Mume amemtuma mtoto wetu wa miaka mitano dukani usiku ni sahihi?

Nampa pole mmeo,mwanamke unapenda ligi wewe
Hongera kwa kuoa malaika alienyooka kama rula na naona mnaishi peponi...mimi ni binadam wa kawaida na sikatai kwenye ndoa yetu changamoto zinakujaga na zinapita na wala hatuwi defined na changamoto tunazopitia so naiona ndoa yangu mbali sana . USHINDWE NA DUA ZAKO MBAYA
 
Mume wako bwege, mama mkwe wako bwege, na wewe pia bwege
 
Siku nyingine usikubali kabisa mtoto wako atumwe dukani usiku. Kamwe usikubali hata huyo mume akisema huna adabu usimsikilize. Mwanao akipata matatizo wewe ndio utakayehangaika akibakwa wewe ndiye utalazwa nae hospital achana na upuuzi sio kila kitu anachosema mume kinatelelezeka.

Wanaume wengine wajinga sana sasa hapo anamkomoa mtoto au wewe? Stupid kabisa huyo shwain
 
Mimi mwenzenu nikisikia hizo habari tumbo la uzazi linacheza,hata kama ni ukomandoo hapana?ina maana hata ile huruma ya mzazi haipo alafu na wewe ulikuwa unafanya kazi gani
Emu twambie huyo mtoto ni wake?

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Hajawahi kufanya hivyo ni mara ya kwanza. Ilikua hivi mama yake ambae kwa sasa tupo nae aligundua kuna kitu kimepelea jikoni akamwambia mtoto wetu wa kike (ambae mara nyingi muda huo wa saa tatu na nusu usiku anakua ameshalala kasoro hii leo ) waongozane yeye kuna sehem anaenda mara moja wapitie dukan wanunue hicho kiungo ampe arudi mwenyewe .

Mimi kusikia hivyo nikamwambia sasa hiv usiku na kuna giza huko nje japo duka halipo mbali. Dada wa kazi akimaliza anachofanya au mimi nitaenda kuchukua . Mama mkwe akajibu sawa akaondoka, baada ya kama dakk 5 mume wangu akasema kwann mtoto asiende dukan yeye anamtuma. Nikamwambia sio sawa ni usiku sana mimi nitaenda akalazimisha .

Mtoto akatoka nje alivyofika mbal na eneo la nyumbani akarudi kumuomba baba ake akae nje awe anamuangalia kwa kua anaogopa. Mimi sijapenda hichi kitendo kwa kua hakukua na ulazima wq mtoto kwenda. Je ni sahihi na mimi nina overreact? Ushauri tafadhali ili nijue namna nzuri ya kuhandle hii situation ikitokea tena.
Pole sana
 
We muhuni Evelyn Salt hakuelewa somo, sasa umehamia kwa huyu binti 😂🤣

Si ndio wewe juzi ulikuwa unafukua nyuzi za dada Evelyn chumvi?
Ukiwa unafukua nyuzi unatutesa sisi, unajikita kila ukisogea ni nyuzi za kitambo, unadhani huenda mwenzetu katutoka, nikiingia nakuta muhuni umejibanza unafanya yako. 😂
 
😁😁😁😁😁😁 Hahaha sio mimi mkuuu!
 
Hajawahi kufanya hivyo ni mara ya kwanza. Ilikua hivi mama yake ambae kwa sasa tupo nae aligundua kuna kitu kimepelea jikoni akamwambia mtoto wetu wa kike (ambae mara nyingi muda huo wa saa tatu na nusu usiku anakua ameshalala kasoro hii leo ) waongozane yeye kuna sehem anaenda mara moja wapitie dukan wanunue hicho kiungo ampe arudi mwenyewe .

Mimi kusikia hivyo nikamwambia sasa hiv usiku na kuna giza huko nje japo duka halipo mbali. Dada wa kazi akimaliza anachofanya au mimi nitaenda kuchukua . Mama mkwe akajibu sawa akaondoka, baada ya kama dakk 5 mume wangu akasema kwann mtoto asiende dukan yeye anamtuma. Nikamwambia sio sawa ni usiku sana mimi nitaenda akalazimisha .

Mtoto akatoka nje alivyofika mbal na eneo la nyumbani akarudi kumuomba baba ake akae nje awe anamuangalia kwa kua anaogopa. Mimi sijapenda hichi kitendo kwa kua hakukua na ulazima wq mtoto kwenda. Je ni sahihi na mimi nina overreact? Ushauri tafadhali ili nijue namna nzuri ya kuhandle hii situation ikitokea tena.
Tukushauri nini we si mtu mzima bhana jambo dogo hili unataka ushauriwe
 
Kama dada wa KAZI anaweza kwenda sioni sababu ya hiyo mtoto kushindwa kwenda. Je kwani hiyo Binti wa KAZI sio mtoto wa mwanamke mwenzio.

Shida ni wewe na mawazo Yako hasi. Umeweka mawazo hasi kwenye Kila kitu.
Kila mzazi anajua hatari inayoweza kumpata mtoto na ukiona baba(mama mkwe, mjomba etc) amefanya jambo hasa kumtuma mtoto jua ameshaanya assessment ya eneo kuwa salama. Sasa wanawake wengi mnaober react.
 
Back
Top Bottom