The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 6,108
- 21,140
Yaani hapo chuma ipo nyang'anyang’a hahah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani hapo chuma ipo nyang'anyang’a hahah
Comment kutoka kwa mwanamke,nitaizingatiaKuona kaburi ni muhimu sana......
Siyo kweli!Haya yote kasababisha jamaa kwa kuoa single maza
Na wewe unatoa wapi muda wa kusikiliza takataka hizi? Huyo mwamba alitimue tu!wadau huyu Dada tumshauri nn?
Mume wangu anataka kuniacha kwa kumpeleka Mtoto shule Mimi na X ambaye tulizaa kabla ya ndoa!
Mimi ni mama wa watoto 3. Mtoto wangu wa kwanza nilizaa na mwanaume mwingine ambaye tulikuwa kwenye mahusiano lakini alikuja kuoa mwanamke mwingine. Mwanzo mimi na yeye hatukuwa tunaongea kabisa kwani aliniacha vibaya, baadaye nilikutana na huyu mume wangu wa sasa. Katika mahusiano alikuwa ni mwanaume mzuri mpaka nikasahau kama nilishawahi kuumizwa.
Mpaka tunafunga ndoa, nilikuwa sifikirii kabisa kuhusu baba wa mtoto wangu, kwani huyu mume wangu alikuwa ananihudumia mimi na mwanangu kwa kila kitu. Kuna kipindi baba wa mtoto alirudi na kuomba msamaha, akasema anataka kuwa sehemu ya maisha ya mtoto na kulipa ada na mambo mengine.
Nilimkubalia na kwa kuwa ni mtoto wangu sikuona haja ya kuomba ruhusa kutoka kwa mume wangu, hivyo akaanza kulipa ada. Baadaye nililazimika kumwambia mume wangu kuwa ada inalipwa na baba yake mtoto, kwani kuna kipindi walilipa ada mara mbili shuleni.
Mume wangu alilipa ada ya mtoto bila kuniambia, wakati huo baba yake alikuwa tayari ameshalipa. Alikasirika kwa nini sikumwambia, lakini nilimwambia ni mwanangu na yule ni baba yake, hivyo ana haki zote. Tuliongea, yakasahaulika kwani watu waliniambia hata kama yeye si baba wa mtoto, kwa heshima nilitakiwa kumwambia kwani alibeba majukumu wakati baba wa mtoto kanitelekeza. Niliomba msamaha, yakamalizika, tukarudi kwenye hali nzuri.
Mtoto wangu amemaliza darasa la saba mwaka huu, na kuna shule mimi na baba yake tulipanga kumpeleka ili afanye usaili, ambayo ipo mkoani. Nilipoongea na mume wangu kumwambia kuwa tunataka kumpeleka mtoto, aliniambia hapendi hicho kitu, kwamba kama ni kumpeleka, nimpeleke mimi mwenyewe au baba yake ampeleke mwenyewe lakini si kuongozana kwenye gari moja mpaka mkoani, alikataa kabisa.
Nilijaribu kumuelewesha kuwa yule tumeshatengana naye, ni mzazi mwenza wangu tu, lakini hata hakujali. Aliniambia, "kama vipi nitakupeleka mimi, ila siwezi kukuruhusu kupanda gari moja na X wako." Nilimwambia hapana, yule ni baba yake mtoto na ana haki hivyo huwezi kunipangia. Aliniambia, "kama ukienda, ukirudi rudi huko huko." Mimi namjua mume wangu, ni mtu wa kunitishia-tishia kwani anahisi hajiamini, kwa kuwa huyo baba wa mtoto ana pesa zaidi, anaona kama ana hofu. Hivyo nilimwambia hapana.
Tulipanga na baba wa mtoto tukampeleka mtoto huko mkoani, nilimuaga lakini hakunijibu chochote. Nilienda na sikufanya chochote, hata usiku nilimpigia video call ili aone kuwa sipo chumba kimoja na huyo mwanaume, lakini hakupokea. Baada ya interview, nilirudi nyumbani ila kufika niliambiwa kuwa baba ameondoka. Nilimpigia simu kumtafuta, akaniambia "nimekuachia nyumba utakaa na watoto, mimi sidhani kama naweza kuendelea kuwa mume wako tena."
Sikufanya chochote, nilikaa kimya nikijua kuwa hasira zikiisha atarudi, lakini juzi nimepewa wito wa kuitwa Baraza la usuluhishi kwani mume wangu amefungua madai ya talaka. Kaka, sijui nifanye nini. Ndoa yangu bado naipenda, sina mahusiano na baba wa mtoto; nilimpeleka tu mtoto, nashindwa kuelewa kama huyu mwanaume ananipenda kweli au la. Sikulala na X wangu na nimemwambia aongee naye, lakini hataki kabisa. Naomba ushauri wako, kaka, sijui nifanye nini?
HUPANGIWI JIPANGIE MWENYEWE SASA
Bora aisee ukaokoe jahazi!Mwambie huyo mwanaume wako aje PM
Hata kama ni chai lakini ina funzo ndani yake! Hasa sisi tunaolea na kurjuani!Mtoto ni wa kiume au kike? Safari ilikuwa ya siku ngapi? Mkoani wapi? Hii ni story ya kutunga. Chai na chapati mbili
Wacha nivae viatu vyake nione kama vitanitosha ata mimi ningesepaa mapema🤣🤣wadau huyu Dada tumshauri nn?
Mume wangu anataka kuniacha kwa kumpeleka Mtoto shule Mimi na X ambaye tulizaa kabla ya ndoa!
Mimi ni mama wa watoto 3. Mtoto wangu wa kwanza nilizaa na mwanaume mwingine ambaye tulikuwa kwenye mahusiano lakini alikuja kuoa mwanamke mwingine. Mwanzo mimi na yeye hatukuwa tunaongea kabisa kwani aliniacha vibaya, baadaye nilikutana na huyu mume wangu wa sasa. Katika mahusiano alikuwa ni mwanaume mzuri mpaka nikasahau kama nilishawahi kuumizwa.
Mpaka tunafunga ndoa, nilikuwa sifikirii kabisa kuhusu baba wa mtoto wangu, kwani huyu mume wangu alikuwa ananihudumia mimi na mwanangu kwa kila kitu. Kuna kipindi baba wa mtoto alirudi na kuomba msamaha, akasema anataka kuwa sehemu ya maisha ya mtoto na kulipa ada na mambo mengine.
Nilimkubalia na kwa kuwa ni mtoto wangu sikuona haja ya kuomba ruhusa kutoka kwa mume wangu, hivyo akaanza kulipa ada. Baadaye nililazimika kumwambia mume wangu kuwa ada inalipwa na baba yake mtoto, kwani kuna kipindi walilipa ada mara mbili shuleni.
Mume wangu alilipa ada ya mtoto bila kuniambia, wakati huo baba yake alikuwa tayari ameshalipa. Alikasirika kwa nini sikumwambia, lakini nilimwambia ni mwanangu na yule ni baba yake, hivyo ana haki zote. Tuliongea, yakasahaulika kwani watu waliniambia hata kama yeye si baba wa mtoto, kwa heshima nilitakiwa kumwambia kwani alibeba majukumu wakati baba wa mtoto kanitelekeza. Niliomba msamaha, yakamalizika, tukarudi kwenye hali nzuri.
Mtoto wangu amemaliza darasa la saba mwaka huu, na kuna shule mimi na baba yake tulipanga kumpeleka ili afanye usaili, ambayo ipo mkoani. Nilipoongea na mume wangu kumwambia kuwa tunataka kumpeleka mtoto, aliniambia hapendi hicho kitu, kwamba kama ni kumpeleka, nimpeleke mimi mwenyewe au baba yake ampeleke mwenyewe lakini si kuongozana kwenye gari moja mpaka mkoani, alikataa kabisa.
Nilijaribu kumuelewesha kuwa yule tumeshatengana naye, ni mzazi mwenza wangu tu, lakini hata hakujali. Aliniambia, "kama vipi nitakupeleka mimi, ila siwezi kukuruhusu kupanda gari moja na X wako." Nilimwambia hapana, yule ni baba yake mtoto na ana haki hivyo huwezi kunipangia. Aliniambia, "kama ukienda, ukirudi rudi huko huko." Mimi namjua mume wangu, ni mtu wa kunitishia-tishia kwani anahisi hajiamini, kwa kuwa huyo baba wa mtoto ana pesa zaidi, anaona kama ana hofu. Hivyo nilimwambia hapana.
Tulipanga na baba wa mtoto tukampeleka mtoto huko mkoani, nilimuaga lakini hakunijibu chochote. Nilienda na sikufanya chochote, hata usiku nilimpigia video call ili aone kuwa sipo chumba kimoja na huyo mwanaume, lakini hakupokea. Baada ya interview, nilirudi nyumbani ila kufika niliambiwa kuwa baba ameondoka. Nilimpigia simu kumtafuta, akaniambia "nimekuachia nyumba utakaa na watoto, mimi sidhani kama naweza kuendelea kuwa mume wako tena."
Sikufanya chochote, nilikaa kimya nikijua kuwa hasira zikiisha atarudi, lakini juzi nimepewa wito wa kuitwa Baraza la usuluhishi kwani mume wangu amefungua madai ya talaka. Kaka, sijui nifanye nini. Ndoa yangu bado naipenda, sina mahusiano na baba wa mtoto; nilimpeleka tu mtoto, nashindwa kuelewa kama huyu mwanaume ananipenda kweli au la. Sikulala na X wangu na nimemwambia aongee naye, lakini hataki kabisa. Naomba ushauri wako, kaka, sijui nifanye nini?
HUPANGIWI JIPANGIE MWENYEWE SASA
Huyu dada alikosea tu hata kwa kuliwaza tu haingii akilini mmeo akuzuwie haraf ulazimishe, baba wa kambo alikuwa sahihiKiislam hairuhusiwi kutoka na yeyote ambae siyo mumeo na anaeweza kukuowa, iwe umeolewa au hujaolewa. Na hata ukipewa rukhsa na mumeo bado hairuhusiwi Kiislam.
Sijuwi kwa imani zingine.
Kama wote hao hamjawahi kuowana kwa ndoa na mlizaa tu, hakuna mwanamme mwenye mtoto hapo, wote ni wa mama.
Wewe ni msela au tayari unaishi na mtoto wa watu? Tuanzie hapo kwanzaHuo siyo upendo ni ujinga,ubwege,ukanjanja uboya ita utakavyoita lakini kulea shahawa za mwanaume mwenzako hilo hata Mungu ataenda kukuuliza.
Kabisa kabisaUkweli wanawake ni wabinafsi sana; wanaume wana upendo hasa. Imagine una lea mtoto wa mwanaume mwenzio halafu mwanamke wako wala haoni kama kuna jambo lilikua linafanyika. Mwamba ana haki zote za kuomba muachane; wewe bado una uhusiano na X wako
omopa ndiyo nn tena?Naona omopa umekuja kivingine
nimeshauri pia tumshauri,ameridhia,dharau moja ya kibabe sana,halichelewi kuambiwa na huyo mwanaume limwekee sumu mmewe aliyelistiri kwenye shidaNa wewe unatoa wapi muda wa kusikiliza takataka hizi? Huyo mwamba alitimue tu!
hakuna hata haja ya kuvunja miguu utaishia jela Bure,ni kupiga chini unavuta chuchu konzi maisha yanaendeleaHizo dharau hamna mwanaume mwenye akili timamu ataweza kuzivumilia, tena shukuru mme wako alikuwa mstaarabu, lakini ungekutana na wanaume wasiopenda upuuzi, dharau hadi sasa ungekuwa umevunjwa either miguu au mikono
Siyo wote mwamba!Huyo mwanamke ni mpumbavu asiyehehimu mumewe ambaye ni kichwa cha familia.
By the way kuoa single maza ni moja ya upmbavu wa hali ya juu unaofanywa na wanaume
Hawa single maza ni takataka na malaya wa kutupwa
YES, Mtoto aliezaliwa nje ya ndoa halali ni wa Mama. That's allKiislam hairuhusiwi kutoka na yeyote ambae siyo mumeo na anaeweza kukuowa, iwe umeolewa au hujaolewa. Na hata ukipewa rukhsa na mumeo bado hairuhusiwi Kiislam.
Sijuwi kwa imani zingine.
Kama wote hao hamjawahi kuowana kwa ndoa na mlizaa tu, hakuna mwanamme mwenye mtoto hapo, wote ni wa mama.
ni ya ukweli na ni jirani zangu,mtoto ni jinsia ke-,mkoa siwezi toa code mkuuMtoto ni wa kiume au kike? Safari ilikuwa ya siku ngapi? Mkoani wapi? Hii ni story ya kutunga. Chai na chapati mbili