Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,094
- 37,314
Ewaaa raha ya ugomvi mpigane kikubwa kitandani 😍hapana mama kijacho, siraha kwangu mwikoo .. i wish hata ndani hata kisu kisiwepo.. yaani tukikorofishana ni body to body tuuu hakuna kunyanyua mdomo wala kunyosheana vidole 😎😎