Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Ewaaa raha ya ugomvi mpigane kikubwa kitandani 😍
Aaah we sijui umenifanya nini tuu, umeninaliza kabisa, ila nashukuru umestaarabika kuliko wanawake woote kwangu 😍😍😍
 
Siwezi kukaumu upande wowote, anyway ananikumbusha demu wangu wa zamani alikuwa mrembo haswa akipenda Bata ,nilichukua maamzi magumu nikaachana nae,japo haikuwa rahisi
 
...Na Wewe Usikubali Tena KuolewaΒ‘!!... Gawa TU...!!
 
Aaah we sijui umenifanya nini tuu, umeninaliza kabisa, ila nashukuru umestaarabika kuliko wanawake woote kwangu 😍😍😍
Hivi ushawahi sikia mwanamke kutoka tanga,kauliwa sie zaidi ya kumpa furaha mume hatujui kumpa hasira mwanaume hadi kufikia kuuwaπŸ€·πŸΌβ€β™€οΈ
 
Wewe unayafanya haya unayoyasema? Au unaongea tu?
 
Hivi ushawahi sikia mwanamke kutoka tanga kauliwa sie zaidi ya kumpa furaha mume hatujui kumpa hasira mwanaume hadi kufikia kuuwaπŸ€·πŸΌβ€β™€οΈ
hata mie sijielewi kama nipo kwenye kadunia kangu ka peke yangu yaani, mwanamke hujawai nikwanza , mwanamke hujawai nikasirisha sio mwepesi wa kujibu, daah! Mda wote umekuwa furaha yangu.. tanga acha paitwe tanga umenimaliza 😎😎
 
...Hivi Ufoo Saro aliishis Wapi, Mkuu?...
Sasa jama si alijiua mkuu kesi itaendaa wapi.. sema iliacha maswali sana kuhusu jamaa alijiua vipi sema ilikuwa ni kielelezo tosha kuonesha mwanaume akijitoa kumhudumia na kumpa maisha mwanamke inabidi mwanamke asifanye makosa ya kumuona mwanamme ni bwege na kwamba hana cha kumfanya ni HATARI SANA CHUKI BAADA YA UPENDO HUWA CHUKI KUU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…