Mume amfikisha mahakamani mkewe kwa kupeleka mshahara wake kanisani

Naona wanawake mnakomaa,lakini undani wa maisha yao hamuufahamu. Kama mwanamke hataki fedha zake zihudumie familia aache kazi. Lakini kutoka asubuhi kwenda kupoteza muda huna unachochangia ni upimbi. Aache kazi ili pesa yake isitumike.
 
Ukiangalia kwa undani hii stori sio kwamba jamaa alitaka akabidhiwe kadi,isipokuwa hela ilikuwa inaishia kusikojulikana ndio maana akataka ajue inaenda wapi.
 
Wanaume tafuteni pesa, pesa ya mwanamke ni yake, ila ya mume ni yenu.
huyu jamaa nae hajielewi,ingekuwa mm,nawaibukia na kakirikuu siku Yao pendwa ya jpili,nabeba speaker,Mike,viti ,vikapu vya kukusanyia pesa ,n.k Hadi nitakapoona vimetimia dhamani ya pesa aliyowapa wife!! baada ya hapo nione Nani atakayenifuata!![emoji16]
 
Sure,kesi imebeba image ya nchi!!
 
Shida sio kadi, shida ni kumpelekea tapeli pesa
 
Kuna kutetea haki za wanawake na kuna kutetea ufala, tofauti yake ni ndogo sana unless wewe ni mnufaika wa hizo sadaka, nitakuelewa unatetea ugali wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…