Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,380
- 31,566
Lakini kumbuka....penye nia pana njia!Mtakuwa kama na mdanganya wengine Pombe hatuja jifunzia ukubwani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini kumbuka....penye nia pana njia!Mtakuwa kama na mdanganya wengine Pombe hatuja jifunzia ukubwani.
Lakini kumbuka....penye nia pana njia!
Fanya hima uache....usijekosa mwana na maji ya moto!Kweli eeeee......ngoja nianze zoezi la kuacha pombe sijui ntamkuta bado haja chukuliwa?
Ushauri mzuri, atakayekuja kwa tangazo hili atamsumbua. Tangazo limekaa na vigezo vya kirobot na so kibinadamuWe lea tu watoto wako...
Waliokuja pm wakahitaji kujua hilo wana majibu ya maswali yote dearOrodhesha idada ya waliokuja PM wote watoto ni wa huyo baba ambaye ni mume wako maake hakuna mahalauliposema kuwa mlipeana talaka.
Jamaniii,,unisamehe kama tangazo limekukwaza dear,, hakuna aliekamilikaUshauri mzuri, atakayekuja kwa tangazo hili atamsumbua. Tangazo limekaa na vigezo vya kirobot na so kibinadamu
Huo ni mtazamo wako sikatai,,kwa chochote utachowaza utakua uko sahihi kwa sababu ni haki yako,,wewe huna watoto but kumbuka kuna wanaume wana watoto pia wanahitaji wa kusaidiana nao,,kama si wa tajiriba yako unaruhusiwa kunyamaza ndo maana tunaweka wasifu ili kurahisisha mamboYaani kosa kubwa ambalo wadada waliowahi kuolewa au kuzaa wanalifanya wanapotaka kuolewa tena ni kulazimisha mwanaume amuoe yeye na watoto au mtoto wake.
Yaani moja ya jambo ambalo ni gumu kwa wanaume ni kulea mtoto wa mwanaume mwenzio.!!!
Kupigika kote niishie kukulea wewe na wanao aafu usikute unakuwa na roho mbaya hata kwa ndugu zangu.
Njoo pm ntakujuzaMlikuwa mmefunga ndoa kanisani?
Si taratibu za kiafrikaUnataka umuoe?