Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya wanachadema haya
USSR Acha upimbi
Akili yake ndogo mno huyo mwanamke.Shukrani ya punda hii. Eti Bado anamtumia video kuwa jamaa yuko chumba kingine. Kwanza angemtandika bakora sawasawa kabla ya kumtimua ngedere huyo
Hakuna singo maza wala singo faza. Msiondoshe makali ya maneno, watoto wa zinaa hao. Kiswahili tunasema watoto wa haramu.Sio tu single maza, hata singo faza kuaga anaenda kuonana na mzazi mwenzie yale yale......
Kaburi muhimu sana wanachama
Mtoto ni haramu na wazazi nao wanaitwaje?Hakuna singomaza wala singo faza. Msiondoshe makali ya maneno, watoto wa zinaa hao. Kiswahili tunasema watoto wa haramu.
Nakuja na mada ya ma singo maza.
Jamaa alioa kwa ndoa halal,mwenye mtoto ni mzazi mwenzake ndo huyo amepewa airtimeKiislam hairuhusiwi kutoka na yeyote ambae siyo mumeo na anaeweza kukuowa, iwe umeolewa au hujaolewa. Na hata ukipewa rukhsa na mumeo bado hairuhusiwi Kiislam.
Sijuwi kwa imani zingine.
Kama wote hao hamjawahi kuowana kwa ndoa na mlizaa tu, hakuna mwanamme mwenye mtoto hapo, wote ni wa mama.
Kiislam hairuhusiwi kutoka na yeyote ambae siyo mumeo na anaeweza kukuowa, iwe umeolewa au hujaolewa. Na hata ukipewa rukhsa na mumeo bado hairuhusiwi Kiislam.
Sijuwi kwa imani zingine.
Kama wote hao hamjawahi kuowana kwa ndoa na mlizaa tu, hakuna mwanamme mwenye mtoto hapo, wote ni wa
hapa hata USHAURI tuliompa jamaa ni kupiga chini,dharau aliyoonyeshwa na huyu mke wake siyo kabisa....Nilimkubalia na kwa kuwa ni mtoto wangu sikuona haja ya kuomba ruhusa kutoka kwa mume wangu, hivyo akaanza kulipa ada. Baadaye nililazimika kumwambia mume wangu kuwa ada inalipwa na baba yake mtoto, kwani kuna kipindi walilipa ada mara mbili shuleni.
Shida ilianzia hapa 👆👆 binafsi yangu ningeachana na wewe hapo. Hakuna jambo baya kwenye ndoa kama dharau, kiburi, jeuri pamoja na kumvhukulia mwenza wako poa.
Yaan mtu kakutomba kakudunga mimba kisha kakutelekeza hapo hapo kaenda kuoa mwanamke mwingine halafu anajitokeza msamalia mwema anaamua kukuheshimisha kwa kukuoa na matunzo ya mtoto aliyekukuta naye anatoa.
Kwa kiburi chako unaenda kupeleka taQo lako kwa x kwa kigezo kuwa anataka awe sehemu ya malezi ya mtoto! alikuwa wapi siku zote hizo? Kasubiri ndoa yako imeimarika ndio aje kukuletea MAPUMBU yake ,halafu na wewe ulivyo kenge +kima + punguani unaamua kutomshirikisha mumeo unajipeleka kwa huyo x wako! (Fuckup)! dude.....get your ass out of here right now!!!!!....go to hell.
Mume wako kakukatalia usiende huko Mkoani na huyo x wako, ukaona wewe jeuri sana ukaamua kwenda kibishi kwa kigezo cha kumpigia video call. We ni mbwa usiye na shukrani. Why don't you behave?! Have some respect to your husband.
Halafu vikikuchachia utakuja kusema wanaume wote ni mbwa. Huna adabu nungayembe mkubwa wewe!!
kua uyaone....Story ya kutunga
pumbavu sana ,hana malezi na lazima game ilipigwa kisawasawa,hawachelewi kuzaa tena hawaAcha kufanya watu mapimbi, video call unapiga ukimaliza unaenda kulala na huyo x mwenye hela kuzidi mumeo. Hata mimi niñgekutwanga talaka bila kukuita kwenye usuluhishi.
Jamaa atafute chuchu saa 6 ,aweke ndani aanze kula kitu automatic aachane na manual tena namba AHuyo mwanamke hana utii kwa mumewe na hana heshima,kiukweli alimpata legend wa maana sana lkn ameshindwa kumpa heshima yake
Namlaumu jamaa kwanini amuachie hata nyumba,ilitakiwa mwanamke ndio aondoke hapo kwasababu ni mpuuzi
Maisha marefu kwa malegend wote
#MWANAMKE MJINGA ATAIVUNJA NDOA YAKE KWA MIKONO YAKE YEYEwadau huyu Dada tumshauri nn?
Mume wangu anataka kuniacha kwa kumpeleka Mtoto shule Mimi na X ambaye tulizaa kabla ya ndoa!
Mimi ni mama wa watoto 3. Mtoto wangu wa kwanza nilizaa na mwanaume mwingine ambaye tulikuwa kwenye mahusiano lakini alikuja kuoa mwanamke mwingine. Mwanzo mimi na yeye hatukuwa tunaongea kabisa kwani aliniacha vibaya, baadaye nilikutana na huyu mume wangu wa sasa. Katika mahusiano alikuwa ni mwanaume mzuri mpaka nikasahau kama nilishawahi kuumizwa.
Mpaka tunafunga ndoa, nilikuwa sifikirii kabisa kuhusu baba wa mtoto wangu, kwani huyu mume wangu alikuwa ananihudumia mimi na mwanangu kwa kila kitu. Kuna kipindi baba wa mtoto alirudi na kuomba msamaha, akasema anataka kuwa sehemu ya maisha ya mtoto na kulipa ada na mambo mengine.
Nilimkubalia na kwa kuwa ni mtoto wangu sikuona haja ya kuomba ruhusa kutoka kwa mume wangu, hivyo akaanza kulipa ada. Baadaye nililazimika kumwambia mume wangu kuwa ada inalipwa na baba yake mtoto, kwani kuna kipindi walilipa ada mara mbili shuleni.
Mume wangu alilipa ada ya mtoto bila kuniambia, wakati huo baba yake alikuwa tayari ameshalipa. Alikasirika kwa nini sikumwambia, lakini nilimwambia ni mwanangu na yule ni baba yake, hivyo ana haki zote. Tuliongea, yakasahaulika kwani watu waliniambia hata kama yeye si baba wa mtoto, kwa heshima nilitakiwa kumwambia kwani alibeba majukumu wakati baba wa mtoto kanitelekeza. Niliomba msamaha, yakamalizika, tukarudi kwenye hali nzuri.
Mtoto wangu amemaliza darasa la saba mwaka huu, na kuna shule mimi na baba yake tulipanga kumpeleka ili afanye usaili, ambayo ipo mkoani. Nilipoongea na mume wangu kumwambia kuwa tunataka kumpeleka mtoto, aliniambia hapendi hicho kitu, kwamba kama ni kumpeleka, nimpeleke mimi mwenyewe au baba yake ampeleke mwenyewe lakini si kuongozana kwenye gari moja mpaka mkoani, alikataa kabisa.
Nilijaribu kumuelewesha kuwa yule tumeshatengana naye, ni mzazi mwenza wangu tu, lakini hata hakujali. Aliniambia, "kama vipi nitakupeleka mimi, ila siwezi kukuruhusu kupanda gari moja na X wako." Nilimwambia hapana, yule ni baba yake mtoto na ana haki hivyo huwezi kunipangia. Aliniambia, "kama ukienda, ukirudi rudi huko huko." Mimi namjua mume wangu, ni mtu wa kunitishia-tishia kwani anahisi hajiamini, kwa kuwa huyo baba wa mtoto ana pesa zaidi, anaona kama ana hofu. Hivyo nilimwambia hapana.
Tulipanga na baba wa mtoto tukampeleka mtoto huko mkoani, nilimuaga lakini hakunijibu chochote. Nilienda na sikufanya chochote, hata usiku nilimpigia video call ili aone kuwa sipo chumba kimoja na huyo mwanaume, lakini hakupokea. Baada ya interview, nilirudi nyumbani ila kufika niliambiwa kuwa baba ameondoka. Nilimpigia simu kumtafuta, akaniambia "nimekuachia nyumba utakaa na watoto, mimi sidhani kama naweza kuendelea kuwa mume wako tena."
Sikufanya chochote, nilikaa kimya nikijua kuwa hasira zikiisha atarudi, lakini juzi nimepewa wito wa kuitwa Baraza la usuluhishi kwani mume wangu amefungua madai ya talaka. Kaka, sijui nifanye nini. Ndoa yangu bado naipenda, sina mahusiano na baba wa mtoto; nilimpeleka tu mtoto, nashindwa kuelewa kama huyu mwanaume ananipenda kweli au la. Sikulala na X wangu na nimemwambia aongee naye, lakini hataki kabisa. Naomba ushauri wako, kaka, sijui nifanye nini?
HUPANGIWI JIPANGIE MWENYEWE SASA
Naona omopa umekuja kivinginewadau huyu Dada tumshauri nn?