Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

160(1)LMA😂😂😂😂😂
 
Kiburi utafikiri kajilipia mahari, dawa ni hiyo.

Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
 
Unaambiwa
Kabla hajaolewa alikua ni mtu wa make up sana, akaolewa mchizi kwa kuwa ni mtu wa samaki town akamnunulia dada mitumbwi 5 yenye engine afanye pia biashara.
.
Juzi kati kamnunulia Crown na nyumba kubwa maeneo ya Buswelu huko.
.
Dada kaenda kutazama mpira na wahuni na kweli katoka huko kapitia kwa show ya Diamond na wahuni.
.
Alizuiwa hakusikia, sijui ktk kufokeana wakasikia Paaa... Paaa... Paaa... Paaa... Paaaa... Paaaa.... Paaaa saba hizo. Afu jamaa kapotea.
.
Ila sasa wanadai jamaa ni mpole sana na mtaratibu na mstaarabu ikafkia hatua dem akawa anautumia upole wa jamaa vbaya kwa kiburi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ndiyo maana wanasema kabla ya kuoana ni vizuri sana ukajua starehe ya mwenzio (anavyo penda na asivyo penda) Ili ukiona hamuendani,unasonga mbele
 
Picha yao wakiwa pamoja inaonyesha tu ni couple iliyokua inapitia mengi, nyuso zimeficha mengi, hizi ndoa hizi zina mengi
Tena inaonekana jamaa alipata pesa nying kipind fulan labda za madin au sato akaoa huyo dada slay queen.. na sabab dada alipendea pesa.. sasa mwana inaonekana uchumi ukashuka gafla ndo dharau zilipoaanza.. na inaonekana ni dharau za muda mref.. na inaonekaa wameshazaa watoto so jamaa alikua anateseka sana.. akaona liwalo na liwe this time lazima ajimalize na ammalize

Nasemaga kila siku.. maisha ni meng sana zaid ya kuendekeza mapenz.. yaan unaua kisa penzi?. Daah
 
Kwamba mwanaume kumkataza mke wake asitoke nyumbani ni kikwazo?
Suala la msingi Je, Hilo la kumkataza lilianza baada ya ndoa au kabla? Mpaka anafikia hatua ya kwenda kwenye show ya Mondi basi ujue ni kautaratibu hawezi tu kukurupuka....

Kwa sura yenyewe ukiiangalia Utajua kabisa huyu na show ni mapacha mpaka na huyo mumewe.....
 
Watu wa kand ya ziwa ni wajinga sana. narudia wajinga sana tena washamba wote wanaume and wanawake. Dar sisi hapo unapiga chini tena kwa furaha ,anakuona maisha yanasonga taratiiiibu. Mwanza tabia za kimagufuli tuuu. Hovyo kabisa.
 
Unahukumu Tena kaaahh!kisirani ndo amuue si angempa talaka
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kumbe Kuna sura za show?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…