Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Sema jamaa Kama alikua amevumilia mengi
Hiv haya mapenz ukimpenda mtu Sana na ukamuonesha hapo ndo dharau zinaanzia
Mdada wenyewe wa mjini!jamaa alitegemea nini Sasa!wameishia kaburini
 
Wanawake Walio wengi akili amna! Asa akiwa na kaumbo na sura ndo Kabisa- ukikubali kuolewa unatakiwa uwe mtii kwa Mume wako akuna mbadala
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji16] Jamaa nimekubali narration yako uko vzr[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]!!
Wadada warembo wa mjini hawa wanasumbua sana
 
Endelea kutupa details mkuu!! So sad!. Angemuacha tu aende
 
Hapa kwa majibu hayo halafu uwe na stress zako dili zimekwama bills kibao..mikopo juu.

Haki kama iko bastora ndani lazima umiminie hata za matrakoni.

#MaendeleoHayanaChama
 
Duuu hata me nshaambiwa kitu kama icho ckuweka maanani sasa majuz nimekuja nataka mzigo Nipige akasema amechoma nikamwambia . we endelea kuchoka IPO siku ntakuletea mtoto wa nje .imemuuma kuliko mpaka saiz hajakaa sawa
 
Nyie si mnawataka maslay queen wa kuuzia sura maskani wenye sura za baba zetu hamtutaki wacha yawakute
 
Umenena vema sana. Tulio hai tumeachiwa fumbo. Jitahidi uwe na wa kuendana naye.

Ila mleta uzi angejitahidi kuwa mfukunyuzi, nyuma ya pazia kunani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…