Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Sijui watu wamelichukuliaje hilo suala? Nakazia hoja yako kwa kweli, usiku kuna mengi.Nimesoma comments zote, ama kweli mke wa kiafrika ataendelea kukandamizwa maisha yake yote. Hata kwa hili mnamkandamiza huyu dada kweli? Mnajaribu kuyapaka rangi nzuri makosa ya kila mtu isipokuwa ya huyu mwanamke mnayakuza.
Inaonekana ili amani ipatikane ndoani ni wajibu wa mke kuileta wakati huo wengine wote kazi yao iwe kuketa migogoro.
Msichana tafakari kwa usahihi na ikibidi kataa ndoa, ndoa ni ukandamizaji , ndoa ni manyanyaso, kama waoaji ndio hawa waliocomment humu.
Yan huyu saa 3 mbali hivyo?Mimi na huu uzee wangu siendi dukani ikifika saa 2 uck nikitembea kwa mguu..
kama naenda mtoko ni uber atafika mpk getini, kama ni dukani na siwezi subiria kesho nitaagiza boda.