Mwanafunzi mtoro
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 222
- 806
PossiblyUliyemquote hukumuelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PossiblyUliyemquote hukumuelewa
Sure ndugu ,yaan kitendo cha kutoka asubuh sambamba na mwanaume means na wewe umeamua kutafuta na kushare na familia kinachopatikana .Naona wanawake mnakomaa,lakini undani wa maisha yao hamuufahamu. Kama mwanamke hataki fedha zake zihudumie familia aache kazi. Lakini kutoka asubuhi kwenda kupoteza muda huna unachochangia ni upimbi. Aache kazi ili pesa yake isitumike.
Amlee kwa hiari sio shinikizoMwanamke akimlea mume wake wa ndoa iyo inaubaya gani?
Kwa mujibu wa mada iliyopo jamvini Mama hachangii chochote na anafanya kazi. Sasa apo ameoa au anaishi na hawara yake?
Wanawake wanazngua sana wanakazi ya kupeleka pesa kwa mwamposa😀😀Wanaume tafuteni pesa, pesa ya mwanamke ni yake, ila ya mume ni yenu.
Sheria ipi inasema mwanamke akiolewa akabidhi ATM kwa mume wake choka mbaya lofa ambaye hana uwezo kuhudumia familiaMatumizi mabaya kabisa ya mahakama ,wanaume wapo wengi huyo mwanamke kama hataki kutoa kadi akatafute mwanaume ambaye hajisumbui na kadi ya mwanamke wapo wengi,na wanawake wako wengi huyo mwanaume akatafute wapo wengi wanataka mwanaume wa kumpa hata nyumba sio kadi tu.Tusichoshane
Rafiki yangu inaonyesha akili zako si nzuri.Wewe unataka kulelewa na mwanamke kipato huna unataka mwanamke akutunze na kipato chake bwege wewe
Ulitakuwa ukaoe mwanamke lofa mwenzio size yako anayeendana na ulofa ulionao sio kutafuta mwanamke matawi ya juu umlalie kipato chake kusaidia choka mbaya wewe uliyepigika kimaisha kama wewe.Lugha uliyoandika humu unaonyesha wewe lofa choka mbaya
Mwanamke atoe hela yake kwa hiari sio kulipa labda kugharimia chochote kwa nguvu inatakiwa iwe kwa hiari sio kwa kumshikia panga au kumpelekea mahakamani kushinikiza
Kutaka sifa tu kwa wnaawake hapa jf ,hii ni fursa kwa madomo zege wote ,ila uhalisia haupo hivyo.We kichwa maji hujitambui,siku ukijitambua utajutia Sana haya unayo andika hapa
Sasa kama ametendewa muujiza asipeleke sadaka 😀😀😀😀Suala ni pastor kutapeli waumini
Uko sahihi Mkuu!Nyie. Mnamlaumu bure jamaa..hamjajua walokole wanawake walivoshikiwa vichwa vyao na wachungaj
Alafu we jamaa nimefuatilia comments zako tokea mwanzo inaonekana una machungu Sana na Askari wa magereza binafsi naona ushawahi fanyiwa kitu mbaya na wajelajela maana sio kwa mipovu hiyo .Wewe unataka kulelewa na mwanamke kipato huna unataka mwanamke akutunze na kipato chake bwege wewe
Ulitakuwa ukaoe mwanamke lofa mwenzio size yako anayeendana na ulofa ulionao sio kutafuta mwanamke matawi ya juu umlalie kipato chake kusaidia choka mbaya wewe uliyepigika kimaisha kama wewe.Lugha uliyoandika humu unaonyesha wewe lofa choka mbaya
Mwanamke atoe hela yake kwa hiari sio kulipa labda kugharimia chochote kwa nguvu inatakiwa iwe kwa hiari sio kwa kumshikia panga au kumpelekea mahakamani kushinikiza
Sio kanisa ni akili ya mtu binafsi ilivyoHaya makanisa ya kilokole yanaharibu saana watu...
Bora atunze siku ukifulia akukopesheIla inauma zaid. Yan uoe ww, umlishe, uvalishe, alale kwako alafu mshahara ampe mchungaji tena akiwa mchungaji mwanaume ndio inachoma had miguu
Si hamsini hamsini kama ni hivyo matatizo ya upande wa kwao hasi muhusishe mumeweNi aibu dume Zima kung'ang'ania fedha za mkeo. Sio kazi yake kuhudumia familia. Kidume ng'ang'ana !!! Akikunyima chini ya kitovu hapo nenda mahakamani... Lakini sio kadi yake ya benki.!!!
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Itakua hapeleki kanisa atakua anapeleka sehemu ingine, mume kushtaki sio jambo dogoBora waachane harafu mwanamke aendelee kupeleka mshahara wake kanisani...
Mwanaume alichotakiwa kufanya nikumuwekea vikwanzo vya kiuchumi mwanamke ili hashindwe kupeleka pesa kanisaniUkiangalia kwa undani hii stori sio kwamba jamaa alitaka akabidhiwe kadi,isipokuwa hela ilikuwa inaishia kusikojulikana ndio maana akataka ajue inaenda wapi.
Haya sawa katekwa na ni mama wa nyumbani sawa umemfungulia mradi ulimfungulia ili awe na pesa yake au awe kibarua wako wa kukuletea pesa kila siku kama dereva wa daladala ? Au bodaboda? Au umemgeuza chuma ulete wako? Kuwa yeye ni cheap labour anachouza akuletee hesabu na cash? Akishakupa wewe unamparamia kama punda kumnanihii ndio shukrani yake? Yeye chake hana kuanzia ATM?Rafiki yangu inaonyesha akili zako si nzuri.
Hata post zako zinadhihirisha hilo.
Mimi ni mtumishi wa umma ninayelipwa milioni na point (niko tayari kuonyesha salary slip) na mke wangu ni mama wa nyumbani nimemfungulia mradi unaouingizia familia kipato.
Huyo dada ni chizi katekwa na manabii wahuni.
Kwanini tabia ibadilike baada ya kuhama dhehebu?
Kakosea Kumpeleka Mahakamani, anazidi Kumpa kichwa huyo Mwanamke.