Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

B
Halafu, she is not even drop-dead gorgeous.

She is average at best [to quote the late great Kevin Samuels].

Naona watu wanaangalia picha ambazo alipiga akiwa keshajiremba.

Bila make-up, she is average at best.
Bado nimzuri sana
 
Halafu, she is not even drop-dead gorgeous.

She is average at best [to quote the late great Kevin Samuels].

Naona watu wanaangalia picha ambazo alipiga akiwa keshajiremba.

Bila make-up, she is average at best.
How do you define beauty because beauty is in the eyes of the beholder.
 
Wakati mwingine bora kumiliki pisi ya kawaida tu. Sasa pisi kama hii, yaani ni maumivu tu. Pole sana mwamba kwa kulikoroga.
 
Toad darasa hapo mkuu hoja yako ipo very interesting
 
Hata wanaume wanayo maudhi mengi tu la muhimu ni kuvumiliana. Madamu hamukuzaliwa wala kulelewa pamoja kila mtu anakotoka huwa na vitabia vyake vyengine vizuri na vyengine vibaya.
 
Unaweza mlazimisha mtu kumuoa?? Huyo mwanamke alimpenda huyo jamaa, sema itakuwa marafiki na tamaa za hapa na pale kwa wanawake.
Kwa mujibu wa vyanzo kadhaa vya habari vinasema marehemu hakuwa anampenda jamaa ila alikubali kuolewa naye kwa kuwa jamaa alikuwa anamtimizia mahitajI yake ya kifedha na kwa wanawake wengi sana ndivyo ilivyo anakuwa na mtu kwa kuwa ana pesa but wa kumkuna anayempenda kwa dhati ni mwingine kabisaa
 
Itoshe tu kusema Binti hakuwa tayari kuwa kwenye ndoa.

Inawezekana kwenda alipokwenda ni tatizo lakini namna alivyokuwa anamjibu Mume kila akiuliza ikawa ni tatizo zaidi.
Hata jamaa naye hakuwa tayari kuwa kwenye ndoa.

Au yawezekana hata hakufaa kuwa kwenye ndoa.

Maana kayatupa maisha yake kiboya sana.
 
Historia ya Binti mpambanaji, aliyeuwawa na Mumewe kwa kupigwa Risasi Jijini Mwanza

 
Dah usichukulie poa hiyo hata kama sio leo wala kesho,inaweza kutokea hata uzeeni,nadhani lifikishe hilo swala kwa viongozi wenu wa dini au kwa kwa wazazi ili wamkanye,kuwa makini nae sana.
 
Huyu Dada hakuwa na Utii na Mme Wake, Hakuna watu ambao wanaumizwa na majibu ya Mwanamke kama Mwanaume.
.
Hatuwezi Jua baada ya Marehemu Kurudi Huko Alimjibu Nini Mwanaume Wake.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Huyu mwanamke bila kupepesa macho alikuwa ni malaya na anajiuzaga sana sema anatumia Uzuri wake, kuna jamaa yangu yupo Bwiru alipita nae, week kama 3 hv kuna mwanang wa capripoint aliruka nae coz nilienda Mwanza kutokea dar ndo nikakutana na jamaa yang wa huko capripoint ndo akanitambulisha kumbe ni wife wa mtu.
Aisee wanawake mnaangaika muolewe ila mkiolewa bado mnafanya umalaya sijui mnataka nn.
 
Hapa ndo utajua kuwa wengi humu wanamiliki wanawake avarege tofauti na jinsi ambavyo kuwa wanajunasibu kwenye nyuzi mbalimbali humu, hii pisi inavyosifiwa humu kwa uzuri nimebaki nashangaa aiseeh.

Mtu anakwambia eti pisi ilikuwa kali sana, jamaa yupo halali, daaah😄.
 
Wewe inaonesha ni jeuri sana
 
Na wewe mwanaume unajielewa kabisa unapiga simu mara 42 unataka nini.?

Call her once, send an sms ya unachotaka kumwambia then mute..asipojibu mda akija home atatoa maelezo hadi ya ziada.
Of course!.

Mara kadhaa humu jf nimesisitiza, dawa ya mke mtata ni kumpandisha cheo awe Bi Mkubwa.

Akizidisha kadhia baada ya kumpandisha cheo, unampa nafasi afanye take Wewe tulia kwa Bi Mdogo.

Kumdhibiti mtu mmekutana ilhal vitovu vimekauka haiwezekani. Kamwe!

Wanaume tuendelee kuwa Makini. Kama humwelewi mkeo kuua sio suluhisho.
 
[emoji23][emoji23] JF ni ulimwengu tofauti na uhalisia wa maisha yetu huko kitaa.
 
Ile kupiga risasi saba kwenye kichwa kimoja ni ishara ya kuwa jamaa alichoka na tabia za huyu mwanamke na alidhamiria kufanya hivyo, maana kama ni swala la kupitiwa ukishoot moja tu ni lazima akili ikae sawa.

Jamaa alitaka kuhakikisha mwanamke haponi kabisa, aiseeh risasi saba kwenye kichwa sio mchezo wazee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…