Mume amfikisha mahakamani mkewe kwa kupeleka mshahara wake kanisani

Mume amfikisha mahakamani mkewe kwa kupeleka mshahara wake kanisani

Nimesoma kwa uchache tu ila nimegundua wachangiaji wengi ni viazi. Hawajui changamoto za maisha ya ndoa. Pamoja na kwamba hatujajua kiundani sana ila ukweli ni kuwa mtu ukishageuka kuwa fanatic unakuwa kioja. .
Hapa wote wawili ni fanatics
Mke fanatic wa ulokole Mume naye ni fanatic mkubwa wa ukatoliki.Kwake mke kuhama ukatoliki kesi!!.wakati katiba ya nchi inaruhusu mtu kuwa ana uhuru hadi wa kubadili dini!!

Ukiangalia cause hapo kubwa ni catholic fanaticism ya mwanaume!! Yuko so fanatical kiasi kuwa akili imemuhama hadi ataka ATM lakini Nadhani main reason anataka kuforce mkewe arudi katoliki kwa kutumia coercive force.

Anyway maparoko wakae na mtu wao huyo kidume mdai ATM apewe na mkewe kumpa ushauri nasaha kwenye issue za difference za kiimani zikitokea baada ya ndoa kufungwa kikatoliki how to manage marriage peacefully in such a situation badala ya kutumia nguvu kuforce mtu arudi kwenye dini kwa kufanya vurugu nk
 
Huenda sio mchepuko lkn pesa ya mwanamke huwa haiguswi mkuu.

Labda uwe na mke anayejitambua sana mara moja moja akupige tafu endapo umeyumba.
Vinginevyo siku zote wanaume ndio mtaji wa familia na jamii.
Usipodhibiti matumizi ya pesa ya make wako ndoa lazima ianguke.

Sent from my CPH2349 using JamiiForums mobile app
 
Huyo mwanaume anataka pesa ya mwanamke tu

Uanaume sio kuvaa suruali na dude kama bunduki katikati ya suruali

Ni uwezo wa kuhudumia familia bila kuelekea ku force ohh nipe kadi ya benki na ATM na namba ya Siri

Watetezi wanasheria wa haki za wanawake na NGo tetea haki za wanawake siku hiyo kesi iliyotajwa jazaneni hasa kuonyesha solidarity na huyo mama. Maafisa balozi wa nje pia wawepo wa dawati la balozi wa jinsia.

Mfumo dume unahitaji kusomeshwa.

Hakimu na wewe kakamaa mwanamke mwenzio huyo. Toa hukumu ya kihistoria ambayo ita trend dunia nzima ili mwanaume yeyote Mwenye tabia kama hiyo asije tokea.
Kula sana sadaka za huyo mpumbavu.

Sent from my CPH2349 using JamiiForums mobile app
 
Hakimu hii kesi yaweza kumpaisha kimataifa na kuipaisha nchi kimataifa kuwa Tanzania ina mahakimu mahiri
Ashirikishe mahakimu nguli, mawakili nguli wa hataki za wanawake na NGO ku draft hiyo hukumu

Hiyo kesi ni mfumo dume versus mfumo jike kwe rights za mwanamke

Handle carefully hiyo kesi imebeba image ya nchi kwenye haki za mwanamke awe wa kanisani au nyumbani au mfanyabiara nk
Kwaiyo 50/50 kwenye matumizi ni mfumo dume?

Sent from my CPH2349 using JamiiForums mobile app
 
Mwanaume huweza kutegemea hela ya mwanamke kuendesha familia.

Mwanaume wewe ndie baba na kichwa cha familia, ukishategemea hela ya mwanamke ikusapoti kuendesha familia unapoteza haki yako ya kua kichwa cha familia.

Mwanaume siku zote lazima ujue kua hela ya mwanamke ni yake sio ya kwako. Akitoa kusaidia sawa na asipotoa usiumie, hilo ni jukumu lako.

Mwanaume unategemeaje mshahara wa mke wako?
Huo ni mtazamo wako.
 
Usipodhibiti matumizi ya pesa ya make wako ndoa lazima ianguke.
Huyo mke wa kumdhibiti hivyo atakuwa yule wa kijijini kabila yako choka mbaya hata elimu hana na mshamba mliyeozwa na mizimu

Wa sasa wa mjini huthubutu wanajua haki zao kuliko kawaida uoe huko huko porini kwenye mizimu na usithubutu kuoa kijijini hata aliyemaliza form four secondary Ya kata hawezi kukubali hilo
 
Mzee!

Usipanic kisha nisome vizuri mimi ni mwanaume,kuzaa watoto na mkeo haku-justify wewe kulilia hela yake nasisitiza huo ni upumbavu na huo siyo uanaume baba yako aliokulea uwe nao wewe mara ngapi mama yako alikulipia ada kama siyo baba yako?

Take it from me,maana halisi ya maisha ya ndoa ni baba kwa 100% kubeba responsibilities zote za familia yake siyo kukaa kivivu kusubiri mwanamke akulelee wanao akulipie kodi ya pango etc,acha itokee kama bahati mbaya siyo kulia lia machozi mke wangu hataki kunisaidia maisha!
Hii nadharia unayoizungumzia wewe ni ile ambayo MWANAMKE HAFANYI KAZI YOYOTE (MAMA WA NYUMBANI)

MAISHA YAMEBADILIKA.. LAZIMA UJUE MKEO FEDHA YAKE INATUMIKA KUFANYIA NINI

AKIHONGA WANAUME WA NJE VP?

MWANAMKE NI LAZIMA AWE CHINI YAKO NA UJUE MIENENDO YAKE.. IKIFIKA HATUA HUJUI MKEO FEDHA YAKE INATUMIKAJE MAANA YAKE UANAUME WAKO UKO KTK HATARI
 
Kuna mama mmoja, kwa nia njema tu, mume wake alimwambia "Neno siri" la ATM card take ya Bank, kwamba in case kunatokea dharura, mfano accident, nk, basi Iwe rahisi kushughulikia matatizo!

Laa! siku moja mume kaburudika zake K-Vant, saafi na kausingizi kanono, mama akasachi mifukoni akaondoka na ATM card alfajiri, akakomba hela kibao!
Kimyakimya akairudisha kadi mahali pake!
Jamaa kwenda Bank, kachomeka card yake kwa nguvu zote, kisha: "Tafadhali huna Salio la kutosha kukamilisha muamala huu"
Kilichoendelea baada ya hapo sijui!!!
Ya kweli hiyo hadithi? Huyo mke alitoroka?
 
Hii nadharia unayoizungumzia wewe ni ile ambayo MWANAMKE HAFANYI KAZI YOYOTE (MAMA WA NYUMBANI)

MAISHA YAMEBADILIKA.. LAZIMA UJUE MKEO FEDHA YAKE INATUMIKA KUFANYIA NINI

AKIHONGA WANAUME WA NJE VP?

MWANAMKE NI LAZIMA AWE CHINI YAKO NA UJUE MIENENDO YAKE.. IKIFIKA HATUA HUJUI MKEO FEDHA YAKE INATUMIKAJE MAANA YAKE UANAUME WAKO UKO KTK HATARI
Dhana za kizamani enzi za mawe

Kuwa mke hana akili ya kutumia pesa yake apatayo

Huyo mke ana digrii ni mwalimu wa sekondari !!

Kusema ohh hajui kutumia pesa ujinga
 
Hii nadharia unayoizungumzia wewe ni ile ambayo MWANAMKE HAFANYI KAZI YOYOTE (MAMA WA NYUMBANI)

MAISHA YAMEBADILIKA.. LAZIMA UJUE MKEO FEDHA YAKE INATUMIKA KUFANYIA NINI

AKIHONGA WANAUME WA NJE VP?

MWANAMKE NI LAZIMA AWE CHINI YAKO NA UJUE MIENENDO YAKE.. IKIFIKA HATUA HUJUI MKEO FEDHA YAKE INATUMIKAJE MAANA YAKE UANAUME WAKO UKO KTK HATARI
Tatizo liko kwa wanaume oeni wanawake Saizi yenu !wewe lofa kidume kwenu kunguni tupu nyumba za majani umeme hata hakuna mnatumia vibatari unapata kikazi magereza uaskari unaenda mfano kuoa binti mtoto wa Bakheresa. Unaanza kuleta vi theory vya ajabu vya porini huko

Oa kwenu porini huko huyo mwelewa wa vimila vyenu vya kipuuzi na kichwa kwa kidume ndio chenyewe hata kiwe lofa

Kaoe kwenu kwa maskini wenzio
Wazazi matajiri hawaombi ATM za watoto wao wewe kidume lofa ndie ujitie kudai
Vidume wenye msimamo kama wako wakaoe wanawake vijijini kwao wale wasiojua hata kuoga wala kwenda saluni
 
Ni aibu dume Zima kung'ang'ania fedha za mkeo. Sio kazi yake kuhudumia familia. Kidume ng'ang'ana !!! Akikunyima chini ya kitovu hapo nenda mahakamani... Lakini sio kadi yake ya benki.!!!

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Huo ni ukenge, uende mahakamani kisa mke kakunyima papuchi[emoji23]
 
Huyo mwanaume kaoa oversize alioa kutafuta unafuu wa maisha!! Akivizia ATM yake huyo mwanamke!

Oa mwanamke sababu unampenda kwa dhati sio sababu ya ATM yake au sababu yeyote nje ya upendo.Awe nayo ATM au asiwe nayo akupe hiyo ATM au asikupe upendo unabaki pale pale

Huyu Askari anaonyesha aliwinda ATM alipooa

Kaona lengo halijatimia la kupata ATM kalianzisha .Mke kasema haitoki ATM hapa!!
 
Back
Top Bottom