jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 4,888
- 6,459
Wanawake wakizungu Wana akili nyingi Sana yani haita tokea Mwanamke wakizungu apokee mshaara awe ana peleke wote kanisani bila kumshirikisha mumewe hHii ni kwa Wanawake wa kiafrika au siyo,ndio maana wanazeeka bila kuolewa.
Mkisha kuwa pamoja kila kitu ni ku-share equally.
Sent using Jamii Forums mobile app