Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Akina mama sio wakuamini hua wanajua mienendo ya watoto wao lakini wanawafichia siri tu
Kweli kabisa mm mama yangu yupo Singida mm Dar, mdogo wangu wa mwisho anaishi na mama huko nilikuwaga namlipia ada ya ufundi na mazaga zaga mengine nikijua anaenda chuo kusoma kumbe anaenda kwa mwanaume mpaka akazalishwa na mtoto juu mama hata hajaniambia na bwana ake anamjua daah nilichoka siku nilipogundua na nikamkatia Kila kitu nasikia Sasa hivi kazalishwa mtoto wa pili na wote wako hapo hapo kwa mama.
 
Mmmmmhhhhhhh mjadala inaonekana wanaume mnavutia upande wenu....


Hakuna JUSTIFICATION WHATEVER ya kukufanya utoe uhai wa mwenzako...


Mrudishe ulikomtoa mtoto wa watu maana uliupende Uzuri wake hukuangalia TABIA wala majibu yake na ulikubaliana Naye wakati wa uchumba LEO kaingia kwenye NDOA UNALETA WIVU NA KUMWEKEA MIPAKA!!!!! Utakuwa na akili sawasawa????

Ukimkuta binti wa watu anapenda kwenda NIGHT CLUBS na ukamwoa katika mazingira hayo hayo BASI JUA UKIINGIA KWENYE NDOA NA UKATAKA ABADILIKE BASI NI MKATABA MWINGINE NA MNATAKIWA KUKAA MEZANI......


Yaani kuna watu wakati wanatafuta wachumba wanaongozwa na tamaa na hasa kile kitu katikati ya mapaja yao, wakishaoa ndiyo wanaanza kuweka masharti......

Kwakweli kama atanusurika ANYONGWE HADI KUFA na kutuulia mdada mwenzetu...
Endeleeni na kuwa vichwa ngumu tu, ndio madhara yake haya, kwanini hamtaki kuwatii waume zenu? Usawa? UPI? Nyienyie! Jidanganyeni tu .
 
Silaha hizi zinatumika zaidi for murder than self defence


Na Kaka zangu na wadogo zangu oa mwanamke unayemmudu..pisi kali unataka awe housegirl anakuna nazi tena?..huwezi pata vyote broo

Mbona wanawake tunakubali
Bwana yuko busy anaingiza hela ila romance ama making love sanaa inapungua hana muda ama anachoka..u must tradeoff
 
hata mie sijielewi kama nipo kwenye kadunia kangu ka peke yangu yaani, mwanamke hujawai nikwanza , mwanamke hujawai nikasirisha sio mwepesi wa kujibu, daah! Mda wote umekuwa furaha yangu.. tanga acha paitwe tanga umenimaliza 😎😎
Penzi limetaradadi walah 😄😄
Hongereni jamani
 
Mapenzi ni nini???!!!., what is love???!
Hivi mapenzi yana formula?!!
Hapa hapakuwepo na PENZI!
 
RIP dada mzuri,

Huyu dada alikua ni make up artist na designer, na ni maarufu mwanza, pia ndoa yao ilikua ina migogoro tangu mda kisa ni Usaliti, mwanamke alikua na jamaa mwingne nje.

Siku ya tukio, Dada na mumewe walienda kwa match ya simba na yanga, baada ya hapo wakarudi home, baadae dada akaomba ruhusa ya kutaka kwenda kuangalia mpira wa UEFA, mumewe akagoma, ktk mabishano bidada akaamua kuondoka kwa kiburi chake.

Sasa kumbe huko kwa Mpira wa UEFA ndo alikua na mchepuko wake, kuna watu walimuona wakamtonya mumewe, machale ya bidada yakamcheza wakaondoka na jamaa ake pale eneo, mumewe alivyofika pale hakuwakuta, kila akimchek kwa cm kimyaa, bidada cm alizima, mumewe akarud home kumsubiri.

Bidada naye baada ya kutosheka huko alikokua na jamaa, akaamua kurudi home, kufika home ndo akakutana na mumewe ktk maulizano bidada akatoa maneno ya kashfa kwa mumewe, mume uvumivu ukamshinda akaamua awashe kitu cha moto, paah paah paaah paaaah paaah, nayeye kusepa hapo hapo.

Marafiki na watu karibu wa huyu dada wanasema alikua anawaambia ukweli kuwa hampendi kwa dhati mumewe, ila yupo nae kwa kuwa ana pesa, na amemsaidia vingi ktk maisha, ila upendo wa dhati kwake hana. Mwishoe ndo haya yaliyotokea.

Mtu km humpendi bora umuache hata km ana pesa, wee kuwa na unaempenda mtafute wote, huku kujidanganya kuwa unaweza fake, matokeo yake ni hataree. Mapenzi yana nguvu mnoo na hayafichiki.

RIP dada mzuri, Tamaa mbele, Mauti nyuma.
...Ndio maana aliachika Ndoa ya Kwanza! Alikuwa hajatulia.
Kwa Nini ukatizame UEFA Vibanda-Umiza? Hawakuwa na TV ndani??
Kumbe anamfuata Mchepuko!!
 
Ndio umuue?.

We unapangiwa pa kwenda?.

Nakubali mke mheshimu mume ila ndio umuue akienda against?.
Kila Mtu ananjia zake za ku solve matatizo yake,Kama Mwamba kaamua kutumia risasi ku solve tatizo lake,sisi ni akina nani hadi tumuhukumu!!!?? Atajuwana na Muumba wake huko aliko!! Ila Wanawake wasikilizeni waume zenu zaidi kuliko the outsiders!!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kabisa!

Nilifanya maamuzi magumu mapema sana ,na kama nisingefanya hivyo huenda tungebadilishana majengo ya serikali
Mkuu umeghairi kuoa pisi inayokuelewa [emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom