Mtukutu wa Nyaigela
JF-Expert Member
- Sep 4, 2018
- 8,013
- 14,263
mwanamke hatakiwi kukuzidi chochoteMke analetwa home na gari la kazini mume anapanda dala dala, ukitela fyoko unaambiwa kaa pembeni.
View attachment 2940731
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwanamke hatakiwi kukuzidi chochoteMke analetwa home na gari la kazini mume anapanda dala dala, ukitela fyoko unaambiwa kaa pembeni.
View attachment 2940731
Mke analetwa home na gari la kazini mume anapanda dala dala, ukitela fyoko unaambiwa kaa pembeni.
View attachment 2940731
Japo ni wachache sana wanawake wa design hii lakini wapoInategemea aisee. Nina rafiki yangu alifukuzwa kazi mwaka wa 10 sasa mke wake anavuta kama 3 hivi. Lakini hata kwao mke wanahisi mme ndiye anaendesha familia. Alinunua gari jina la kadi la mumewe. Wakitoka mume ndiye analipa bills lakini pesa kampa mke.
Yani huwezi jua kama mke ndiye anasimamia show na mke anamkubali mmewe kinoma.
Hii ni script inafaa sana kwenye jua kali mpe Lamatah😂😂😂😂😂Inategemea aisee. Nina rafiki yangu alifukuzwa kazi mwaka wa 10 sasa mke wake anavuta kama 3 hivi. Lakini hata kwao mke wanahisi mme ndiye anaendesha familia. Alinunua gari jina la kadi la mumewe. Wakitoka mume ndiye analipa bills lakini pesa kampa mke.
Yani huwezi jua kama mke ndiye anasimamia show na mke anamkubali mmewe kinoma.
Kuamini au kutoamini ni uamuzi wako mkuu ila ndivyo ilivyoHii ni script inafaa sana kwenye jua kali mpe Lamatah😂😂😂😂😂
Wee haya umeyajuajee? Alikuambia huyo mwanaume au?Inategemea aisee. Nina rafiki yangu alifukuzwa kazi mwaka wa 10 sasa mke wake anavuta kama 3 hivi. Lakini hata kwao mke wanahisi mme ndiye anaendesha familia. Alinunua gari jina la kadi la mumewe. Wakitoka mume ndiye analipa bills lakini pesa kampa mke.
Yani huwezi jua kama mke ndiye anasimamia show na mke anamkubali mmewe kinoma.
Halafu unadhani basi watu wazima sana, wote wako kwenye 37 sema mke amemzidi mme miezi kadhaa. And by the way jamaa alifukuzwa kazi mwanzoni mwa 2015 so si miaka kumi ana kama miaka 8 kuelekea 9.Huyo ni mwanamke wa nguvu hawa wa siku hizi siku 2 tu akilipa bill mtaa mzima utajua
NAKAZIAHeshima sio pesa.
UKIONA PESA NDIO INAKUPA HESHIMA BASI TOKA NDUKI.
Wanaume tulishakubaliana mshahara na balance ya bank ni siri yetuMke analetwa home na gari la kazini mume anapanda dala dala, ukitela fyoko unaambiwa kaa pembeni.
View attachment 2940731
NDOA ni mpango wa Mungu kwa wanadamu. Mwanamke aliumbwa AMSAIDIE mwanamume. ukiona kuna mke flani hawezi kumsaidia mume wake ujue hiyo ndoa sio mpango wa Mungu. walilazimisha tu. "wawili watakuwa mwili mmoja". NDOA ni jambo la rohoni (ndani sana) ni zaidi ya vitu vya kuonekana kama pesa, mali, ...Mwanamke akikuzidi kipato huyo tayari anakuwa mwanaume mwenzio.
Mwanamke asikuzidi pesa.
Mwanamke asikuzidi umri.
Mwanamke asikuzidi elimu.
Mwanamke hata kimo asikuzidi utajuta.
Mwanamke hata akiwa anatokea kwenye family ina status au familia yao ni maarufu, my frendi utajuta na hakuna rangi utaacha kuona.
Mwanamke anaweza kuwa na milioni 100 haina kazi lakini elfu kumi yako anaipigia mahesabu na unayo hio hio.
Kwenye kila jambo exceptional zipo, wanawake wenye uwezo kiuchumi na wapo loyal wapo japo ni very rare ni kama miujiza flani.
Mwisho niseme kama una mwanamke anakuzidi fedha ni suala la muda tu, tupo hapa na utanikumbuka kwa hii kauli. Japo haijawahi nikuta binafsi lakini familia, marafiki n.k washapigwa na kitu kizito nashuhudia.
“Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.”NDOA ni mpango wa Mungu kwa wanafamu. Mwanamke aliumbwa AMSAIDIE mwanamune. ukiona kuna mke flani hawezi kumsaidia mume wake ujue hiyo ndoa sio mpango wa Mungu. walilazimisha tu. "wawili watakuwa mwili mmoja". NDOA ni jambo la rohoni (ndani sana). ni zaidi ya vitu vya kuonekana kama pesa, mali, ...
NDOA iliyo katika mpango na mapenzi ya Mungu ni raha sana!!!!!
Inategemea waliishije na huyo mume wake, wanawake siyo wakatili kiasi hicho bhana, huwa wanakuwa wabinafsi kama waume zao walikuwa wahuni na wababeHakuna mwanamke atakaa na mwanaume 10 yrs hana ajira amvumilie, hata apokee 30 Mils per week. Am sure.
Tuwapate wapi wanawake kama hao?Inategemea aisee. Nina rafiki yangu alifukuzwa kazi mwaka wa 8 au 9 sasa mke wake anavuta kama 3 hivi. Lakini hata kwao mke wanahisi mme ndiye anaendesha familia. Alinunua gari jina la kadi la mumewe. Wakitoka mume ndiye analipa bills lakini pesa kampa mke.
Yani huwezi jua kama mke ndiye anasimamia show na mke anamkubali mmewe kinoma.
Zamani kabla ya kuoa....tulikuwa tunakaa na wazee....wanakujuza nyumba ya kuoa ni ilee....Mke analetwa home na gari la kazini mume anapanda dala dala, ukitela fyoko unaambiwa kaa pembeni.
View attachment 2940731
Huyo mke atakuwa mshamba flani hivi...Mke analetwa home na gari la kazini mume anapanda dala dala, ukitela fyoko unaambiwa kaa pembeni.
View attachment 2940731
Mkuu kwakweli hakuna formula. Sisi wenyewe wakati anaoa tulidhani ameoa bomu kutokana na mwonekano wa binti mwenyewe but kwa sasa sina neno naweza kusema alipatia sana.Tuwapate wapi wanawake kama hao?
Hapo Familia inaingiza 1 million. ingekua vice versa hapo familia ingekua inaangiza 4M.Mke analetwa home na gari la kazini mume anapanda dala dala, ukitela fyoko unaambiwa kaa pembeni.
View attachment 2940731