Mume amemtuma mtoto wetu wa miaka mitano dukani usiku ni sahihi?

Nampa pole mmeo,mwanamke unapenda ligi wewe
 
Mume wako bwege, mama mkwe wako bwege, na wewe pia bwege
 
Siku nyingine usikubali kabisa mtoto wako atumwe dukani usiku. Kamwe usikubali hata huyo mume akisema huna adabu usimsikilize. Mwanao akipata matatizo wewe ndio utakayehangaika akibakwa wewe ndiye utalazwa nae hospital achana na upuuzi sio kila kitu anachosema mume kinatelelezeka.

Wanaume wengine wajinga sana sasa hapo anamkomoa mtoto au wewe? Stupid kabisa huyo shwain
 
Mimi mwenzenu nikisikia hizo habari tumbo la uzazi linacheza,hata kama ni ukomandoo hapana?ina maana hata ile huruma ya mzazi haipo alafu na wewe ulikuwa unafanya kazi gani
Emu twambie huyo mtoto ni wake?

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Pole sana
 
We muhuni Evelyn Salt hakuelewa somo, sasa umehamia kwa huyu binti πŸ˜‚πŸ€£

Si ndio wewe juzi ulikuwa unafukua nyuzi za dada Evelyn chumvi?
Ukiwa unafukua nyuzi unatutesa sisi, unajikita kila ukisogea ni nyuzi za kitambo, unadhani huenda mwenzetu katutoka, nikiingia nakuta muhuni umejibanza unafanya yako. πŸ˜‚
 
😁😁😁😁😁😁 Hahaha sio mimi mkuuu!
 
Tukushauri nini we si mtu mzima bhana jambo dogo hili unataka ushauriwe
 
Kama dada wa KAZI anaweza kwenda sioni sababu ya hiyo mtoto kushindwa kwenda. Je kwani hiyo Binti wa KAZI sio mtoto wa mwanamke mwenzio.

Shida ni wewe na mawazo Yako hasi. Umeweka mawazo hasi kwenye Kila kitu.
Kila mzazi anajua hatari inayoweza kumpata mtoto na ukiona baba(mama mkwe, mjomba etc) amefanya jambo hasa kumtuma mtoto jua ameshaanya assessment ya eneo kuwa salama. Sasa wanawake wengi mnaober react.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…