Mume amfikisha mahakamani mkewe kwa kupeleka mshahara wake kanisani

Mume amfikisha mahakamani mkewe kwa kupeleka mshahara wake kanisani

Huyo mwanaume anataka pesa ya mwanamke tu

Uanaume sio kuvaa suruali na dude kama bunduki katikati ya suruali

Ni uwezo wa kuhudumia familia bila kuelekea ku force ohh nipe kadi ya benki na ATM na namba ya Siri

Watetezi wanasheria wa haki za wanawake na NGo tetea haki za wanawake siku hiyo kesi iliyotajwa jazaneni hasa kuonyesha solidarity na huyo mama. Maafisa balozi wa nje pia wawepo wa dawati la balozi wa jinsia.

Mfumo dume unahitaji kusomeshwa.

Hakimu na wewe kakamaa mwanamke mwenzio huyo. Toa hukumu ya kihistoria ambayo ita trend dunia nzima ili mwanaume yeyote Mwenye tabia kama hiyo asije tokea.
Umeandika nini? Soma tena.
 
Kuoana ni hiari majukumu hayawezi kuwa ya kulazimishana

Ni kawaida kusikia wanawake wanalia matunzo ya watoto kutoka kwa wanaume

Ila hii kesi ya ajabu mwanaume mzima tena Askari analilia matunzo ya watoto kutoka kwa mwanamke!!

Huyo kweli ni mwanaume rijali? Anajua maana ya kuwa mwanaume?

Ndugu zake wamkalishe chini wamtandike na viboko anaaibisha ukoo
Majukumu ya mke kwenye ndoa nini?

Au tuseme mume ana kipato na mke ana kipato either kinafanana(kipato) au wamezidiana kidogo ,nini majukumu ya kila mmoja kwenye ndoa?
 
We bwege kweli kwani watoto si wa kwetu wote,au unajitoa ufahamu,ndio maana mmekua masingle moms wengi mtaani kids ubinafsi.

Mzee!

Usipanic kisha nisome vizuri mimi ni mwanaume,kuzaa watoto na mkeo haku-justify wewe kulilia hela yake nasisitiza huo ni upumbavu na huo siyo uanaume baba yako aliokulea uwe nao wewe mara ngapi mama yako alikulipia ada kama siyo baba yako?

Take it from me,maana halisi ya maisha ya ndoa ni baba kwa 100% kubeba responsibilities zote za familia yake siyo kukaa kivivu kusubiri mwanamke akulelee wanao akulipie kodi ya pango etc,acha itokee kama bahati mbaya siyo kulia lia machozi mke wangu hataki kunisaidia maisha!
 
Huyo mwanaume anataka pesa ya mwanamke tu

Uanaume sio kuvaa suruali na dude kama bunduki katikati ya suruali

Ni uwezo wa kuhudumia familia bila kuelekea ku force ohh nipe kadi ya benki na ATM na namba ya Siri

Watetezi wanasheria wa haki za wanawake na NGo tetea haki za wanawake siku hiyo kesi iliyotajwa jazaneni hasa kuonyesha solidarity na huyo mama. Maafisa balozi wa nje pia wawepo wa dawati la balozi wa jinsia.

Mfumo dume unahitaji kusomeshwa.

Hakimu na wewe kakamaa mwanamke mwenzio huyo. Toa hukumu ya kihistoria ambayo ita trend dunia nzima ili mwanaume yeyote Mwenye tabia kama hiyo asije tokea.
Unataka hakimu atoe hukumu kwa mihemko badala ya sheria na busara?
 
Kama kipato chake hakionekani kinapoenda ni bora akae nyumbani ahudumie watoto naye hataulizwa kwa lolote.

Unachokitete ni ima hauko kwenye ndoa au unafanya furahisha genge . mkeo kama anafanya kazi lazima in put ionekane. kama haionekani aache kazi afanye majukumu yake asilia.

Nina ndoa ya miaka tisa na watoto usione sijui nachosema hapa,nadhani kuna kutokuelewana hapa.

Mimi sikatai mkeo kukusaidia maisha nachokikataa ni wewe baada ya mkeo kukataa kukusaidia kusimama hadharani na kulia mke wangu hataki kunisaidia maisha,wewe ndiye uliemuowa au umeolewa?nikisoma kitabu ninachokiamini mimi nimeambiwa mimi mwanaume nitakula kwa jasho mwanamke atazaa kwa uchungu kuwaje nitake leo mwanamke akatafute kwa jasho?so wanaume mnaotaka wake zenu kutafuta kwa jasho mtaingia labor badala yao?
 
Unataka hakimu atoe hukumu kwa mihemko badala ya sheria na busara?
Ugandan Vice-President Specioza Kazibwe's recent public admission that she left her marriage as a result of beatings she received from her estranged husband has sparked fresh debate on the subject of domestic violence, a serious human rights concern in the country but which many women suffer in silence.

Kazibwe said at a recent women's workshop that she been forced to throw her engineer husband out of their house, which she had built, after several beatings, according to Ugandan media reports.

"Why should I continue to stay with a man who beats me. I told him, 'How can you beat a vice- president?'," the BBC on Tuesday quoted her as saying.

Kazibwe's comments, first reported by the Ugandan government-owned New Vision newspaper, have given brought attention to the issue of gender violence, which is generally taboo in Ugandan communities, where women are expected to be subordinate to their husbands.

Women groups have aired differing opinions on the issue, with some, notably the umbrella National Association of Women's Organisations in Uganda (NAWOU), accusing the media of "trivialising" the subject of gender violence by portraying the Vice-President in a negative light.

Ugandan Minister for Ethics and Integrity, Miriam Matembe, entered the fray on Sunday, attacking Charles Kazibwe for portraying his wife as a monster and blaming the media for publicising the matter, and for demonising the Vice-President.

"You [the media] have portrayed Charles Kazibwe as a victim who needs public sympathy and our Vice-President as a monster, irresponsible and bad woman," the New Vision on Monday quoted her as saying. "The VP was talking to us as colleagues and as a fellow woman leader. You should not have brought this matter into the press," she said.

Charles Kazibwe told the Sunday Vision on 17 March that he had only slapped the Vice-President twice for insubordination, which was not a good enough reason to destroy their marriage of 10 years. "The first time was in 1993, when she was Industry Minister, and the second in 1995, when she was already Vice-President," the paper quoted him as saying. "Let her, as a medical doctor, produce evidence of any harm I inflicted on her.

He said he was confident that the couple's four children, aged between 14 and 22 years, would testify in his favour in any court action that might arise, the report added.

The Vice-Secretary-General of NAWOU, who declined to be named, told IRIN on Wednesday that the media's exposure of details regarding Kazibwe separation from her husband had - instead of enriching the quality of the debate on spousal abuse - resulted in a "backlash" which was likely to have severe implications for many other women in Uganda.

"Its good to open up and give one's own personal experiences, but not at a certain level where one can be misunderstood," she said. "The Vice-President was speaking to her colleagues, and the issue should not have been picked by the media."

The NAWOU official argued that current debate could even encourage more violence Ugandan men to beat up their wives. "Our concern is that what women do often cause a backlash. Some men are now saying: 'If the Vice- President can be beaten, then what about other ordinary women?"

The local chapter of the International Federation of Women lawyers (FIDA) has, however, welcomed Specioza Kazibwe's admission, saying it was a bold step that could encourage more women to open up and stand up against domestic abuse.

Mary Kusambiza, Executive Director of FIDA-Uganda, told IRIN on Wednesday that, although the media had portrayed the Vice-President in a negative light, her admission highlighted the plight of many professional women who continued to quietly withstand spousal abuse.

"We support her for standing up, Kusambiza said. "Violence is not a private thing: it is a human rights issue and shouldn't be put under covers. People have kept silent for a long time. A lot goes on in homes and is banded 'private', but it is abuse."

Wife-beating is a widely accepted norm in Uganda, as in many other African countries, where cultural dictates require women to be subordinates in the home, according to observers.

A new Domestic Bill, which sought to address culturally sanctioned gender imbalances considered responsible for much of the violence in the home, including outlawing polygamy, was last year introduced in Uganda's parliament. The bill was withdrawn after much protest from Muslims who claimed it violated Islamic provisions that allowed men to marry four wives.

Eva Mulema, a member of FIDA-Uganda, recently told IRIN that - although Uganda is currently viewed as an example for its leadership in recognising women's rights, by putting in place laws that criminalise domestic and sexually related violence - economic factors and the lack of supporting infrastructure (such as shelters for abused women), continued to prevent many women from complaining about their abusers.
 
Nimesoma kwa uchache tu ila nimegundua wachangiaji wengi ni viazi. Hawajui changamoto za maisha ya ndoa. Pamoja na kwamba hatujajua kiundani sana ila ukweli ni kuwa mtu ukishageuka kuwa fanatic unakuwa kioja. Huyo mwanamke amekuwa kioja. Huwezi chukua mshahara ukapeleka kanisani. Hata huyo mchungaji ni kiazi sana.

Nashauri mahakama ingevuta breki kwanza isitoe talaka bali imwite huyo mchungaji aje kujieleza kama anajua muumini wake anagawa mshahara wake kwa kanisa, au kuna sehemu unaenda kwa kisingizio cha kanisa.

Na wanawake wakishakuwa na imani kali hivyo inakuwa ngumu kuwarudisha.
Mahakama inachopaswa kufanya ni kuwatenganisha kwa muda huku kila mmoja akipewa majukumu ya kuchangia kwenye familia. Huo muda ukiisha na tatizo litakuwa aidha limepungua sana au kuisha
 
Akikunyima chini ya kitovu ukienda mahakamani ndio utapewa?
Kwanza ni kujidhalilisha kwendà mahakamani kisa umenyimwa K unachotakiwa kufanya ukinyimwa tafuta sababu kwanini unyimwe na wakati kuna kipindi alikuwa anaichukua mwenyewe na kuielekeza kunako tena kwa mashamsham?
Mbona Kuna wakati alikuwa akikumis hadi anakupigia simu kwamba uwahi kurudi ukampe muhogo wake wa jang'ombe?

Mwanamke akinkunyima kuna mahala hapaja kaa sawa na hapo jambo hilo humalizwa kwa mazungumzo siyo kwenda mahakamani kwani hakimu hata polisi hawana ubavu wa kumlazimisha mwanamke akupe tamu yake kwani masuala ya faragha ni hiari ya mtu vinginevyo utakuwa ubakaji ulawiti etc.
 
Nimejifunza kuwa mwanaume ukilileta jambo lako linalohusiana na mwanamke kwenye hadhara ni rahisi mwanaume kugeuziwa kibao kwa kuwa wanawake Wana uwezo mkubwa sana wa kuplay victims na jamii ikakubali haraka madai yao.........

Hizi ni nyakati ngumu kuwa mwanaume hasa kama umebahatika kuoa......ndio maana wanaume tunakufa vifo vya ghafla......

Mada zozote zinazohusu Wana ndoa....zinahitaji umakini kuchangia na sio kufuata mihemko...
😀nakubaliana na wewe... wanaleta usawa wa kijinsia.. tafsiri yao ni kuwa Kumbeba mwanamke na kumshusha mwanaume
 
Kabla kujadili uhalali wa mwanaume kumiliki kadi ya mwanamke kupeleka pesa manisani kwa wachungaji wa kisasa hawa. Binafsi naona wengi wanaonadili eidha hawana ndoa na hawajui makanisa yakilokole yanavyochuma pesa kwa nguvu kwa waumini wao kiasi cha kuwaacha masikini. Makanisa haya ya kiroho mengi yamevu ja ndoa za watu.

Hapo kuna kitu mwanaume hajaelezea lakini mwanamke hayupo sawa kichwani kwasababu bora mwanamke asikupe kadi sawa lakini ukiwa unayaona matumizi yake inatosha kuliko ukashindwe wewe kumiliki kipato chake alafu amiliki baba mchungaji

Kuna mama mmoja mstaafu aliwahi kumkabizi kadi ya benki mchungaji . Hawa wachungaji sio wakuwachukulia kiwepesi sana
Itakuwa kuna nguvu ya ziada inatumika. Halafu inakuwaje mwanamke anakwenda kanisa lingine tifaut na walilofungia ndoa tena bila ridhaa ya mumewe? Ni usaliti
 
Hayamhusu huyo kidume kiofisa koko cha magereza kilinda wafungwa wakinya wasije kutoroka

Mwanamke akipata pesa yake kwa nini utake kudhibiti pesa yake matumizi? Mkataba wa ndoa unatamka kuwa ukioa utadhibiti matumizi ya pesa za mkeo? Mbona wewe hakuombi ATM yako?

Hii kesi tamu hukumu yake itakuwa landmark kuonyesha kama mke ana haki ya chake akipatacho kwa jasho lake kuwa lazima kidhibitiwe na mwanaume aliyemuoa kuwa mwanamke hana uhuru wa kutumia pesa yake hata kununua pedi bila ruksa ya mume aliyeshikilia ATM kisa alilipa mahari.Kuwa hata akitaka pedi ambembeleze mwanaume kuwa naomba ike ATM niliyokupa Katoe pesa nikanunue pedi navuja siku zangu mume wangu niko chini ya miguu yako katoe
Wewe sio smart, nasema tena, nina mashaka na hata taaluma yako. Umejipambanua ni mpumbavu kwa ku attack career ya mtu badala ya hoja yake. Nasema tena, kama wewe ni lekcha nawahurumia mno hao wanafunzi na hako kachuo unakofundisha.

Aisee wamekumbatia mzigo wa mavi bila kujua.
Wewe ni mzigo. Matamshi yako yameshajipambanua, sikuonei kwa hili.

Pole kwa chuo kilichokuajiri.
 
Huenda sio mchepuko lkn pesa ya mwanamke huwa haiguswi mkuu.

Labda uwe na mke anayejitambua sana mara moja moja akupige tafu endapo umeyumba.
Vinginevyo siku zote wanaume ndio mtaji wa familia na jamii.
Nani kasema pesa ya mwanamke huwa haiguswi?
 
Back
Top Bottom