Mume amfikisha mahakamani mkewe kwa kupeleka mshahara wake kanisani

Mume amfikisha mahakamani mkewe kwa kupeleka mshahara wake kanisani

Alikuta frig lake lipo kwa kakobe akalifuata haa haa sio wale wakulia lia[emoji23][emoji23]
Hadi rav4 ipo kwa mchungaji, mjeshi kufika pale kaingia ofisini kwa kakobe, kakobe akajua mamaa kaleta muumini mpya kumbe jamaa kafata mali zake. Kakobe alicheua kila kitu
 
Mama abakie hapo hapo.
Anaitaka ATM aisee

Mwanamke kweli umkabidhi mime ATM? That is too much

Wanawake vizuri kuomba Mungu kutopata kidume kilofa kama hicho hopeless kabisa kiofisa magereza

Kinadhalilisha jeshi la magereza wanawake wenye kazi zao watakatakaa kuolewa na Askari magereza kuwa watawapokonya ATM
Ila kumpa Mchungaji ni sawa?

#YNWA
 
😅😅😅😅mambo ni mengi kuliko muda

bora kuachika kuliko kutoa kadi, hukumu ikitoka utuletee mrejesho

Ni aibu dume Zima kung'ang'ania fedha za mkeo. Sio kazi yake kuhudumia familia. Kidume ng'ang'ana !!! Akikunyima chini ya kitovu hapo nenda mahakamani... Lakini sio kadi yake ya benki.!!!

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app

Madhara ya kuowa mke ili akusaidie maisha,hili ni tatizo kubwa vijana amkeni maisha ya hivyo sayari hii hayapo shauri zenu msije sema hamkuambiwa.

Huyo bwana hazimtoshi

Mama abakie hapo hapo.
Anaitaka ATM aisee

Mwanamke kweli umkabidhi mime ATM? That is too much

Wanawake vizuri kuomba Mungu kutopata kidume kilofa kama hicho hopeless kabisa kiofisa magereza

Kinadhalilisha jeshi la magereza wanawake wenye kazi zao watakatakaa kuolewa na Askari magereza kuwa watawapokonya ATM

Mume hana akili

Huyo sio mwanaume😃😃😃😃😃😃😃😃

Kweli kuna wanaume viazi yani wewe na Mke mfanye kazi halafu useme hela ya Mkeo atumie anavyotaka huku wote MNA watoto wana wategemea.
Ndio maana Wazungu wanatuzidi.


Kwahiyo kumpelekea Mchungaji ni sawa?


#YNWA
 
Kwahiyo kumpelekea Mchungaji ni sawa?


#YNWA
Sasa kama ameamua mimi na wewe ni nani tupinge? Unajua alichofanyiwa huko kanisani ? Tena hapo ameshafikisha na mashtaka kwa baba mchungaji 😅😅😅
 
Hata kama mwanaume ni kichwa cha familia ila namsapoti huyo mwamba kutaka ndoa ivunjike huo ni upimbi. Unafanya kazi kwa bidii mnaishi kwa tabu ila hela ya mwenzio ingekua hata anajenga kwao au anajinunulia nguo ni sawa ila anampa fala mmoja tu huko anayejiita mtume huo ni ufala wa hali ya juu.

Huyo mwanamke kudai mume anataka Kadi ya benki ni uongo asilimia 900. Ampe talaka tu akalitumikie kanisa vyema.
Wanapateliwa sana hawa wamama huko makanisani
 
Ni sahihi inabidi kama unafanya kazi maana yake unatumia muda wa familia na kama unatumia muda wa familia lazima uutumie kwa faida ya familia ambayo ndio taasisi yako yenye uongozi wa mume.

Haiwezekani utoke Kila siku masaa 8 uwaache watoto na dada wa kazi kwaajili ya kuchangia Pato la kanisa badala ya taasisi Yako ya familia.

Kikubwa mke asie na akili kumuoa unakua unajitafutia shida kubwa, alipaswa amshauri mke wake aache kazi Ili alee watoto na ahudumiwe na mume sio aende kazini aache kulea watoto halafu haijulikani anachangia nini kwenye familia. Mume au mke mbinafsi kuishi nae ni tatizo kubwa sana utateseka sana.

Hiyo ndoa ivunjike haiwezi kukaa tena kwasababu mke ni mbinafsi sana na hatekelezi majukumu yake.

Kwa wanaosema mume anajukumu la kumuhudumia mke hivyo mshahara wa mke haumuhusu ni kweli kabisa lakini huyu mke anajukumu la malezi ya familia hivyo akae nyumbani atulie kulea watoto Ili mume amuhudumie.

Zamani mke alikua analelewa na mume kwenye mfumo dume kwasababu mke alikua anajikita kwenye majukumu ya ulezi sio ya kutafuta kipato/riziki ya familia. Sasa hivi mke na mume wanasaidiana kutafuta kipato Cha familia kwaajili ya familia.

Ukitumia muda wa taasisi Yako (Familia) bila familia kuona faida utaondolewa kwenye hiyo taasisi maana huna faida.
Umefunga kikao mkuu, kama mke anataka audumiwe na mume kwa asilimia 100 sioni sababu ya kuajiri house girl tena ilibidi mke akae nyumbani alee familia
 
Unazingatiaje vitu hivyo ili uoe,? ukishakua mwanaume hakuna la kukushinda kuli handle shida mwanzo mnaanza vibaya kwenye mahusiano na mwanaume inakuletea shida maisha yako yote
Wanaume wa sikuhizi dhaifu sana mkuu, yaan mwanaume una diploma unamuogopa mwanamke mwenye bachelor kweli. Hapo kwenye pesa ndio kidogo patanipa changamo Wala sio elimu au umri
 
Kama hujawahi kuwa na mwanamke aliyekimbilia kwenye ulokole ni ngumu sana kumuelewa huyo mwamba, wanawake wanaohama madhehebu wakiwa kwenye ndoa na kwenda kwenye ulokole ni pasua kichwa, wanakjwa wanatiwa viburi sana na wachungaji, hasa hawa wenye mishahara, wachungaji wanakula sana hela zao.
Mke wangu wa zamani aliingia huko wakati tukiwa mm nasali RC na yeye Anglican, akaingia kwa walokole sijui sloam, ndani ya mwaka we had to separate and later divorced. Sasa baada ya divorce, na kujikuta anatakiwa kutumia hela yake kwa maisha yake na kujua kuwa huko aliko anapigwa tu hela zake, amehama tena hilo dhehebu na karudi anglican. Yaani kwa ufupi, wanawake wanaohamia kwenye ulokole baada ya ndoa ni pasua kichwa
Nafikiri amejifunza ...
 
Kuna wanawake wameshikwa saana na wachungaji wa makanisa ya kilokole,

Yeye hawazi kitu zaidi ya huko kanisani , familia siyo kipaombele teena .kama kuna hela inatakiwa ifanye mambo mawili kanisani na nyumbani hiyo hela moja kwa moja inaenda kanisani.

Harafu hao wachungaji wanakula bata tuu kwa pesa za wajinga wachache...
 
Wanaume tafuteni pesa, pesa ya mwanamke ni yake, ila ya mume ni yenu.
Kama unaishi chini ya sheria basi ujue kila kinachopatikana ndani ya mke na mume ni chenu wote, ndiyo sababu mahakama iliipokea kesi. Hapa inaonekana mke ana mwanaume mwingine kanisani.
 
Sheria ipi inasema mwanamke akiolewa akabidhi ATM kwa mume wake choka mbaya lofa ambaye hana uwezo kuhudumia familia
Acha kunisumbua akili kwa jina la sheria mwanamke asiyemtii mme wake akatafute mwanaume mwengine ,na mwanaume kamili anatoa miongozo ya kila kitu hautaki tafuta mwingine .
 
Hata kama mwanaume ni kichwa cha familia ila namsapoti huyo mwamba kutaka ndoa ivunjike huo ni upimbi. Unafanya kazi kwa bidii mnaishi kwa tabu ila hela ya mwenzio ingekua hata anajenga kwao au anajinunulia nguo ni sawa ila anampa fala mmoja tu huko anayejiita mtume huo ni ufala wa hali ya juu.

Huyo mwanamke kudai mume anataka Kadi ya benki ni uongo asilimia 900. Ampe talaka tu akalitumikie kanisa vyema.
Ukizingatia kuwa anatumia muda wa kuihudumia familia kufanya hiyo kazi, lakini matokeo ya kazi anayapeleka kanisani...
 
Kakosea Kumpeleka Mahakamani, anazidi Kumpa kichwa huyo Mwanamke.

Alitakiwa a deal nae Hapo Hapo Nyumbani.
Kata huduma kwake zote zinahusu Pesa.

Make sure that unanunua Mahitaji yote home, humpi huyo Mwanamke hata Senti, hudumia watoto, Lipia Bill zote ila yeye atajua Mwenyewe na Kanisani kwake.

Full stop ,atapigika, akili itakaa sawa.
Thank you mkuu, wahanga wa hio tuko wengi, nasikitika sana kusoma bahadhi a comments. Haswa huyu YEHODAYA ni janga kuu.
 
Back
Top Bottom