile ndy ilikuwa one way ticket yake
Alirudi kesho yKe asubuhi kila akifungua olaaaaa
Ikawa imetokaaa
Ova
Ni nature na utaratibu wa Afrika, ndo maana nyie hamtoi mahari wala hamuoi bali mnaolewaLakini na nyie kwanini kumzuia mwenzako asiende kwenye shoo kitu roho inapenda?
Kwanini mnataka kusikilizwa nyie tu, kwanini wake zenu hamuwasikilizi?
Yy hakuwa na ratiba ya kwenda hukoKwanini wasingeenda wote mwanaume tumeshaambiwa tuishi nao wanawake kwa akili na sio mabavu, kwanini hakumshauri bibie waende wote shida ipo wapi kuna watu ni hasara sana kwa taifa
Unatoa million 4 kununua glock,una ka ist,umepanga,unasubiri mshahara mwisho wa mwezi.Iyo 4M si uinvest hata kwenye duka la vyombo au mtumbaWale wanangu wa glock nlishawaambi kumiliki hiyo ussue ni kama kufuga jini ndani
Anyway apumzike aliefariki
Hakika umenena, nashukuru Mungu hajanipa mapenzi kipumbavu, eti nijiuwe kisa mke, aondoke tena kwa amani, niendelee na maisha yangu.Kupata mwanamke anaekusikiliza na kukuheshimu kama baba yake ni baraka kubwa sana ambayo wengi wanaikosa katika kizazi hiki, Asante Mungu.
Muda mwingine sisi wanaume tunashindwa kusimamia uanaume wetu, hivi Mungu kakujalia Pesa na afya ya nini kung'ang'ania mwanamke anaekuumiza akili?? Najua mapenzi yanauma na pengine labda kuna watu wapo humu jf muda huu wanapitia fukuto la mahusiano, nawashauri mfanye maamzi ya kiume kabla hamjachelewa.
"Every woman in any given reletionship, is taken as the man's project".
Project imekushinda, achia wengine wahangaike nayo kwanini uumie?
Amekula jeuri yakeWakuu story ni kwamba huyu jamaa kwenye picha amemuua huyo mkewe usiku wa kuamkia leo huko Mwanza ikidaiwa ni baada ya kumkataza mkewe asiende kwenye show ya Mondi.
Baada ya kumwambia asiende kwenye hiyo show ya Nasib Abdul, mke akakaidi akaenda.
Jamaa amempiga risasi saba za kichwa na inasemekana na yeye kajiua japo maiti yake haijaonekana.
Ila na nyie Wanawake mpunguze visirani. Inaonesha jinsi huyu Marehemu alikuwa mkaidi na hamsikilizi Mme wake.
Mme kakuambia sitaki uende pahala fulani then wewe unakaidi ni nini kama sio dharau na kiburi?
By the way anything else Happen for a reason.
RIP Binti MzuriView attachment 2243941
View attachment 2243573
View attachment 2243574
Katumia risasi vibaya angechomeka pasi kwenye soketi angeanza kunyoosha kwenye mapaja hadi kwenye papa inayomtia kiburiWakuu story ni kwamba huyu jamaa kwenye picha amemuua huyo mkewe usiku wa kuamkia leo huko Mwanza ikidaiwa ni baada ya kumkataza mkewe asiende kwenye show ya Mondi.
Baada ya kumwambia asiende kwenye hiyo show ya Nasib Abdul, mke akakaidi akaenda.
Jamaa amempiga risasi saba za kichwa na inasemekana na yeye kajiua japo maiti yake haijaonekana.
Ila na nyie Wanawake mpunguze visirani. Inaonesha jinsi huyu Marehemu alikuwa mkaidi na hamsikilizi Mme wake.
Mme kakuambia sitaki uende pahala fulani then wewe unakaidi ni nini kama sio dharau na kiburi?
By the way anything else Happen for a reason.
RIP Binti MzuriView attachment 2243941
View attachment 2243573
View attachment 2243574
Kuna uzi umefungwa hapa japo Mods wameufuta ama kuzuia unasema hivi👇Huyu Dada hakuwa na Utii na Mme Wake, Hakuna watu ambao wanaumizwa na majibu ya Mwanamke kama Mwanaume.
.
Hatuwezi Jua baada ya Marehemu Kurudi Huko Alimjibu Nini Mwanaume Wake.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Huyu Dada hakuwa na Utii na Mme Wake, Hakuna watu ambao wanaumizwa na majibu ya Mwanamke kama Mwanaume.
.
Hatuwezi Jua baada ya Marehemu Kurudi Huko Alimjibu Nini Mwanaume Wake.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nampongeza sana mwamba tutarajie mengi yanakujaWakuu story ni kwamba huyu jamaa kwenye picha amemuua huyo mkewe usiku wa kuamkia leo huko Mwanza ikidaiwa ni baada ya kumkataza mkewe asiende kwenye show ya Mondi.
Baada ya kumwambia asiende kwenye hiyo show ya Nasib Abdul, mke akakaidi akaenda.
Jamaa amempiga risasi saba za kichwa na inasemekana na yeye kajiua japo maiti yake haijaonekana.
Ila na nyie Wanawake mpunguze visirani. Inaonesha jinsi huyu Marehemu alikuwa mkaidi na hamsikilizi Mme wake.
Mme kakuambia sitaki uende pahala fulani then wewe unakaidi ni nini kama sio dharau na kiburi?
By the way anything else Happen for a reason.
RIP Binti MzuriView attachment 2243941
View attachment 2243573
View attachment 2243574
Nyie sura mbaya ni wakuzalisha tu wakustarehe nao hao waliojaliwa uremboNyie si mnawataja maslay queen wa kuuzia sura maskani wenye sura za baba zetu hamtutaki wacha yawakute
Labda uwekezaji wake mkubwa kwa huyo pisi ndio umemtia wivu.Jamaa ana uchu balaa sio kwa wivu huo, hivi unapatwaje na hasira wa wivu mpaka unamtoa mtu uhai si unamuacha mtu tu kwa amani, pisi zipo nyingii