Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,321
- 18,574
ulokole ni nusu ya uchizi sema watu hawa fahamu tu
Mimi point yangu ni mwanaume unathubutu vipi kusimama hadharani tena mahakamani kulalamika kwamba mkeo hakusaidii majukumu yako ndani ya nyumba?Hayo mnafundishwa wapi na wanaowafundisha hayo ni kinanani?aliens???Kwahiyo kumpelekea Mchungaji ni sawa?
#YNWA
Maisha kusaidiana nenda kwa mwanaume mwenzako mkope pesa akikupa huo ndo msaada wa kiume siyo mwanamke umemuowa wewe,umemzalisha wewe halafu tena utake akupe msaada huo ndo ujinga mkubwa zaidi kama unakataa kumuulize baba yako.Maisha ni kusaidiana sio ujinga huo unao sapoti
Aisee we mdada/mkaka huwa una akili za kindezi sana, ni ccm ndio ime corrupt ubongo wako namna hii, hiyo corrosion iliyokula ubongo wako sio ya kiwango cha kawaida.Mwanaume lofa hawezi toa miongozo kwa mwanamke mwenye kazi yake ma pesa kumzidi
Kwani huyo Mchungaji anaepewa huo mshahara na Mke wa Mtu na yeye si Mwanaume na ana mke vile vile,Sasa kwani nini Mchungaji na Mkewe wale pesa za Mke wa Mtu!?Mimi point yangu ni mwanaume unathubutu vipi kusimama hadharani tena mahakamani kulalamika kwamba mkeo hakusaidii majukumu yako ndani ya nyumba?Hayo mnafundishwa wapi na wanaowafundisha hayo ni kinanani?aliens???
Ipo namna ya ku-deal na mwanamke ambaye dini imemvuruga,huyo unamwacha humhudumii kwa chochote muhimu tekeleza majukumu yako kwa wanao kama baba yeye mambo yakimwia magumu ataishi kwa hesabu.
Acheni masihara na ni ujinga unaowa huku kichwani unawaza kusaidiwa maisha na mwanamke haya ni mawazo ya umaskini wa uanaume.
Yaani anaami saa 12 anaenda kazini akitoka huko anapitiliza kanisani, na kuanzia alhamisi anakesha kanisani, mara wanaenda kuubili sijui wapi, yaani kama kajishikiza kwako ili apate wa kumpumzikia Ili aendelee na yakeMaisha kusaidiana nenda kwa mwanaume mwenzako mkope pesa akikupa huo ndo msaada wa kiume siyo mwanamke umemuowa wewe,umemzalisha wewe halafu tena utake akupe msaada huo ndo ujinga mkubwa zaidi kama unakataa kumuulize hata baba yako.
Ita-make sense kama utakuwa umeolewa wewe!
Sio wanadai haki sawa halafu majukumu yawe ya mwanaume peke yake,wote watumishi lazima majukumu ya familia mshirikiane.Hii ni kwa Wanawake wa kiafrika au siyo,ndio maana wanazeeka bila kuolewa.
Mkisha kuwa pamoja kila kitu ni ku-share equally.
Kama kipato chake hakionekani kinapoenda ni bora akae nyumbani ahudumie watoto naye hataulizwa kwa lolote.Maisha kusaidiana nenda kwa mwanaume mwenzako mkope pesa akikupa huo ndo msaada wa kiume siyo mwanamke umemuowa wewe,umemzalisha wewe halafu tena utake akupe msaada huo ndo ujinga mkubwa zaidi kama unakataa kumuulize baba yako.
Ita-make sense kama utakuwa umeolewa wewe!
Kama mke kaolewa na hao NGO basi itakuwa sahihi ila kaolewa na mume anaejielewa alitakiwa aache mambo ya kisenge. Ndoa sio mashindano na masikilizano ni muhimu.Huyo mwanaume anataka pesa ya mwanamke tu
Uanaume sio kuvaa suruali na dude kama bunduki katikati ya suruali
Ni uwezo wa kuhudumia familia bila kuelekea ku force ohh nipe kadi ya benki na ATM na namba ya Siri
Watetezi wanasheria wa haki za wanawake na NGo tetea haki za wanawake siku hiyo kesi iliyotajwa jazaneni hasa kuonyesha solidarity na huyo mama. Maafisa balozi wa nje pia wawepo wa dawati la balozi wa jinsia.
Mfumo dume unahitaji kusomeshwa.
Hakimu na wewe kakamaa mwanamke mwenzio huyo. Toa hukumu ya kihistoria ambayo ita trend dunia nzima ili mwanaume yeyote Mwenye tabia kama hiyo asije tokea.
Padri akibaka usiseme ukatoliki haufai hakuna connection yeyote kati ya magereza na tabia binafsi za Askari wakeMama abakie hapo hapo.
Anaitaka ATM aisee
Mwanamke kweli umkabidhi mime ATM? That is too much
Wanawake vizuri kuomba Mungu kutopata kidume kilofa kama hicho hopeless kabisa kiofisa magereza
Kinadhalilisha jeshi la magereza wanawake wenye kazi zao watakatakaa kuolewa na Askari magereza kuwa watawapokonya ATM
Huyo si kwamba anampelekea Mchungaji, mmewe itakuwa hataki tu mkewe aende kusali huko, unazani hata Sadaka zenyewe zinazotolewa ni nyingi basi kama umewahi kusali huko uliza wahesabu sadaka ni buku buku tu ndiyo zimejaa.Kwahiyo kumpelekea Mchungaji ni sawa?
#YNWA
mimi nilidhani wanaokuwa brainwashed ni kuanzia watoto kumbe hata wakubwa!!yaani wanawake malokoke ni shida kweli kweli
Hayo nakwako, mtu anasali na kuondoka atapakuliwa saangapi [emoji3]Uyu Binti itakuwa anapakuliwa huko kanisani
nimebahatika kuona nyumba ya mhasibu wa yule mbunge wa kawe, ukuta tu unajenga nyumba kumi na pesa inabaki.Huyo si kwamba anampelekea Mchungaji, mmewe itakuwa hataki tu mkewe aende kusali huko, unazani hata Sadaka zenyewe zinazotolewa ni nyingi basi kama umewahi kusali huko uliza wahesabu sadaka ni buku buku tu ndiyo zimejaa.
Unatafuta point tatu (Tangazo)Ni aibu dume Zima kung'ang'ania fedha za mkeo. Sio kazi yake kuhudumia familia. Kidume ng'ang'ana !!! Akikunyima chini ya kitovu hapo nenda mahakamani... Lakini sio kadi yake ya benki.!!!
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app