Huyo mwanaume anataka pesa ya mwanamke tu
Uanaume sio kuvaa suruali na dude kama bunduki katikati ya suruali
Ni uwezo wa kuhudumia familia bila kuelekea ku force ohh nipe kadi ya benki na ATM na namba ya Siri
Watetezi wanasheria wa haki za wanawake na NGo tetea haki za wanawake siku hiyo kesi iliyotajwa jazaneni hasa kuonyesha solidarity na huyo mama.Maafisa balozi wa nje pia wawepo wa dawati la balozi wa jinsia
Mfumo dume unahitaji kusomeshwa
Hakimu na wewe kakamaa mwanamke mwenzio huyo .Toa hukumu ya kihistoria ambayo ita trend dunia nzima ili mwanaume yeyote Mwenye tabia kama hiyo asije tokea
Tatizo hamjalipima hili kwa upana ,Mimi kwa mawazo yangu naona jamaa anampenda mke wake na anaumia Sana mke wake kupeleka pesa kwa Hawa matapeli wachungaji uchwara.
Bora huyo mwanamke angekua anafanyia hizo pesa kwenye Mambo hata ya familia ya kwao ,kumbuka Wana watoto vipi huyo mama amewaza hatma ya watoto hapo baadae ,si Bora hizo pesa angesaidiana na mmewe kuwawekezea watoto.
Jamaa kutaka Atm ni Kama kumwokoa na ujinga alio nao.
Na hapo wakiachana ambaye anaenda kuwa na maisha magumu ni mwanamke maana tayar matapel washamkamata akil zake haambiw kitu Wala kusikia.
Inauma Sana upo na mwenzio wote mungu kawabarik kipato kidogo alafu mwingine anakichezea tu kwa kugawa kwa wachungaji feki.
Huyo mwanamke angekua anasaidia hata watoto wake tu huyo Jamaa asingekua na shida na Atm yake ,yaan kila kitu mwanaume sidhan km ndoa za watumishi waliooana zipo namna hiyo ,mkisaidiana hata love inakngezeka .
Swala la atm ni love tu ,mwez fulan anaweza enda na atm zote mbili mwanamke na mkapanga bajet kwa pamoja ,mwez mwingine akaenda yeyote ,ni swala la upendo tu na kusikilizana .
Narudia Tena huyo mwanamke anaenda kuishi maisha ya taabu Sana kwa kutaka sifa za huko makanisan na bahat mbaya amezalishwa hivyo hata Kama atapata bwana Basi yeye ndie anaenda kugharamika vibaya mno na mwisho wa siku atakuja jiona mjinga wa mwisho maana hakuna atakachokua amekikwepa hapo.