Mume amfikisha mahakamani mkewe kwa kupeleka mshahara wake kanisani

Mume amfikisha mahakamani mkewe kwa kupeleka mshahara wake kanisani

Ukiona mkeo ugomvi kidogo anakimbilia kuachana ujue kuna NATO wanampa kiburi. Hapo kama sio mchungaji basi jamaa flani huko kanisani anamsuuza. Huyo mwanaume aeleze tu vizuri wanaume wenzake tupo nyuma yake
Maisha ushindani na wewe kidume kama hueleweki kukimbiwa ruksa unataka ajikombe kwako kwa lipi wakati hausomewi

Sio kizazi niki cha sasa
 
Hakuna cha kutuangusha wala nini mi naona mwamba katuwakilisha vyema, achague kutoa ATM CARD au ASEPE TU, huwezi fanya kazi mshahara mzima unaupeleka kwa mpigaji mmoja kwa kisingizio cha mchungaji,
Dah...Kama mwamba anapigishwa gem vizuri....na pole/Asante anapewa....Basi akomae atafute pesa zaidi amuongezee mwanamke..... Pesa ya mwanamke haina ladha 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Maisha kusaidiana nenda kwa mwanaume mwenzako mkope pesa akikupa huo ndo msaada wa kiume siyo mwanamke umemuowa wewe,umemzalisha wewe halafu tena utake akupe msaada huo ndo ujinga mkubwa zaidi kama unakataa kumuulize baba yako.

Ita-make sense kama utakuwa umeolewa wewe!
My deepest condolences for this ingorance
 
Maisha ushindani na wewe kidume kama hueleweki kukimbiwa ruksa unataka ajikombe kwako kwa lipi wakati hausomewi

Sio kizazi niki cha sasa
Au wewe ndio utakuwa huyo mchungaji anayepokea hizo pesa za mke wa askari magereza?
 
Maisha ushindani na wewe kidume kama hueleweki kukimbiwa ruksa unataka ajikombe kwako kwa lipi wakati hausomewi

Sio kizazi niki cha sasa
Wewe sio smart, nasema tena, nina mashaka na hata taaluma yako. Umejipambanua ni mpumbavu kwa ku attack career ya mtu badala ya hoja yake. Nasema tena, kama wewe ni lekcha nawahurumia mno hao wanafunzi na hako kachuo unakofundisha.

Aisee wamekumbatia mzigo wa mavi bila kujua.
Wewe ni mzigo. Matamshi yako yameshajipambanua, sikuonei kwa hili.

Pole kwa chuo kilichokuajiri
 
Hata kama mwanaume ni kichwa cha familia ila namsapoti huyo mwamba kutaka ndoa ivunjike huo ni upimbi. Unafanya kazi kwa bidii mnaishi kwa tabu ila hela ya mwenzio ingekua hata anajenga kwao au anajinunulia nguo ni sawa ila anampa fala mmoja tu huko anayejiita mtume huo ni ufala wa hali ya juu.

Huyo mwanamke kudai mume anataka Kadi ya benki ni uongo asilimia 900. Ampe talaka tu akalitumikie kanisa vyema.
Haya mambo huwa ni magumu sana. Mungu atusaidie tu wababa.
Kukiwa na mke mwenye future mume bomu na kukiwa na mume mwenye future mke bomu, sijui kwanini haysee.
 
Hii nadharia unayoizungumzia wewe ni ile ambayo MWANAMKE HAFANYI KAZI YOYOTE (MAMA WA NYUMBANI)

MAISHA YAMEBADILIKA.. LAZIMA UJUE MKEO FEDHA YAKE INATUMIKA KUFANYIA NINI

AKIHONGA WANAUME WA NJE VP?

MWANAMKE NI LAZIMA AWE CHINI YAKO NA UJUE MIENENDO YAKE.. IKIFIKA HATUA HUJUI MKEO FEDHA YAKE INATUMIKAJE MAANA YAKE UANAUME WAKO UKO KTK HATARI
Mwanamke hadi mashoga zake Mume unatakiwa uwajuwe ni Marafiki wa aina gani,Kama hawakupendezi tabia zao lazima umshauri mkeo jinsi ya kuaachana nao, Baba ndiyo kichwa lazima ukaguwe sector zote za Mkeo kimyakimya!!
 
Hiyo ni kesi ngumu! Sana sana hapo ni kazi ya baraza la usuluhishi pamoja na Mchungaji wa Kanisa.
Mimi naamini ukiondoa zaka na matoleo mengine si kwamba mke anapeleka mshahara wote Kanisani.
Shida hapo ni mke kuokoka!
 
Mwanamke hadi mashoga zake Mume unatakiwa uwajuwe ni Marafiki wa aina gani,Kama hawakupendezi tabia zao lazima umshauri mkeo jinsi ya kuaachana nao, Baba ndiyo kichwa lazima ukaguwe sector zote za Mkeo kimyakimya!!
Unageuka CIA wapelelezi kila kona kama humuamini mke

Kama humuamini ulimuoa wa nini

Hadi umuwekee wapelelezi kila kona akikuwekea wewe utanusurika?
 
Hiyo ni kesi ngumu! Sana sana hapo ni kazi ya baraza la usuluhishi pamoja na Mchungaji wa Kanisa.
Mimi naamini ukiondoa zaka na matoleo mengine si kwamba mke anapeleka mshahara wote Kanisani.
Shida hapo ni mke kuokoka!
Kanisa katoliki pia lina wajibu linatengeneza Fanatics wa kikatoliki ambao tolerance level kwenye imani za mmojawapo akibadili dini wanakuwa aggressive kama Simba hadi hekima inaondoka wako tayari kufanya vurugu kwa mwenza au aliyebadili dini kwenye family ku mu force arudi ukatoliki kwa nguvu kwa coercive power measures

Huyo mwanaume ni catholic fanatic kakutana kwenye battle group na mlokole Fanatic uso kwa uso! Ni vita kama ya Russia na Ukraine Sababu hakuna aliye tayari kuweka silaha chini.Mwanaume kaomba talaka sababu mke hampi ATM anayotumia kutoa sadaka mwanamke kasema sawa niko tayari kwa talaka ila ATM ninayotolea sadaka sikupi.Ngoma draw kila mmoja fanatic imani yake!.
 
Kwa hiyo mkewe akiwa period anavuna damu amuombe mumewe aliyempa ATM akatoe pesa ampe akanunue pedi ?
Au chupi imechakaa akaombe mpenzi naomba Ukatotoe pesa kwenye ATM yangu chupi imechakaa

Huyo mwanaume mjinga
Wee jamaaa? Sasa hela akale mchungaji?
 
Huwa nampongeza sana kagame kufungia baadhi ya makanisa ya kisanii kama haya. Na akina mama ni waathirika wakubwa sana. Mkaka kajitahidi tena kwa kubeb aibu kuoa mke mwenye u ri mkubwa halafu anazingua. Ndio maana mimi nilioa mama wa nyumbani na maisha yanaenda vizuri sana
 
Hii kesi tamu sana hakimu yaani hadi namuonea wivu atoe judgement ya kihistoria ambayo ita trend hadi media za kimataifa

Afanye research za kutosha

Hukumu yake vyombo vya habari vitaibeba sababu hatujawahi sikia mume anataka ATM ya mkewe na kulalamikia matunzo ya watoto kuwa mume analalamikia mwanamke kutotoa matunzo kwa watoto!! Tumezoea wanawake wakilalamika sio wanaume

Mawakili na Ngo za haki za wanawake na mayawati ya jinsia ya Polisi na DPP msaidieni huyo hakimu ku draft hiyo landmark historical judgement
 
Hahahahaha... wanaume wa siku hizi bana wamekaa kimchongo
Unaona kapendeza .kidume kinaanza ohh sweet I love you my Vodafom or my WhatsApp au mpendwa mimi Mungu kanionyesha usiku nimelala Malaika Gabriel akiongozana na Mungu nyuma yake niliwaona live wakaja wakanionyesha wewe ndie ubavu wangu kumbe anavizia ATM yako umkabidhi
 
Huyo mwanaume anataka pesa ya mwanamke tu

Uanaume sio kuvaa suruali na dude kama bunduki katikati ya suruali

Ni uwezo wa kuhudumia familia bila kuelekea ku force ohh nipe kadi ya benki na ATM na namba ya Siri

Watetezi wanasheria wa haki za wanawake na NGo tetea haki za wanawake siku hiyo kesi iliyotajwa jazaneni hasa kuonyesha solidarity na huyo mama. Maafisa balozi wa nje pia wawepo wa dawati la balozi wa jinsia.

Mfumo dume unahitaji kusomeshwa.

Hakimu na wewe kakamaa mwanamke mwenzio huyo. Toa hukumu ya kihistoria ambayo ita trend dunia nzima ili mwanaume yeyote Mwenye tabia kama hiyo asije tokea.
Sasa hapo haki sawa ipo wapi, kwenye kupata maslahi kama kazi na ajira mnataka haki sawa lakini linapokuja kwenye majukumu hamtaki kuchangia sasa hizo kazi mnataka za nini?
 
Biblia inasema;
*Mume ni kichwa cha Familia,
*Mke amtii na kumuheshimu mume wake,
*Mke ni msaidizi wa Mume
Hivyo hakimu anatakiwa akazie kwenye hukumu yake huyo mke awe na adabu na kufuata anachoagizwa na mumewe.
 
Mimi siku nikigundua mke wangu kajiunga na walokole, nitamwacha . ila sio kabla ya kumpelekea moto mama mchungaji. Kauzu kauzu 😎😎😎
 
Kuna kutetea haki za wanawake na kuna kutetea ufala, tofauti yake ni ndogo sana unless wewe ni mnufaika wa hizo sadaka, nitakuelewa unatetea ugali wako.
Huyo atakuwa ni miongoni mwa wachungaji matapeli.
 
Back
Top Bottom