Mume amfikisha mahakamani mkewe kwa kupeleka mshahara wake kanisani

Mume amfikisha mahakamani mkewe kwa kupeleka mshahara wake kanisani

Kabla kujadili uhalali wa mwanaume kumiliki kadi ya mwanamke kupeleka pesa manisani kwa wachungaji wa kisasa hawa. Binafsi naona wengi wanaonadili eidha hawana ndoa na hawajui makanisa yakilokole yanavyochuma pesa kwa nguvu kwa waumini wao kiasi cha kuwaacha masikini. Makanisa haya ya kiroho mengi yamevu ja ndoa za watu.

Hapo kuna kitu mwanaume hajaelezea lakini mwanamke hayupo sawa kichwani kwasababu bora mwanamke asikupe kadi sawa lakini ukiwa unayaona matumizi yake inatosha kuliko ukashindwe wewe kumiliki kipato chake alafu amiliki baba mchungaji

Kuna mama mmoja mstaafu aliwahi kumkabizi kadi ya benki mchungaji . Hawa wachungaji sio wakuwachukulia kiwepesi sana
 
Mkuu we ndio baba mchungaji nini
Kwahiyo mime hana mamlaka ku control kipato chake ila kanisa inayo mamlaka sindio?

Hivi mnajua maana ya kuwa mwili mmoja au mnadanganyana kwenye matamasha ya NGOs?

Kama ukioa bado inakuwa na mamlaka na vitu vyako kwanini mtu akitoka nje ya ndoa inakuwa kosa wakati inatumia mwili wako aliokuumba nao mungu?
 
Wachungaji wa kilokole wanapenda sana pesa hasa hawa wa makanisa ya siku hizi wamezidi aisee....mfano halisi ni wale wanaohubiri wanaohubiri stand ya mwendokasi mbezi,hawa kila siku wanaomba hela ya nauli
 
Naona wanawake mnakomaa,lakini undani wa maisha yao hamuufahamu. Kama mwanamke hataki fedha zake zihudumie familia aache kazi. Lakini kutoka asubuhi kwenda kupoteza muda huna unachochangia ni upimbi. Aache kazi ili pesa yake isitumike.
Ni sahihi inabidi kama unafanya kazi maana yake unatumia muda wa familia na kama unatumia muda wa familia lazima uutumie kwa faida ya familia ambayo ndio taasisi yako yenye uongozi wa mume.

Haiwezekani utoke Kila siku masaa 8 uwaache watoto na dada wa kazi kwaajili ya kuchangia Pato la kanisa badala ya taasisi Yako ya familia.

Kikubwa mke asie na akili kumuoa unakua unajitafutia shida kubwa, alipaswa amshauri mke wake aache kazi Ili alee watoto na ahudumiwe na mume sio aende kazini aache kulea watoto halafu haijulikani anachangia nini kwenye familia. Mume au mke mbinafsi kuishi nae ni tatizo kubwa sana utateseka sana.

Hiyo ndoa ivunjike haiwezi kukaa tena kwasababu mke ni mbinafsi sana na hatekelezi majukumu yake.

Kwa wanaosema mume anajukumu la kumuhudumia mke hivyo mshahara wa mke haumuhusu ni kweli kabisa lakini huyu mke anajukumu la malezi ya familia hivyo akae nyumbani atulie kulea watoto Ili mume amuhudumie.

Zamani mke alikua analelewa na mume kwenye mfumo dume kwasababu mke alikua anajikita kwenye majukumu ya ulezi sio ya kutafuta kipato/riziki ya familia. Sasa hivi mke na mume wanasaidiana kutafuta kipato Cha familia kwaajili ya familia.

Ukitumia muda wa taasisi Yako (Familia) bila familia kuona faida utaondolewa kwenye hiyo taasisi maana huna faida.
 
Mama abakie hapo hapo.
Anaitaka ATM aisee

Mwanamke kweli umkabidhi mime ATM? That is too much

Wanawake vizuri kuomba Mungu kutopata kidume kilofa kama hicho hopeless kabisa kiofisa magereza

Kinadhalilisha jeshi la magereza wanawake wenye kazi zao watakatakaa kuolewa na Askari magereza kuwa watawapokonya ATM
We naye mpumbavu tu.Hela ni za wote maana ndo familia moja.Ule za kwangu za kwako umpelekee mtume huku masuala ya maisha ni ya wote.Sijui mnachangia huku mmeshika K Vank hata sijui.
 
Huyo mwanaume anataka pesa ya mwanamke tu

Uanaume sio kuvaa suruali na dude kama bunduki katikati ya suruali

Ni uwezo wa kuhudumia familia bila kuelekea ku force ohh nipe kadi ya benki na ATM na namba ya Siri

Watetezi wanasheria wa haki za wanawake na NGo tetea haki za wanawake siku hiyo kesi iliyotajwa jazaneni hasa kuonyesha solidarity na huyo mama.Maafisa balozi wa nje pia wawepo wa dawati la balozi wa jinsia

Mfumo dume unahitaji kusomeshwa

Hakimu na wewe kakamaa mwanamke mwenzio huyo .Toa hukumu ya kihistoria ambayo ita trend dunia nzima ili mwanaume yeyote Mwenye tabia kama hiyo asije tokea
We kichwa maji hujitambui,siku ukijitambua utajutia Sana haya unayo andika hapa
 
mathalani take home ya bi dada ni 520000 TSHS.
10% ya church 520000, tena makanisa mengine wanataka 10 ya basic salary na sio take home.
Mchango wa akina mama 10000 TSHS
Mchango wa vijana 10000 TSHS
jumapili ziko 4-5 ndani ya mwezi ambapo kila jumapili atatoa 10000 kama sadaka
jumla 40000-50000.
Sadaka ya kufunguliwa ..........

Sadaka ya kukomboa uzao wake wa kwanza .......
Sadaka ya kujimaliza........
Jumla kuu ndani ya mwezi inafika 300000 TSHS.
Hiyo laki mbili anunue viatu vya kanisani, mikoba na amtumie mama yake unadhani atabakiwa na nini?
Afande piga chini huyo mwanamke wa hovyo
Wewe unataka kulelewa na mwanamke kipato huna unataka mwanamke akutunze na kipato chake bwege wewe

Ulitakuwa ukaoe mwanamke lofa mwenzio size yako anayeendana na ulofa ulionao sio kutafuta mwanamke matawi ya juu umlalie kipato chake kusaidia choka mbaya wewe uliyepigika kimaisha kama wewe.Lugha uliyoandika humu unaonyesha wewe lofa choka mbaya

Mwanamke atoe hela yake kwa hiari sio kulipa labda kugharimia chochote kwa nguvu inatakiwa iwe kwa hiari sio kwa kumshikia panga au kumpelekea mahakamani kushinikiza
 
Hivi hizi pesa wanawake tunazotafuta kama haziwezi kusaidia familia zetu ni za nini sasa[emoji2297][emoji2297][emoji2297]

Na hawa wachungaji jamani sijui ni madawa au ni kitu gani!! Wamewashika watu ufahamu hawasikii wala hawaambiliki.
Kuna mambo mkeo akiyaanza unapaswa kujua huna mke tena Moja ya jambo Hilo ni kumuamini nabii/mchungaji.
Hata nabii au mchungaji akimwambia asikupe mume unyumba kwa mwaka mmoja ujue hupati hata ufanyaje.
 
Kweli kuna wanaume viazi yani wewe na Mke mfanye kazi halafu useme hela ya Mkeo atumie anavyotaka huku wote MNA watoto wana wategemea.
Ndio maana Wazungu wanatuzidi.
Sure ,umenena ukweli,tuna jamii yakipumbavu sana.Mzigo wote wa familia anakutwisha mwanaume wakati na yeye anakazi na mshahara .Hata wanamsapoti huyo mama wajinga tu hawajitambui kabisa.
 
Kwa mujibu wa kilichoandikwa ni kuwa maelezo ya Mwanamke yamejikita zaidi kwenye kumshambulia mwanaume kwa maneno mengi yenye kutafuta pointi sahihi ya kumuangamiza kihoja mwanaume
Wakati huo huo mwanaume kajielezea to the point.
Mwamba kaza
 
Afuu tunaambiwa 50/50 hapo afande yuko sawaa kabisa ni bora kuishi na mwanamke jobless ,kuliko fala mmoja kila siku anatoka asubh anarudi jioni na anachokwenda kufanya hakina msaada kwenye familia

Afande piga chini huyo bidada aende akadange kanisani huko

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom