wanaume wengi hatuna uwezo wa kuhandle maudhi ya wanawake. our ego is weak when it comes to women's osh kosh b'gosh. Ninyi wanawake kidogo mnaweza kuvumilia maudhi ya wanaume. Ur egos is stronger than maudhi yeniHata wanaume wanayo maudhi mengi tu la muhimu ni kuvumiliana. Madamu hamukuzaliwa wala kulelewa pamoja kila mtu anakotoka huwa na vitabia vyake vyengine vizuri na vyengine vibaya.
Popote penye conflict, mwanaume anapoambiwa asimame kama mwanaume, utaona anayepata manufaa ni mwanamke.Toad darasa hapo mkuu hoja yako ipo very interesting
Hapa ndo utajua kuwa wengi humu wanamiliki wanawake avarege tofauti na jinsi ambavyo kuwa wanajunasibu kwenye nyuzi mbalimbali humu, hii pisi inavyosifiwa humu kwa uzuri nimebaki nashangaa aiseeh.
Mtu anakwambia eti pisi ilikuwa kali sana, jamaa yupo halali, daaah😄.
Ila wewe!itafika mbinguni umechoka Sana.Yaani hapo ni wanaume kama watano wanawake kama 12...wote mpo uchi pombe bangi cocain mkongo na kulana mbususu
Popote penye conflict, mwanaume anapoambiwa asimame kama mwanaume, utaona anayepata manufaa ni mwanamke.
Mfano:
Kumuoa mwanamke aliyeshika ujauzito wako japo hamkupanga
Kulea ujauzito usio wako na mtoto asiye wako kwasababu umempenda mwanamke husika
Kumsamehe mwanamke anayezingua ili kukwepa kuvunja familia, ati watoto watapata shida
Kumuacha bila shari mwanamke uliyemjenga kimaisha pale anapopata mwanaume mwingine wa hadhi yake mpya
Tunategemewa tutafute hela, tuwahudumie, tuwasikilize, tuwakabidhi uhuru wetu, mali zetu na bado tusiwadai chochote mara tu wanapobadilisha mawazo ya kuwa nasi kimapenzi kwa sababu wanazozijua wenyewe.
Kwa kulitambua hili, vijana wanatakiwa wajiandae kisaikolojia, na wasijisahau wanapokuwa kwenye mahusiano kiasi cha kuwekeza imani na mategemeo yao yote kwa mwanamke mmoja. Wanatakiwa wajue siku ikifika, mwanamke hatajali yote unayofanya au uliyofanya kwa ajili yake.
Wanaume wengi waliopigwa matukio heavy wana msemo mmoja "I didn't see it coming - Sikulitarajia hilo kabisa"
Hivyo vijana inabidi walitarajie hili na wachukue hatua za kujilinda. Waache kujisahau pale mahusiano yanapokwenda vema. Waulinde uhuru wao kwa gharama zote, na wailinde hadhi yao kama wanaume. Waulinde uanamme wao, wasiruhusu uchezewe na mwanamke awapande kichwani.
Wawe na utayari na uwezo wa kumuacha mwanamke mara tu anapotikisa kiberiti. Msimamo ndio unajenga heshima kwa mwanamke.
Look who is talking.....wee yule mume wa mtu sii wee ata mbiguni huendi🤣🤣🤣🤣Ila wewe!itafika mbinguni umechoka Sana.
Najielewa sana,mwanamke kama wewe ni wakupiga risasi mia mbili kabisa.Ebu kaa mbali.Siwezi kujibishana na majitu yasiyo jielewa.
Angamuacha tu, kwani angepungukiwa nini?Hata ni ningemuua kummmae
Nioshe bastola yangu baada ya mihangaiko ya kutwa nzimaKajipa kazi ya kutoa uhai wa mwanadamu ambayo si yake, hukumu ya Mungu yamhusu! inaelekea kabisa alikuwa anatumia nguvu ya pesa wakati hakuwa anapendwa na inaelekea alikuwa anajua kuwa hapendwi. Pesa kamwe haiwezi nunua kila kitu.
Nioshe bastola yangu baada ya mihangaiko ya kutwa nzimaSilaha hizi zinatumika zaidi for murder than self defence
Na Kaka zangu na wadogo zangu oa mwanamke unayemmudu..pisi kali unataka awe housegirl anakuna nazi tena?..huwezi pata vyote broo
Mbona wanawake tunakubali
Bwana yuko busy anaingiza hela ila romance ama making love sanaa inapungua hana muda ama anachoka..u must tradeoff
Mwamba ametuangusha sana waamini.MWANZA: HII NDIYO HARUSI YA SWALHA, MWANAMKE ALIYEFARIKI KWA KUPIGWA RISASI SABA KICHWANI NA MUMEWE
kila akiwaza kuna mtu yupo kifuani kwa mkewe anazidi kupiga simu labda watasikia waachane.Huyu mwamba nae katisha misscall 45 [emoji1787]