Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Kweli uzuri wa mtu upo machoni pa muangaliaji.Wakawaida Sana,sijaona pisi hapo,View attachment 2245405
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli uzuri wa mtu upo machoni pa muangaliaji.Wakawaida Sana,sijaona pisi hapo,View attachment 2245405
Amepata haki yakeKwa mujibu wa vyanzo kadhaa vya habari vinasema marehemu hakuwa anampenda jamaa ila alikubali kuolewa naye kwa kuwa jamaa alikuwa anamtimizia mahitajI yake ya kifedha na kwa wanawake wengi sana ndivyo ilivyo anakuwa na mtu kwa kuwa ana pesa but wa kumkuna anayempenda kwa dhati ni mwingine kabisaa
Msiwe weak hivyo mhmh mwanume kuwa weak kwenye mapenzi ni umeruhusu weweLabda uwekezaji wake mkubwa kwa huyo pisi ndio umemtia wivu.
Kumbe una akili..sasa kwa nini hutaki kuolewaBora nibaki mshamba,kuliko kujifanya mjanja kugeuzwa maji,nipotumiwa kuogewa,nitapikiwa,nisipopikiwa nitafuliwa,nisipofuliwa nitaogewa,,,,,huu ujinga naupinga mzab
[emoji1787] [emoji1787] Kabisa ndugu naunga mkono hojaPisi kali sana ni za kuserebuka nazo tu, zile za kawaida ndizo za kujenga nazo life.
Hii ilifanyika hata kwa Mababu na Baba zetu.
Ndio ampige risasi ? Na wewe unatetea ujinga
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Nakubali broUnakuta manzi ni pisi kali hatari, halafu anapenda mziki na pombe[emoji848] Hapo HAKUNA wife material kabisaa, maana huyo ni shamba la bibi a.k.a cha wote!
Wa hivyo, 'Hit & Run' ndo mpango mzima [emoji4]
Muhimu sana tena sana ata mbunye ikiwa safi unaburudika sana...wadhungu wanashuka tuuUsafi
Kuolewa si rahisi kama mnavyochukulia[emoji23]Kumbe una akili..sasa kwa nini hutaki kuolewa
Huna akili huwezi kuwaza ujinga wa hiviUmeolewa????
Yupo sahihi, mtu yeyote ukiona hakufai, iwe mshkaji hata wa kiume, girlfriend au mke ni kuachana nae tu, kama kuna gharama umeingia na huwezi kuzirudisha basi, hii dunia ina watu wazuri wengi sana kung'ang'ania watu wabaya ni ukosefu wa akiliWatetee tu mkuu watakufata huko PM, maana wadangaji wanapenda ma-good boys kama nyinyi😄.
Mim nawachana ukweli kwasababu sitegemei kutongoza mwanamke humu.
NB; Mwanamke kama unapenda kutumia hela za wanaume bila kuwa na malengo nao, uza huo uchi watu wataununua na wala hakuna mwanaume atakae hangaika na wewe, sio mnakuja kudanga kwenye ndoa watu wana uchungu na hela zao bwana.
THERE IS NO UGLY PEOPLE BUT THERE IS POOR PEOPLE...Kwa taarifa yako tu wanawake wote ni wazuri na warembo ni umaskini tu na kukosa kipato kwa baadhi ya wanawake kunawafanya kuwa nadhifu. Lakini Mwanamke yoyote mwenye Hela ya kujiweka soap soap ni Mrembo. Acheni kutumia kwamba wanaolewa sio wazuri kiasi kwamba mnataka wajioneje!? Kila mwanamke ni Mrembo ni pesa tu
Duuuh! ila kweli,kama kilakitu unakipata,kwanini uolewe kama huwezi kuishi kwa kumheshimu mumeo n.k?Afdhali wewe umeutambua uhalisia wa maisha ya kiafrika "mwanamke atabaki kuwa chini ya mwanaume", ila sasa wanawake wengi wameharibiwa na tamthlia za wazungu kiasi kwamba utamaduni wa kule wanataka kuuleta afrika.
Kama huwezi kuwa chini ya mwanaume kwanini ukubali ndoa wakati kama ni kutombw utatombw tu hata bila ndoa? Na kama ni mtoto unaweza kupata bila hata ndoa, JIBU linakuja kwamba wengi huolewa kutafuta uahueni wa maisha.
Mwenzio kaambiwa asiende mpirani kafosi na siku zote mwanamke ukimkataza asitoke kwenda mahali flani ulipomkatalia kwenda akakaidi au akalazimisha jua hicho anachoendea ni tofauti kabisa na kile ambacho amekisema kama sababu. Mfano kwa huyo Swalha hio siku ambayo alilazimisha kwenda mpirani ama kwenye show kimsingi hakwenda huko.Kwakweli wa siku hizi sisi si wavumilivu nikiwemo na mimi. Na pia sio watii sijui ninkwakuwa na sisi tunaweza kupata visalare au vibiashara??
Ila ninapoiangalia ndoa ya bibi yangu na mama yangu (RIP) huwa namwambia bibi mimi sitaweza na siwezi kuwa kama wewe kama ndoa ndio hivyo.
Hadi leo hata akipanga au akiitwa kwa wanawe huwa anawaambia "nendeni mkaniagie kwa baba yenu" na babu akitoa sababu kwamba asiende katu hawezi kwenda. Na ni bibi wa miaka 85.
Sasa kweli tunayaweza hayo??
Mtu anawezaje kujiua halafu aende kujitupa ziwani?
Mimi pia nakubali kutokukubaliana na wewe.Hayo ni mtazamo wako pia ambao siafikiani nao, unaweza ukawa na mwanamke mmoja tu mkaheshimiana vizuri. Na ikitoke mmeachana wanawake wapo wengi free.
Wanawake wazuri wapo, nimewaona na nimeishi nao, wanaume wabaya wapo pia, so ni kila upande kujielewa tu na ku move on inaoohitajika
Huyo slay queen ambaye unamuoa,anakua anagegedwa na kila mtu anayemtaka,maadili hayataki hivyo,bora umuweke awe mchepuko,lasivyo ni fedheha.Yaani unataka ujinga wa fala mmoja ndioo utafanye tusikamatie pisi kali....wee tena mishangingi kama hiyo inajua kucheza na de libolo hatari.
Ata nyie wenye sura personal mkishawekwa ndani tuu mnaanza kuleta nyodo na wanaume tulivyo wadadisi, kuna njemba zitaanza kukutongoza ili zijue inakawaje jamaa kaweka ndani huyu mwanamke. So ata sura personal wanagegedwa tuu.
Ugumu upo wapi wakati kama tako unalo, bikra unayo sasa ugumu upo wapi? Au una tabia mbaya?Kuolewa si rahisi kama mnavyochukulia[emoji23]