Melubo Letema
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 416
- 414
Kazi Tunayo Wenye Ndoa. Busara Itumike Kwa upande wao wote, Umri ni changamoto.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mke akipeleka pesa kanisa mwanaume unatakakiwa husimpe pesa yoyote ile mke wako Kwa miez 6 ili umuone kama ataenda Kula na kuvaa uko kanisaniUmeamua kumuamini mke.. vipi suala la nke kupelekea hela zote kanisani? Hesabu rahisi tu ni kuwa jamaa aliamua kutaka kuchukua atm kwa sababu bibie mshahara ukitoka anaupeleka kanisani wote bila kujali mambo mengine
We hacha kudanganya hakuna watu wabahili kama wafanya biashara Yani mke wake atumie pesa hovyo asifatilie na wafanyabiashara wengi wanaoa wanawake smart hawao vichwa maji wanao kesha kwz wazee wa ufufuoKifupi mwanaume huyo ni.lofa ni kato ya wale wanaume maskini malofa wakubwa ambao hutaka kutoka kimaisha kwa kutegemea kipato cha mwanamke
Mwanaume mwenye pesa zake hawezi hangaika kufuatilia vihela vya mwanamke
Tatizo la huyo mwanaume ni ulofa
Mtu kama Bakhresa au Mo Dewji hawezi fatilia vihela vya mkewe.Vidume maskini vina shida sana kwenye ndoa.
Upungu huo, make mwenye ubinafsi wa hivyo hafai kuwa make! Usingo mother unamfaa zaidi!Wanaume tafuteni pesa, pesa ya mwanamke ni yake, ila ya mume ni yenu.
Nzuri hii..Jamani msicheke na wanawake ndoa nyingi zimevunjika kwa wanaume kutowafuatilia wanawake,mimi mke wangu anafanya kazi kila mwezi nahitaji (Lazima)anipe orodha ya matumizi ya mshahara wake kuna wakati ananunua viatu pear 3 kwa wakati mmoja ndani kuna pear zaid ya 40 ujinga huu siuruhusu hapo ni ban ya kununua viatu miezi 3,kuna wakati kwa makusudi akiniambia sukari imekwisha namwambia kanunue na pesa yako na nikute mfuko upo ndani ni amri sio ombi.mshahara wa house girl ni jukumu lake na ninachotaka kujua kalipwa ni lazima sio ombi ,na nimemwambia kama hataki nifuatilie matumizi ya mshahara wake akae nyumbani hakuna tatizo .
[emoji1787][emoji1787]Mwanamke akishajiunga na makanisa ya kilokole anakua gaidi.
Hivi ni kweli au?