Hawajielewi hao. Ukiwa na hela wewe ni mfalme ..women will do wat u want wen u want simple.Hao ni kuwabandua tu, sasa lijitu linapata hela kidogo tu linakimbilia kuoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawajielewi hao. Ukiwa na hela wewe ni mfalme ..women will do wat u want wen u want simple.Hao ni kuwabandua tu, sasa lijitu linapata hela kidogo tu linakimbilia kuoa
Kuna wazee wa kukaza mafuvu yakiwakuta wanakuja kushusha nyuzi za kulia lia hapa.Rafiki, pisi kali for show off tu, sio za kuweka ndani. Huko ndani kuna mikiki mingi, ukiongezea na pisi kali isiyotumia ubongo hutoboi hata 50 wallah!
Hawachelewagi kufufuka hao, lazima uhakikishe bhanaRisasi saba tena zote kichwani, damn😳...!
Kabisa mwanaume mwenye hela lazima umiliki pisi kali. Tatizo ya huyu jamaa anamiliki moja🤣🤣🤣🤣Si ndio mnapenda jamani kumiliki pisi kali
Ok.Alikaa Mahabusu more than 3yrs akaachiwa Kwa Manslaughter case
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
acha tu, mimi rafiki yangu mpaka leo yuko jela kwa kuua mke wake....my best friend from standard one primary school,..Kuna mwanangu mmoja aliambiwa na mke wake akirudi jioni amletee Pad maana Simba walikuwa Wanacheza.
.
Mwamba kazunguka Town Kwenye mishe kasahau kurudi Home, waifu anamuuliza vipi Mzigo Wangu, Jamaa akamwambia samahani Mkewangu nimesahau ngoja nioge nikakununulie.
.
Yule mwanamke akamjibu Jamaa Wanaume Wenzako Wataleta maana ww umeshindwa
.
Demu alipigwa kichwa kimoja akaanguka Kwenye tiles Wala hakuomba hata Maji ya Kunywa.
.
Kauli za Wanawake Malaya Ni mbaya Sana
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ooh, sawaHiyo inaitwa manslaughter, kuua bila kukusudia..akichanga karata vizuri atakaa jela miaka isiyozidi mitatu.
Tena unakuwa unawabandua wawili wawili geto pesa si ipo. Mkuu waache tu wajinga ndo waliwaoHawajielewi hao. Ukiwa na hela wewe ni mfalme ..women will do wat u want wen u want simple.
Ah mzeya kumbe wewe ni mwanachama hai wa threesome🤣🤣🤣🤣🤣Tena unakuwa unawabandua wawili wawili geto pesa si ipo. Mkuu waache tu wajinga ndo waliwao
Siyo wa kifala ILA KUNA WANAUME HAWAJITAMBUI.... Unamkuta binti anapenda kuvaa vimini akipita lazima WAKWARE wageuke na wengine kupata mishtuko ya moyo, unamtongoza kwa kuvutiwa naye HIVYO ALIVYO, MASIKINI binti wa watu anakuelewa na kukubali.Mnaishi Kwa mashindano Sana. Punguzeni kuishi Kwa mashindano. Mwanamke Lazima awe under roof ya Mwanaume wake. Huu uhuru Wa kifala mnaoutaka ndio maana mnapigwa shaba.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Tupe kwa ufupi unawajuaje kama kapo mkuu?Dah.....mshikaji namjua....Dem naye namjua....nasoma koments....[emoji2960]
Huko kwa yesu kwani hampigani ndio vile tuu hammiliki shaba...Shetani kavuna mavuno yake. Njooni kwa Yesu muwe salama, nje ya Kristo ni hatari tupu. Huyo mondi mwenyewe ni devil worshipper!
YESU KRISTO ni BWANA na MWOKOZI
Huna akili, na kwa mavi hayo kichwani utauawa kizembe sana. Kuwa makini sana na wanaume pale wanapokuonya zaidi ya mara 3. Hasira za wanaume sio kama unavyadhania wewe.Kama umemuoa TEGEMEZI basi jua ni sehemu ya MKATABA WA NDOA KUMUHUDUMIA....
usitake kumwekea vikwazo baada ya kumwoa!!!!!
Umemchoka ni bora mkaachana...
Aah sidhan kama na hela ilikuwepo hawez kua na pisi moja tu.Kabisa mwanaume mwenye hela lazima umiliki pisi kali. Tatizo ya huyu jamaa anamiliki moja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nadhani hiyo show ilikuwa ni hitimisho tuKuna mengi kuliko iyo show ya Diamond
Hana akili huyoKwamba mwanaume kumkataza mke wake asitoke nyumbani ni kikwazo?
Sasa uyo jamaa kama asingemuoa uyo demu unafikiri angemuua? Mwanaume inatakiwa kufunga ndoa na pesa tu, hao maslay queen na wengine ni wakuwabandua tu na kuachana naoKuoa hakuna ubaya wowote ila unamuoa nani? Wengi wenu mnapenda maslay queens ndo mana moto unawawakia.
Ilikuaje?acha tu, mimi rafiki yangu mpaka leo yuko jela kwa kuua mke wake....my best friend from standard one primary school,..
Haya.Sasa uyo jamaa kama asingemuoa uyo demu unafikiri angemuua? Mwanaume inatakiwa kufunga ndoa na pesa tu, hao maslay queen na wengine ni wakuwabandua tu na kuachana nao