Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Amepata haki yake
 
Bora nibaki mshamba,kuliko kujifanya mjanja kugeuzwa maji,nipotumiwa kuogewa,nitapikiwa,nisipopikiwa nitafuliwa,nisipofuliwa nitaogewa,,,,,huu ujinga naupinga mzab
Kumbe una akili..sasa kwa nini hutaki kuolewa
 
Kila mwanadamu ana namna yake ya ku-react kulingana na situation atakayokutana nayo,we are like liquids with different boiling points...
Ndio ampige risasi ? Na wewe unatetea ujinga
 
Unakuta manzi ni pisi kali hatari, halafu anapenda mziki na pombe[emoji848] Hapo HAKUNA wife material kabisaa, maana huyo ni shamba la bibi a.k.a cha wote!
Wa hivyo, 'Hit & Run' ndo mpango mzima [emoji4]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Nakubali bro
 
Yupo sahihi, mtu yeyote ukiona hakufai, iwe mshkaji hata wa kiume, girlfriend au mke ni kuachana nae tu, kama kuna gharama umeingia na huwezi kuzirudisha basi, hii dunia ina watu wazuri wengi sana kung'ang'ania watu wabaya ni ukosefu wa akili

Kuua mtu ni kukurupuka na kukosa akili. Maana utaishi kwa shida maisha yako yote au ujiue na wewe...
 
THERE IS NO UGLY PEOPLE BUT THERE IS POOR PEOPLE...
 
Duuuh! ila kweli,kama kilakitu unakipata,kwanini uolewe kama huwezi kuishi kwa kumheshimu mumeo n.k?
 
Mwenzio kaambiwa asiende mpirani kafosi na siku zote mwanamke ukimkataza asitoke kwenda mahali flani ulipomkatalia kwenda akakaidi au akalazimisha jua hicho anachoendea ni tofauti kabisa na kile ambacho amekisema kama sababu. Mfano kwa huyo Swalha hio siku ambayo alilazimisha kwenda mpirani ama kwenye show kimsingi hakwenda huko.

Kwa sisi wandewa huwa tunaelewa kabisa hio michezo.
 
Mimi pia nakubali kutokukubaliana na wewe.

Tatizo la kua na mwanamke mmoja tu ni kwamba utajikuta ume invest sana kwake, sio tu financially lakini pia psychologically. Yaani itafikia hatua unakua dependent kwake kiasi cha kuanza kuona kwamba bila yeye maisha hayaendi! Nahiyo ni hatua ya hatari sana ambayo ndio inapelekea mpaka mtu kutoa uhai.

Kamwe mtu mwenye plan B, C nk hawezi kufikia state hiyo asilani.
 
Huy
Huyo slay queen ambaye unamuoa,anakua anagegedwa na kila mtu anayemtaka,maadili hayataki hivyo,bora umuweke awe mchepuko,lasivyo ni fedheha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…