Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Siwezi kukaumu upande wowote, anyway ananikumbusha demu wangu wa zamani alikuwa mrembo haswa akipenda Bata ,nilichukua maamzi magumu nikaachana nae,japo haikuwa rahisi
 
Siyo kiburi lazima ujitambue na utambue kile unachokitaka.... haiwezekani umchukue binti wa watu anapenda kwenda CLUBS, kuhudhuria shows za music na mfano wake....

Unafika ndani unaanza kumwekea mipaka.... Utakuwa una shida KICHWANI...

Ukitaka vinginevyo kachukue kanisani au msikitini....
...Na Wewe Usikubali Tena Kuolewa¡!!... Gawa TU...!!
 
Sidhani kama alikosa means ya kuitafuta ya kiamani kabisa, shida kuna watu mnapenda mifumo dume sana sio kila jambo utakua mkali, jaribu pia kumpa nafasi mwenzako vitu anavyopenda mnataka mfanane kila kitu kama hupendi mziki yeye anapenda mpe nafasi unaweza mpeleka wewe ukaenda sehemu tulivu ukimsubiria atoke simple
Wewe unayafanya haya unayoyasema? Au unaongea tu?
 
Hivi ushawahi sikia mwanamke kutoka tanga kauliwa sie zaidi ya kumpa furaha mume hatujui kumpa hasira mwanaume hadi kufikia kuuwa🤷🏼‍♀️
hata mie sijielewi kama nipo kwenye kadunia kangu ka peke yangu yaani, mwanamke hujawai nikwanza , mwanamke hujawai nikasirisha sio mwepesi wa kujibu, daah! Mda wote umekuwa furaha yangu.. tanga acha paitwe tanga umenimaliza 😎😎
 
...Hivi Ufoo Saro aliishis Wapi, Mkuu?...
Sasa jama si alijiua mkuu kesi itaendaa wapi.. sema iliacha maswali sana kuhusu jamaa alijiua vipi sema ilikuwa ni kielelezo tosha kuonesha mwanaume akijitoa kumhudumia na kumpa maisha mwanamke inabidi mwanamke asifanye makosa ya kumuona mwanamme ni bwege na kwamba hana cha kumfanya ni HATARI SANA CHUKI BAADA YA UPENDO HUWA CHUKI KUU
 
Back
Top Bottom