Mume amfikisha mahakamani mkewe kwa kupeleka mshahara wake kanisani

Wanawake wa kilokole wanaheshimu wachungaji kuliko waume zao mchungaji akimwambia wiki nzima akeshe kwenye maombi ataenda ila we mume wake hakuna kitu utamwambia akuelewe
 
Kama umeolewa aidha mumeo hana maamuzi au wewe ndio ulimuoa(anaishi kwako)
 
Ulivyokasirika sasa[emoji23][emoji23] itakuwa pato lako linatokana na hizo sadaka za kudanganya wanawake bila shaka
 
Wanawake wa kilokole wanaheshimu wachungaji kuliko waume zao mchungaji akimwambia wiki nzima akeshe kwenye maombi ataenda ila we mume wake hakuna kitu utamwambia akuelewe
Wanasema we ni shetan unazuia kaz ya Mungu tena unakemewa shetan toka tokAA
 
Mwanaume ndio anatakiwa abebe mizigo yote hata Biblia inasema mwanamke ni.msaidizi tu sio major player

Huyo mwanaume Hopeless
Kaa nyumbani mume akuhudumie sio utumie muda wa familia kwenda kwenye mambo yako halafu familia haipati faida yoyote kutokana na kipato chako halafu baba mchungaji anachukua zote ninyi ndio waharibifu wa familia za watu kisa mmeachika kwa upumbavu wenu
 
Umeamua kumuamini mke.. vipi suala la nke kupelekea hela zote kanisani? Hesabu rahisi tu ni kuwa jamaa aliamua kutaka kuchukua atm kwa sababu bibie mshahara ukitoka anaupeleka kanisani wote bila kujali mambo mengine
 
Weka maandiko ya biblia kuthibitisha uyasemayo
 
Hivi kwenye familia kuna mwenye chake au vyote ni mali ya familia
 
Wanawake wajinga sana..bora akampe nabii hizo hela lakin sio mume wake
 
Umeamua kumuamini mke.. vipi suala la nke kupelekea hela zote kanisani? Hesabu rahisi tu ni kuwa jamaa aliamua kutaka kuchukua atm kwa sababu bibie mshahara ukitoka anaupeleka kanisani wote bila kujali mambo mengine
Mshahara wa mkewe sio wa mumewe
Kazi afanye mwanamke halafu mume achukue mshahara haiwezekani
 
Ok, mke anapokea mshahara na wote haujukikani unaenda wapi. Unaweza kusaidia hapo?
Kifupi mwanaume huyo ni.lofa ni kato ya wale wanaume maskini malofa wakubwa ambao hutaka kutoka kimaisha kwa kutegemea kipato cha mwanamke

Mwanaume mwenye pesa zake hawezi hangaika kufuatilia vihela vya mwanamke

Tatizo la huyo mwanaume ni ulofa

Mtu kama Bakhresa au Mo Dewji hawezi fatilia vihela vya mkewe.Vidume maskini vina shida sana kwenye ndoa.
 
Madhara ya kuowa mke ili akusaidie maisha,hili ni tatizo kubwa vijana amkeni maisha ya hivyo sayari hii hayapo shauri zenu msije sema hamkuambiwa mtapigwa matukio mpaka akili ziwakae sawa.
Wanawake wengi sasa hivi wamesoma huwezi wapelekesha kienyeji kienjyeji
Yaani mwanamke mwalimu wa sekondari halafu kidume kinatska kimpelekesha kienyeji haiwezekani
 
Usipende kutumia makalio kufikiria
Unavizia pesa ya mkeo wewe
Mwanaume kabla ya kuoa jiulize una uwezo wa kuhudumia mke na watoto bila support ya mke ? Ukiona huwezi usioe nenda kanisa katoliki kawaombe uwe padri ambako wengi huenda upadri sababu ya kuepuka majukumu ya kutunza mke na watoto

Wewe ulitakiwa uwe padri
 
Kuna mleta uzi aliwahi kusema "OA mwanamke mlokole at your own Risk"

Wakisha kuwa brainwashed huwa hawasikilizi mtu zaidi ya Mchungaji..

Mwisho: Ndugu yetu nae kama ni kweli analilia ATM basi ametuangusha sana,,,,Nashauri apigwe tu Risasi kama Swalha..
 
Mwanaume mwenye pesa zake hawezi hangaika kufuatilia vihela vya mwanamke

Mkuu naona umeliamini swala la jamaa kulilia ATM,,,, ila shitaka la mume kuwa Pesa yote mke anapeleka Kanisani unaona hilo kwa Mwanamke kulifanya ni sawa....!!?????

au una Evidence already maana sio kwa Lawama hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…