YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Hapa wote wawili ni fanaticsNimesoma kwa uchache tu ila nimegundua wachangiaji wengi ni viazi. Hawajui changamoto za maisha ya ndoa. Pamoja na kwamba hatujajua kiundani sana ila ukweli ni kuwa mtu ukishageuka kuwa fanatic unakuwa kioja. .
Mke fanatic wa ulokole Mume naye ni fanatic mkubwa wa ukatoliki.Kwake mke kuhama ukatoliki kesi!!.wakati katiba ya nchi inaruhusu mtu kuwa ana uhuru hadi wa kubadili dini!!
Ukiangalia cause hapo kubwa ni catholic fanaticism ya mwanaume!! Yuko so fanatical kiasi kuwa akili imemuhama hadi ataka ATM lakini Nadhani main reason anataka kuforce mkewe arudi katoliki kwa kutumia coercive force.
Anyway maparoko wakae na mtu wao huyo kidume mdai ATM apewe na mkewe kumpa ushauri nasaha kwenye issue za difference za kiimani zikitokea baada ya ndoa kufungwa kikatoliki how to manage marriage peacefully in such a situation badala ya kutumia nguvu kuforce mtu arudi kwenye dini kwa kufanya vurugu nk