Mwanafunzi mtoro
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 222
- 806
Kabla kujadili uhalali wa mwanaume kumiliki kadi ya mwanamke kupeleka pesa manisani kwa wachungaji wa kisasa hawa. Binafsi naona wengi wanaonadili eidha hawana ndoa na hawajui makanisa yakilokole yanavyochuma pesa kwa nguvu kwa waumini wao kiasi cha kuwaacha masikini. Makanisa haya ya kiroho mengi yamevu ja ndoa za watu.
Hapo kuna kitu mwanaume hajaelezea lakini mwanamke hayupo sawa kichwani kwasababu bora mwanamke asikupe kadi sawa lakini ukiwa unayaona matumizi yake inatosha kuliko ukashindwe wewe kumiliki kipato chake alafu amiliki baba mchungaji
Kuna mama mmoja mstaafu aliwahi kumkabizi kadi ya benki mchungaji . Hawa wachungaji sio wakuwachukulia kiwepesi sana