Mume amfikisha mahakamani mkewe kwa kupeleka mshahara wake kanisani

Umeamua kumuamini mke.. vipi suala la nke kupelekea hela zote kanisani? Hesabu rahisi tu ni kuwa jamaa aliamua kutaka kuchukua atm kwa sababu bibie mshahara ukitoka anaupeleka kanisani wote bila kujali mambo mengine
Mke akipeleka pesa kanisa mwanaume unatakakiwa husimpe pesa yoyote ile mke wako Kwa miez 6 ili umuone kama ataenda Kula na kuvaa uko kanisani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We hacha kudanganya hakuna watu wabahili kama wafanya biashara Yani mke wake atumie pesa hovyo asifatilie na wafanyabiashara wengi wanaoa wanawake smart hawao vichwa maji wanao kesha kwz wazee wa ufufuo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume tafuteni pesa, pesa ya mwanamke ni yake, ila ya mume ni yenu.
Upungu huo, make mwenye ubinafsi wa hivyo hafai kuwa make! Usingo mother unamfaa zaidi!
Hiyo hela yake aitumie na nani Sasa...na ben10?
 
Hakuna ushahidi wowote kwamba mwanaume ameitaka hiyo kadi dunia ya leo hilo ni jambo gumu, mwanamke anaweza kuwa anatumia hiyo kama defensive mechanism tu.

Pia hili ni somo la wazi kwanini wanaume wanakufa mapema kuliko wanawake, wote tuna mshahara why mzigo wote niubebe mimi? huu ni upendo wa kinafiki sana ambao umefunikwa joho la kijinsia.

Mwanaume anafanya majukumu yote anakopa, anadhalilika, anasomesha kila kitu yeye ila unakuta wakati huo mwanamke amejenga kwao, amefungulia kaka zake au ndugu zake biashara na bado mwanaume huyo licha ya majukumu yote ya familia bado unakuta na kwao anategemewa. Nini maana ya mwanamke kuitwa msaidizi? Au kusaidia kupika? Kwani wanaume hawajui kupika? Dunia ya leo what is needed ni financial assistance nothing else ila kwa hawa watu hiki ni kipengele kigumu sana kwao (selfishness)

Wanaume wataendelea kuishi muda mfupi kwa kutokufurahia maisha kwa msongo mkubwa wa mawazo kwa sababu kama hizi.

Wasiopoolewa wanatia huruma kweli.๐Ÿ˜„ Oa sasa ndio unakutana na show kama hizi.๐Ÿ˜‡๐Ÿ˜‡

Nasimama na Afande. ๐Ÿ‘ฎโ€โ™‚๏ธ
 
Nzuri hii..

Kama hawezi akae nyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ