Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Kuna mwanangu mmoja aliambiwa na mke wake akirudi jioni amletee Pad maana Simba walikuwa Wanacheza.
.
Mwamba kazunguka Town Kwenye mishe kasahau kurudi Home, waifu anamuuliza vipi Mzigo Wangu, Jamaa akamwambia samahani Mkewangu nimesahau ngoja nioge nikakununulie.
.
Yule mwanamke akamjibu Jamaa Wanaume Wenzako Wataleta maana ww umeshindwa
.
Demu alipigwa kichwa kimoja akaanguka Kwenye tiles Wala hakuomba hata Maji ya Kunywa.
.
Kauli za Wanawake Malaya Ni mbaya Sana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
acha tu, mimi rafiki yangu mpaka leo yuko jela kwa kuua mke wake....my best friend from standard one primary school,..
 
Mnaishi Kwa mashindano Sana. Punguzeni kuishi Kwa mashindano. Mwanamke Lazima awe under roof ya Mwanaume wake. Huu uhuru Wa kifala mnaoutaka ndio maana mnapigwa shaba.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Siyo wa kifala ILA KUNA WANAUME HAWAJITAMBUI.... Unamkuta binti anapenda kuvaa vimini akipita lazima WAKWARE wageuke na wengine kupata mishtuko ya moyo, unamtongoza kwa kuvutiwa naye HIVYO ALIVYO, MASIKINI binti wa watu anakuelewa na kukubali.


Baada ya ndoa unaanza kumwekea masharti ya MAVAZI!!!!! Unafikiri wakati ananunua vimini hizo nguo ndefu HAKUZIONA????

MIJITU MINGINE ZERO BRAIN KABISA!!!!
 
Shetani kavuna mavuno yake. Njooni kwa Yesu muwe salama, nje ya Kristo ni hatari tupu. Huyo mondi mwenyewe ni devil worshipper!


YESU KRISTO ni BWANA na MWOKOZI
Huko kwa yesu kwani hampigani ndio vile tuu hammiliki shaba...

Mnaachana vizuri tuu wazee wa kanisa wanajipigia muangalie pascal kassian mkewe kazaa na mzee wa kanisa

Hakuna kwa yesu wala kwa nani tabia ni vazi

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
 
Kama umemuoa TEGEMEZI basi jua ni sehemu ya MKATABA WA NDOA KUMUHUDUMIA....

usitake kumwekea vikwazo baada ya kumwoa!!!!!

Umemchoka ni bora mkaachana...
Huna akili, na kwa mavi hayo kichwani utauawa kizembe sana. Kuwa makini sana na wanaume pale wanapokuonya zaidi ya mara 3. Hasira za wanaume sio kama unavyadhania wewe.
 
Kabisa mwanaume mwenye hela lazima umiliki pisi kali. Tatizo ya huyu jamaa anamiliki moja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aah sidhan kama na hela ilikuwepo hawez kua na pisi moja tu.
 
Back
Top Bottom