Mume amfikisha mahakamani mkewe kwa kupeleka mshahara wake kanisani

Mume amfikisha mahakamani mkewe kwa kupeleka mshahara wake kanisani

Kwahiyo kumpelekea Mchungaji ni sawa?

#YNWA
Mimi point yangu ni mwanaume unathubutu vipi kusimama hadharani tena mahakamani kulalamika kwamba mkeo hakusaidii majukumu yako ndani ya nyumba?Hayo mnafundishwa wapi na wanaowafundisha hayo ni kinanani?aliens???

Ipo namna ya ku-deal na mwanamke ambaye dini imemvuruga,huyo unamwacha humhudumii kwa chochote muhimu tekeleza majukumu yako kwa wanao kama baba yeye mambo yakimwia magumu ataishi kwa hesabu.

Acheni masihara na ni ujinga unaowa huku kichwani unawaza kusaidiwa maisha na mwanamke haya ni mawazo ya umaskini wa uanaume.
 
Huyo mwanamke ni mduanzi, mwamba anawezaje kuishi na mwanamke kiazi na mbinafsi kiasi hicho. Eti anapeleka mshahara kanisani
 
Maisha ni kusaidiana sio ujinga huo unao sapoti
Maisha kusaidiana nenda kwa mwanaume mwenzako mkope pesa akikupa huo ndo msaada wa kiume siyo mwanamke umemuowa wewe,umemzalisha wewe halafu tena utake akupe msaada huo ndo ujinga mkubwa zaidi kama unakataa kumuulize baba yako.

Ita-make sense kama utakuwa umeolewa wewe!
 
Mwanaume lofa hawezi toa miongozo kwa mwanamke mwenye kazi yake ma pesa kumzidi
Aisee we mdada/mkaka huwa una akili za kindezi sana, ni ccm ndio ime corrupt ubongo wako namna hii, hiyo corrosion iliyokula ubongo wako sio ya kiwango cha kawaida.
 
Mimi point yangu ni mwanaume unathubutu vipi kusimama hadharani tena mahakamani kulalamika kwamba mkeo hakusaidii majukumu yako ndani ya nyumba?Hayo mnafundishwa wapi na wanaowafundisha hayo ni kinanani?aliens???

Ipo namna ya ku-deal na mwanamke ambaye dini imemvuruga,huyo unamwacha humhudumii kwa chochote muhimu tekeleza majukumu yako kwa wanao kama baba yeye mambo yakimwia magumu ataishi kwa hesabu.

Acheni masihara na ni ujinga unaowa huku kichwani unawaza kusaidiwa maisha na mwanamke haya ni mawazo ya umaskini wa uanaume.
Kwani huyo Mchungaji anaepewa huo mshahara na Mke wa Mtu na yeye si Mwanaume na ana mke vile vile,Sasa kwani nini Mchungaji na Mkewe wale pesa za Mke wa Mtu!?
 
Maisha kusaidiana nenda kwa mwanaume mwenzako mkope pesa akikupa huo ndo msaada wa kiume siyo mwanamke umemuowa wewe,umemzalisha wewe halafu tena utake akupe msaada huo ndo ujinga mkubwa zaidi kama unakataa kumuulize hata baba yako.

Ita-make sense kama utakuwa umeolewa wewe!
Yaani anaami saa 12 anaenda kazini akitoka huko anapitiliza kanisani, na kuanzia alhamisi anakesha kanisani, mara wanaenda kuubili sijui wapi, yaani kama kajishikiza kwako ili apate wa kumpumzikia Ili aendelee na yake
 
Hii ni kwa Wanawake wa kiafrika au siyo,ndio maana wanazeeka bila kuolewa.
Mkisha kuwa pamoja kila kitu ni ku-share equally.
Sio wanadai haki sawa halafu majukumu yawe ya mwanaume peke yake,wote watumishi lazima majukumu ya familia mshirikiane.
 
Maisha kusaidiana nenda kwa mwanaume mwenzako mkope pesa akikupa huo ndo msaada wa kiume siyo mwanamke umemuowa wewe,umemzalisha wewe halafu tena utake akupe msaada huo ndo ujinga mkubwa zaidi kama unakataa kumuulize baba yako.

Ita-make sense kama utakuwa umeolewa wewe!
Kama kipato chake hakionekani kinapoenda ni bora akae nyumbani ahudumie watoto naye hataulizwa kwa lolote.

Unachokitete ni ima hauko kwenye ndoa au unafanya furahisha genge . mkeo kama anafanya kazi lazima in put ionekane. kama haionekani aache kazi afanye majukumu yake asilia.
 
Huyo mwanaume anataka pesa ya mwanamke tu

Uanaume sio kuvaa suruali na dude kama bunduki katikati ya suruali

Ni uwezo wa kuhudumia familia bila kuelekea ku force ohh nipe kadi ya benki na ATM na namba ya Siri

Watetezi wanasheria wa haki za wanawake na NGo tetea haki za wanawake siku hiyo kesi iliyotajwa jazaneni hasa kuonyesha solidarity na huyo mama. Maafisa balozi wa nje pia wawepo wa dawati la balozi wa jinsia.

Mfumo dume unahitaji kusomeshwa.

Hakimu na wewe kakamaa mwanamke mwenzio huyo. Toa hukumu ya kihistoria ambayo ita trend dunia nzima ili mwanaume yeyote Mwenye tabia kama hiyo asije tokea.
Kama mke kaolewa na hao NGO basi itakuwa sahihi ila kaolewa na mume anaejielewa alitakiwa aache mambo ya kisenge. Ndoa sio mashindano na masikilizano ni muhimu.

Kwangu mke ni rasilimali yangu so whatever the productivity anayokuwa nayo iwe kunizalia watoto ama kujenga uchumi lazima ninufaike navyo without hesitation. Ninafanya kazi nae anafanya kazi ila huo ujinga wa kupeleka hela kwa askofu hawezi thubutu kufanya.

Familia nai support ila ikifikia nimekwama anapokea kijiti bila kelele. Hio ndio namna ambayo tunaishi.
 
Mama abakie hapo hapo.
Anaitaka ATM aisee

Mwanamke kweli umkabidhi mime ATM? That is too much

Wanawake vizuri kuomba Mungu kutopata kidume kilofa kama hicho hopeless kabisa kiofisa magereza

Kinadhalilisha jeshi la magereza wanawake wenye kazi zao watakatakaa kuolewa na Askari magereza kuwa watawapokonya ATM
Padri akibaka usiseme ukatoliki haufai hakuna connection yeyote kati ya magereza na tabia binafsi za Askari wake
 
Kwahiyo kumpelekea Mchungaji ni sawa?

#YNWA
Huyo si kwamba anampelekea Mchungaji, mmewe itakuwa hataki tu mkewe aende kusali huko, unazani hata Sadaka zenyewe zinazotolewa ni nyingi basi kama umewahi kusali huko uliza wahesabu sadaka ni buku buku tu ndiyo zimejaa.
 
nimebahatika kuona nyumba ya mhasibu wa yule mbunge wa kawe, ukuta tu unajenga nyumba kumi na pesa inabaki.
 
huyu malaya ndio sababu inafanya wafanyakazi wanawake wengi kukosa ndoa.

jinga kabisa.
 
Back
Top Bottom