Mume anataka kumuacha mke kisa kumpeleka mtoto shule na ex wake

Huyo mwanaume apewe maua yake
 
Kwa hio hapo unaona nini kinaendelea? Huko shule ulienda kusoma ujinga?
 
Ukweli wanawake ni wabinafsi sana; wanaume wana upendo hasa. Imagine una lea mtoto wa mwanaume mwenzio halafu mwanamke wako wala haoni kama kuna jambo lilikua linafanyika. Mwamba ana haki zote za kuomba muachane; wewe bado una uhusiano na X wako
Huenda anakumbuka alivyokuwa anakujwa..akipokea mshedede...msicheke small detais huwa zinawachanganya sana baadhi ya wanawake na ndiyo maana tumeambiwa tuishi nao kwa akili saana.
 
Sio tu single maza, hata singo faza kuaga anaenda kuonana na mzazi mwenzie yale yale......

Kaburi muhimu sana wanachama
Mara chache sana mwanaume kumchukua mtoto aliye zaa nje na kukaa nae, mara chache sana. Na ikitokea mwanaume kakaa na mwanae, ni ngumu kwa mwanaume huyo kumrudia mama mtoto, ngumu sana; anaweza kupiga friend match na mwanamke mwingine but NOT her. Hi ndio tofauti yetu
 
Dah,
Ipo hivi,

Jamaa aliemzalisha akamuacha, kapewa space ya kufanya life zaid sana katunziwa mtoto mpaka kamaliza StD 7.

Leo jamaa alielea had std 7 sio wa maana tena na hajiamin maana kazidiwa kipato na huyo aliemuachia msalaba hadi na kuoa juu..

Sasa analalamika ndoa anaitaka na jamaa kamiachia nyumba na watoto wengine wawili...

Kutokumuheshim mwanaume ni kosa kubwa sana.

She is by all mathematics in the world very wrong na hapo kaoa bomu ...
Uamuzi tumuachie mwenye kutendwa ila kweli kuna wanawake vimeo sana...

Pole sana mkuu.
 
Huenda anakumbuka alivyokuwa anakujwa..akipokea mshedede...msicheke small detais huwa zinawachanganya sana baadhi ya wanawake na ndiyo maana tumeambiwa tuishi nao kwa akili saana.
By nature; mwanamke ni ngumu sana kumtoa kichwani na moyoni mwake mwanaume aliye kata utepe wake na aliyemfanya kuitwa mama for the first time; ngumu sana
 
Hapo ex ashaichapa tena mbunyeto! Kwani ungeacha baba apeleke mwanaye au upeleke wewe kama alivyotaka MUME wako kulikuwa na ugumu gani? Umechagua ulipopataka. Hiyo hoja kwamba ex ana uwezo kifedha kuliko mumeo nadhan ndo shida inakoanzia pia.

Nyie ndo mnafanya single mamaz wasiaminike.
 
Dada hujielewi utavuna ulichopanda, baba wa watu kanyooka alpha male hataki Ujinga kaenda straight baraza la usuluhishi,
Huyo ex wako alikuwa wapi zamani kipindi baba wa watu kajitolea kubeba majukumu.
Wabunge naunga mkono hoja OGOPA SINGLE MAZA Kwa hiki ulichokionyesha u deserve it n more!!!
Kalaghabaho!!!!
 
Kupiga mechi kupiga simu kuonana yote yale yale tu.....tabu iko pale pale
 
Asiache mke tu bali hata huyo mtoto pia.
 
Acha kufanya watu mapimbi, video call unapiga ukimaliza unaenda kulala na huyo x mwenye hela kuzidi mumeo. Hata mimi niñgekutwanga talaka bila kukuita kwenye usuluhishi.
 
Kazi kweli kweli
Hata mimi siwezi kuendelea kuwa na wewe kama mke wangu sababu hauheshimu kile nachokwambia usikifanye

Video call haiwezi kuniaminisha kuwa umelala mwenyewe

Kwa uchache na kwa ufupi sana bado upo kwenye mahusiano na huyo X wako(BADO MNAKULANA)
 
Nilimkubalia na kwa kuwa ni mtoto wangu sikuona haja ya kuomba ruhusa kutoka kwa mume wangu, hivyo akaanza kulipa ada. Baadaye nililazimika kumwambia mume wangu kuwa ada inalipwa na baba yake mtoto, kwani kuna kipindi walilipa ada mara mbili shuleni.

Shida ilianzia hapa 👆👆 binafsi yangu ningeachana na wewe hapo. Hakuna jambo baya kwenye ndoa kama dharau, kiburi, jeuri pamoja na kumchukulia mwenza wako poa.

Yaan mtu kakutomba kakudunga mimba kisha kakutelekeza hapo hapo kaenda kuoa mwanamke mwingine halafu anajitokeza msamaria mwema anaamua kukuheshimisha kwa kukuoa na matunzo ya mtoto aliyekukuta naye anatoa.

Kwa kiburi chako unaenda kupeleka taQo lako kwa x kwa kigezo kuwa anataka awe sehemu ya malezi ya mtoto! alikuwa wapi siku zote hizo? Kasubiri ndoa yako imeimarika ndio aje kukuletea MAPUMBU yake ,halafu na wewe ulivyo kenge +kima + punguani unaamua kutomshirikisha mumeo unajipeleka kwa huyo x wako! (Fuckup)! dude.....get your ass out of here right now!!!!!....go to hell.

Mume wako kakukatalia usiende huko Mkoani na huyo x wako, ukaona wewe jeuri sana ukaamua kwenda kibishi kwa kigezo cha kumpigia video call. We ni mbwa usiye na shukrani. Why don't you behave?! Have some respect to your husband.

Halafu vikikuchachia utakuja kusema wanaume wote ni mbwa. Huna adabu nungayembe mkubwa wewe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…