Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Wamepumzika na mahangaiko ya dunia.
 
Wee wanawake dawa yao ni kutomberr tuu na kutupa kule....mbususu zipo kwa ajili yute wanaume tuzigegede
 
Imebidi nibold utumbo uloandika hapo. So una justify mtu kuua?
 
Lakini na nyie kwanini kumzuia mwenzako asiende kwenye shoo kitu roho inapenda?

Kwanini mnataka kusikilizwa nyie tu, kwanini wake zenu hamuwasikilizi?
"Enyi wake, watiini waume zenu kama kumtii Bwana wetu. Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe, kama Kristo naye ni kichwa cha Kanisa; naye ni mwokozi wa mwili. Lakini kama vile Kanisa limtiivyo Kristo vivyo hivyo wake nao wawatii waume zao katika kila jambo.

Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake; ili makusudi alitakase na kulisafisha kwa maji katika neno; apate kujiletea Kanisa tukufu, lisilo na ila wala kunyanzi wala lo lote kama hayo; bali liwe takatifu lisilo na mawaa. Vivyo hivyo imewapasa waume nao kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. Ampendaye mkewe hujipenda mwenyewe. Maana hakuna mtu anayeuchukia mwili wake po pote; bali huulisha na kuutunza, kama Kristo naye anavyolitendea Kanisa"

Sasa wewe jitie una hekima au akili kuliko Mungu, utafurahia mziki wake!
Mbona gari la Petroli huwa mnajaza bila kuhoji au kuamua kuweka dizeli?
 
Diamond fahidi maisha na umaarufu kadri unavyoweza maisha hayana second chance kula bata kaka lahiti ningekuwa na umaarufu hata wa kingwendu tu mngenikoma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
RIP Dada mzuri.
Ila hii kuna mengi zaidi ya kwa show ya Mond. Tusubiri tuone.
 
Wee wanawake dawa yao ni kutomberr tuu na kutupa kule....mbususu zipo kwa ajili yute wanaume tuzigegede
Hahaha nimetoka kutazama video ya Millard Ayo hapa kuna tukio alipigwa mwanaume akapiga mara 42 simu haijapokelewa. One of the reasons naona akaishia kurelease tension kwa risasi.

Imenikumbusha kuna du nilikuwa namkubali kichizi nikawa nafanya matukio ya ajabu pia. Siku nikajikuta napiga makelele kwenye simu baada ya missed call 4 tu sijui 42 ingekuaje. Hahaha alinipa funzo nzuri sana yule pisi kali.
 
Eti wanawakee wako wakome yeye hatakoma
Ana wivu tu Ila hizo kauli sio nzuri maneno huumba
Nawe jitahidi kumuheshimu utauawa ohoo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na mie nimecheka hapo pa kuwakomesha wanawake wenzie
 
Bora ulipta somo mapema. Hawa usijidanganye eti bby i love u. Mhm utaumia.hawa ni bby i wana f.uck period.
 
Sema huyu Mwanaume ana uso wa ukatili mno na inaonesha ndoa yao haikuwa na maelewano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…