Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
wapigane chini tu, hakuna namna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WAACHANE TU KILA MMOJA ASONGESHE KIVYAKE.MNAPOSHINDWA KUELEWANA KATIKA HOJA ZA MAENDELEO YA FAMILIA YENU HUWA HAKUNA MAANA TENA.Hawa wote ni majanga,
Wee unaoaje mwanamke anaye kuzidi UMRI??
Ke ana.32 Me ana.31
So nani alianza kuumbwa??
TAFUTA UBAVU WAKO BRO, NAYE ANA UBAVU WAKE
Tatizo roho inauma zaidi unapogundua mshahara wote unaliwa na mchungaji, yaan unahisi kama hela zimetupwa tu[emoji23][emoji23]Ni aibu dume Zima kung'ang'ania fedha za mkeo. Sio kazi yake kuhudumia familia. Kidume ng'ang'ana !!! Akikunyima chini ya kitovu hapo nenda mahakamani... Lakini sio kadi yake ya benki.!!!
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Ww msimbe tulia,umeachwa ninHuyo mwanaume anataka pesa ya mwanamke tu
Uanaume sio kuvaa suruali na dude kama bunduki katikati ya suruali
Ni uwezo wa kuhudumia familia bila kuelekea ku force ohh nipe kadi ya benki na ATM na namba ya Siri
Watetezi wanasheria wa haki za wanawake na NGo tetea haki za wanawake siku hiyo kesi iliyotajwa jazaneni hasa kuonyesha solidarity na huyo mama.Maafisa balozi wa nje pia wawepo wa dawati la balozi wa jinsia
Mfumo dume unahitaji kusomeshwa
Hakimu na wewe kakamaa mwanamke mwenzio huyo .Toa hukumu ya kihistoria ambayo ita trend dunia nzima ili mwanaume yeyote Mwenye tabia kama hiyo asije tokea
Mbatata kabisa
Hili suala watu wanalizungumza kirahisi sana, ni suala gumu na baya mno kwenye familia.Inashangaza mkuu , mume kutaka ATM ni kwa namna ya kumsaidia huyo mwanamke na matumizi ya hovyo.
Fikiria mnaishi na mtu ndani kwa maisha ya sasa yeye hela yake ni kupeleka huko kwenye makanisa ya kiroho harafu huku ndani hafanyi chochote...
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] We jamaa mkorofi sanahuyu jamaa nae hajielewi,ingekuwa mm,nawaibukia na kakirikuu siku Yao pendwa ya jpili,nabeba speaker,Mike,viti ,vikapu vya kukusanyia pesa ,n.k Hadi nitakapoona vimetimia dhamani ya pesa aliyowapa wife!! baada ya hapo nione Nani atakayenifuata!![emoji16]
Kwani kasema anapeleka mshahara wote au kamuomba pesa zake? Kama inauma oa Mama wa nyumbaniIla inauma zaid. Yan uoe ww, umlishe, uvalishe, alale kwako alafu mshahara ampe mchungaji tena akiwa mchungaji mwanaume ndio inachoma had miguu
una akili sanaNimejifunza kuwa mwanaume ukilileta jambo lako linalohusiana na mwanamke kwenye hadhara ni rahisi mwanaume kugeuziwa kibao kwa kuwa wanawake Wana uwezo mkubwa sana wa kuplay victims na jamii ikakubali haraka madai yao.........
Hizi ni nyakati ngumu kuwa mwanaume hasa kama umebahatika kuoa......ndio maana wanaume tunakufa vifo vya ghafla......
Mada zozote zinazohusu Wana ndoa....zinahitaji umakini kuchangia na sio kufuata mihemko...
Hao ndiyo hata akija nyuma akikuta mazaga zaga anakula tu bila hata kuuliza kisa mke anakazi, kama ni ndugu lazima nimpe vidonge vyakeHakimu hii kesi yaweza kumpaisha kimataifa na kuipaisha nchi kimataifa kuwa Tanzania ina mahakimu mahiri
Ashirikishe mahakimu nguli,mawakili nguli wa hataki za wanawake na NGo ku draft hiyo hukumu
Hiyo kesi ni mfumo dume versus mfumo jike kwe rights za mwanamke
Handle carefully hiyo kesi imebeba image ya nchi kwenye haki za mwanamke awe wa kanisani au nyumbani au mfanyabiara nk
mkuu safi sanaTatizo hamjalipima hili kwa upana ,Mimi kwa mawazo yangu naona jamaa anampenda mke wake na anaumia Sana mke wake kupeleka pesa kwa Hawa matapeli wachungaji uchwara.
Bora huyo mwanamke angekua anafanyia hizo pesa kwenye Mambo hata ya familia ya kwao ,kumbuka Wana watoto vipi huyo mama amewaza hatma ya watoto hapo baadae ,si Bora hizo pesa angesaidiana na mmewe kuwawekezea watoto.
Jamaa kutaka Atm ni Kama kumwokoa na ujinga alio nao.
Na hapo wakiachana ambaye anaenda kuwa na maisha magumu ni mwanamke maana tayar matapel washamkamata akil zake haambiw kitu Wala kusikia.
Inauma Sana upo na mwenzio wote mungu kawabarik kipato kidogo alafu mwingine anakichezea tu kwa kugawa kwa wachungaji feki.
Huyo mwanamke angekua anasaidia hata watoto wake tu huyo Jamaa asingekua na shida na Atm yake ,yaan kila kitu mwanaume sidhan km ndoa za watumishi waliooana zipo namna hiyo ,mkisaidiana hata love inakngezeka .
Swala la atm ni love tu ,mwez fulan anaweza enda na atm zote mbili mwanamke na mkapanga bajet kwa pamoja ,mwez mwingine akaenda yeyote ,ni swala la upendo tu na kusikilizana .
Narudia Tena huyo mwanamke anaenda kuishi maisha ya taabu Sana kwa kutaka sifa za huko makanisan na bahat mbaya amezalishwa hivyo hata Kama atapata bwana Basi yeye ndie anaenda kugharamika vibaya mno na mwisho wa siku atakuja jiona mjinga wa mwisho maana hakuna atakachokua amekikwepa hapo.
Mahitaji yake yote umpe ,sio mzazi wake kule kaomba pesa yakununulia mboga unaanza sijaoa ukoo kaka zako wapo hapana, wakati wewe upo busy na ndugu zako haipo hiyo!Naona wanawake mnakomaa,lakini undani wa maisha yao hamuufahamu. Kama mwanamke hataki fedha zake zihudumie familia aache kazi. Lakini kutoka asubuhi kwenda kupoteza muda huna unachochangia ni upimbi. Aache kazi ili pesa yake isitumike.
Pesa ya mwanamke ni yake akitoa shukuru, pesa ya saloon hiyo, ukute hata hajui mke anasuka nywele kwa shiling ngapi ila anataka kujua hiyo laki tatu ya mke inaenda wapi![emoji23]Ukiangalia kwa undani hii stori sio kwamba jamaa alitaka akabidhiwe kadi,isipokuwa hela ilikuwa inaishia kusikojulikana ndio maana akataka ajue inaenda wapi.
Umeoa?Pesa ya mwanamke ni yake akitoa shukuru, pesa ya saloon hiyo, ukute hata hajui mke anasuka nywele kwa shiling ngapi ila anataka kujua hiyo laki tatu ya mke inaenda wapi![emoji23]
Mke kasema Mme anataka apewe ATM kadiShida sio kadi, shida ni kumpelekea tapeli pesa
we bidada bhana umekomaa sana au yalishawahi kukukuta nn yaan sikupanga kucoment ila imenibidi nifanye hivo tu.Sheria ipi inasema mwanamke akiolewa akabidhi ATM kwa mume wake choka mbaya lofa ambaye hana uwezo kuhudumia familia
Kwa mawazo haya utaolewa kweli pesa ingekua ndio ndoa Bill gates asingeachana na mke wake Upendo na utu na hofu ya Mungu ndio kila kituWanaume tafuteni pesa, pesa ya mwanamke ni yake, ila ya mume ni yenu.