Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Huenda hata alikuwa amepiga gambe,tusubiri Wana watupe taarifa kamiliJamaa ana uchu balaa sio kwa wivu huo, hivi unapatwaje na hasira wa wivu mpaka unamtoa mtu uhai si unamuacha mtu tu kwa amani, pisi zipo nyingii
Juzi nimechelewa Kurudi, waifu ananambia Ww endelea Ipo Siku Nitakupa sumu Ili Hao wanawake WaKo wakome. Niko kwenye process ya kumtema Ingawa aliomba msamaha Asubuhi.Kabisa!
Nilifanya maamuzi magumu mapema sana ,na kama nisingefanya hivyo huenda tungebadilishana majengo ya serikali
Uzuri wa mtu upo machoni mwa mtuPisi sio kali kiivo ni weupe tu.
Enewei hata mimi siwezi mruhusu wife aende kwenye show za kipuuzi puuzi kama hiyo. Mwisho abakwe na vibaka bure.
RIP we mwanamke.
Na huo mwili haujapatikana sasa wamejuaje kua kajiua au how comez wahisi kajiua na mwili hawajauona?? Au ni kupoteza maboya tu jamaa ana pesa keshayeya!!
Unajuaje Kama alikataa ,,akataka aende peke yake....???Kwanini wasingeenda wote mwanaume tumeshaambiwa tuishi nao wanawake kwa akili na sio mabavu, kwanini hakumshauri bibie waende wote shida ipo wapi kuna watu ni hasara sana kwa taifa
Nilikuwa kwa wanaume zaidi yako.Huyu Dada hakuwa na Utii na Mme Wake, Hakuna watu ambao wanaumizwa na majibu ya Mwanamke kama Mwanaume.
.
Hatuwezi Jua baada ya Marehemu Kurudi Huko Alimjibu Nini Mwanaume Wake.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Jamaa alikuwa anakojolea pazuriInasemwa Mondi alikuwa anakula hiyo kaziView attachment 2243587
Yaani niende Sehemu Ambayo sjisikii kisa Kumridhisha Mtu. Huyo Mwanamke Ukute alienda na Mashoga zakeKwanini wasingeenda wote mwanaume tumeshaambiwa tuishi nao wanawake kwa akili na sio mabavu, kwanini hakumshauri bibie waende wote shida ipo wapi kuna watu ni hasara sana kwa taifa
Soma # 29. Acha uvivu wa kula chips [emoji38][emoji38]Pisi sio kali kiivo ni weupe tu.
Enewei hata mimi siwezi mruhusu wife aende kwenye show za kipuuzi puuzi kama hiyo. Mwisho abakwe na vibaka bure.
RIP we mwanamke.
Na huo mwili haujapatikana sasa wamejuaje kua kajiua au how comez wahisi kajiua na mwili hawajauona?? Au ni kupoteza maboya tu jamaa ana pesa keshayeya!!
Kuna maisha Watanzania tunaanza kuishi kama Wamarekani sasa, maana kule wenzetu kuwa na mtutu na kutishia kuua ni kitu cha kawaida yaani ile "I will shoot you mother****" ahhh yani tayari kashaminina kashakuondoa uhai... sasa wa Tanzania tunaenda hukoHuenda hata alikuwa amepiga gambe, tusubiri wana watupe taarifa kamili
Ilitakiwa anyuke wote shabaInasemwa Mondi alikuwa anakula hiyo kaziView attachment 2243587
Sidhani kama alikosa means ya kuitafuta ya kiamani kabisa, shida kuna watu mnapenda mifumo dume sana sio kila jambo utakua mkali, jaribu pia kumpa nafasi mwenzako vitu anavyopenda mnataka mfanane kila kitu kama hupendi mziki yeye anapenda mpe nafasi unaweza mpeleka wewe ukaenda sehemu tulivu ukimsubiria atoke simpleUnajuaje Kama alikataa ,,akataka aende peke yake....???
Muda wwte anakulambisha mchanga!!Juzi nimechelewa Kurudi, waifu ananambia Ww endelea Ipo Siku Nitakupa sumu Ili Hao wanawake WaKo wakome. Niko kwenye process ya kumtema Ingawa aliomba msamaha Asubuhi.
.
Huyu Mwanamke ninaishi nae under presumption of Marriage
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Piga Wote *****. Mlaji na Mliwaji [emoji23][emoji23][emoji23]Ilitakiwa anyuke wote shaba
Mbaya zaidi usiombe uwe na mdada mrembo na mwenye kazi yake, mkizinguana tu majibu yake kama una roho ndogo unaweza kumnyonga.Wanawake Wengi ambao ni Watu wa show off hawana heshima kwa wanaume Wao Kabisa, Wao wanajali Bata Tu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Muda wwte anakulambisha mchanga!!
andika kabisa wosia
Labda nikukumbushe mfumo dume ni asili mfumo ke ni wa bandiaSidhani kama alikosa means ya kuitafuta ya kiamani shida kuna watu mnapenda mifumo dume sana sio kila jambo utakua mkali, jaribu pia kumpa nafasi mwenzako vitu anavyopenda mnataka mfanane kila kitu kama upende mziki yeye anapenda mpe nafasi unaweza mpeleka wewe ukaenda sehemu tulivu ukimsubiria atoke simple