Billion Dolar
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 1,292
- 2,953
Maana kama ni mgegedo hata malaya anaweza nipa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣huyu jamaa nae hajielewi,ingekuwa mm,nawaibukia na kakirikuu siku Yao pendwa ya jpili,nabeba speaker,Mike,viti ,vikapu vya kukusanyia pesa ,n.k Hadi nitakapoona vimetimia dhamani ya pesa aliyowapa wife!! baada ya hapo nione Nani atakayenifuata!![emoji16]
Hii imekaa sawa kabisa.. Yaani unasimamisha hadi mafuta ya kupakaKakosea Kumpeleka Mahakamani, anazidi Kumpa kichwa huyo Mwanamke.
Alitakiwa a deal nae Hapo Hapo Nyumbani.
Kata huduma kwake zote zinahusu Pesa.
Make sure that unanunua Mahitaji yote home, humpi huyo Mwanamke hata Senti, hudumia watoto, Lipia Bill zote ila yeye atajua Mwenyewe na Kanisani kwake.
Full stop ,atapigika, akili itakaa sawa.
Umeowa we bwana evil Genius ?Mwanaume huweza kutegemea hela ya mwanamke kuendesha familia.
Mwanaume wewe ndie baba na kichwa cha familia, ukishategemea hela ya mwanamke ikusapoti kuendesha familia unapoteza haki yako ya kua kichwa cha familia.
Mwanaume siku zote lazima ujue kua hela ya mwanamke ni yake sio ya kwako. Akitoa kusaidia sawa na asipotoa usiumie, hilo ni jukumu lako.
Mwanaume unategemeaje mshahara wa mke wako?
Ila wanawake wana dhana moja tu ya kupokea yani yeye ni apewe tu sio vinginevyo, linapokuja swala ni familia utazani watoto sio wetu wote, maisha sahivi yamepanda sana usaidizi ni muhumi kama mkeo ana ajira bora mke awe mama wa nyumbani mwanaume ujue utapambanajeInashangaza mkuu , mume kutaka ATM ni kwa namna ya kumsaidia huyo mwanamke na matumizi ya hovyo.
Fikiria mnaishi na mtu ndani kwa maisha ya sasa yeye hela yake ni kupeleka huko kwenye makanisa ya kiroho harafu huku ndani hafanyi chochote...
Wengine wacha tunyamaze, unarudi home unakuta assets za ndani zimetoweka. Unauliza unaambiwa nimempelekea mama Nabii, unafatilia unambiwa huwezi kuzipata kwani zimekabdhiwa madhabauni na mke wako. Unatoa hela muinvest kama millioni 7 unakuta karibu robo amepelekewa nabii, unarudi home unakuta picha kubwa chumbani ukutani, imeandikwa baba wa kiroho. Unatamani kuhama nyumba na unakuta ni mama wa nyumbani tu. Unashangaa VICOBA wanakuja kutaka kubeba vitu vya ndani wanadai 4.5 M alizokopa wife, unamuuliza kazifanyia nini anasema matumizi ya nyumbani na hakuna alichofanyia. Nashangaa sana bahadhi ya comments humu.Hili suala watu wanalizungumza kirahisi sana, ni suala gumu na baya mno kwenye familia.
Nina uzoefu na ushuhuda nalo. Afadhari huyo anapeleka fedha tu, wengine tulishakuta Tv, vyakula nk vimeshaenda kutolewa sadaka. Ujinga gàni huo. Hayo mambo pia yanaambatana na tabia flani hivi, sio tu anapeleka pesa, mikesha ya usiku, hiduma kwa mchungaji ( huduma zingine mpaka zinakifanya kuwaza sana kama zina kheri au ni mjumuiko wa madhambi tu).
Mi ni mwathirika mkubwa wa kadhia hii, sitaki hata kukumbuka yaliyonitokea. Nawashangaa wanaao mtweza huyu ndugu, usiombe yakupate. Hapo mwanamke huwa nusu mwehu na nusu kichaa, sio wa kawaida akifikia hatua hiyo.
Wengi wa humu ni Watoto hata kuonja k hawajawahi! Comments zinaonesha ukurupukaji. Hii ilitokea kwa Marehemu Dr Likwelile ambaye alimuacha mkewe wa kwanza kwa kupeleka gari na kulitoa kanisani ati ameokoka! Ukiona mwanamke anafanya kitu kama hicho bila kushauriana na mumewe, jua anachepukaThank you mkuu, wahanga wa hio tuko wengi, nasikitika sana kusoma bahadhi a comments. Haswa huyu YEHODAYA ni janga kuu.
Huyo mwanamke ni kikwazo kwa familiaUkizingatia kuwa anatumia muda wa kuihudumia familia kufanya hiyo kazi, lakini matokeo ya kazi anayapeleka kanisani...
Mwanaume lofa hawezi toa miongozo kwa mwanamke mwenye kazi yake ma pesa kumzidimwanaume kamili anatoa miongozo ya kila kitu hautaki tafuta mwingine .
Muujiza wa kuvurugiwa ndoa?Sasa kama ametendewa muujiza asipeleke sadaka 😀😀😀😀
Lengo ni kuzuia kupeleka pesa kwa tapeli, lengo sio kuchukua ATM cardMke kasema Mme anataka apewe ATM kadi
YEHODAYA sio mjinga na yeye ni mchungaji wanaofaidika na pesa za wanawake wajinga. Anatetea ugali wakeThank you mkuu, wahanga wa hio tuko wengi, nasikitika sana kusoma bahadhi a comments. Haswa huyu YEHODAYA ni janga kuu.
Hilo gari lilikuwa la mkewe.Likwelile akawa analazimisha kulitumia kwa mambo ya ufuska na wanawake wengineWengi wa humu ni Watoto hata kuonja k hawajawahi! Comments zinaonesha ukurupukaji. Hii ilitokea kwa Marehemu Dr Likwelile ambaye alimuacha mkewe wa kwanza kwa kupeleka gari na kulitoa kanisani ati ameokoka! Ukiona mwanamke anafanya kitu kama hicho bila kushauriana na mumewe, jua anachepuka
Acha ujinga wewe upate hela upeleke kwa mwanaume mwingine halafu uje useme eti wanaume tafuteni hela kwanini usimwambie na huyo unayempelekea hela nae atafute kwanini yeye ni mwanamke?Wanaume tafuteni pesa, pesa ya mwanamke ni yake, ila ya mume ni yenu.
Hasa mwanamke ndio GIMBI kabisa.Mme na Mke wote ni viazi[emoji848][emoji848]