🤣🤣🤣 kwa usalama wa afya ya akili na mwili niliomba Mungu nisje owa sngle maza n bora uowe wenge CBG kuliko hz zlizo chezea uwisichana wao kwa kuzalishwa na kutelekezwa kwao n hatar kwa afya ya wanaumeMambo ya wanachadema haya
USSR
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣 kwa usalama wa afya ya akili na mwili niliomba Mungu nisje owa sngle maza n bora uowe wenge CBG kuliko hz zlizo chezea uwisichana wao kwa kuzalishwa na kutelekezwa kwao n hatar kwa afya ya wanaumeMambo ya wanachadema haya
USSR
Mtoto wa watu kwa maana kwamba na mimi nimeoa single mama nalea mwanae au?yaani mwanaume mwenzako amwemwereke amkojolee mwanamke amtie mimba akatae kulea mtoto leo ukabebe mama yake na mtoto uweke ndani na usomeshe ujione una huruma sana?Wewe ni msela au tayari unaishi na mtoto wa watu? Tuanzie hapo kwanza
Upumbavu, ujinga, kutokuwa msikivu kwa mume na kujiweka katika mazingira ya kutia shaka na 'kutest zali' la kula kote kuwili ndiyo vimekuponza.wadau huyu Dada tumshauri nn?
Mume wangu anataka kuniacha kwa kumpeleka Mtoto shule Mimi na X ambaye tulizaa kabla ya ndoa!
Mimi ni mama wa watoto 3. Mtoto wangu wa kwanza nilizaa na mwanaume mwingine ambaye tulikuwa kwenye mahusiano lakini alikuja kuoa mwanamke mwingine. Mwanzo mimi na yeye hatukuwa tunaongea kabisa kwani aliniacha vibaya, baadaye nilikutana na huyu mume wangu wa sasa. Katika mahusiano alikuwa ni mwanaume mzuri mpaka nikasahau kama nilishawahi kuumizwa.
Mpaka tunafunga ndoa, nilikuwa sifikirii kabisa kuhusu baba wa mtoto wangu, kwani huyu mume wangu alikuwa ananihudumia mimi na mwanangu kwa kila kitu. Kuna kipindi baba wa mtoto alirudi na kuomba msamaha, akasema anataka kuwa sehemu ya maisha ya mtoto na kulipa ada na mambo mengine.
Nilimkubalia na kwa kuwa ni mtoto wangu sikuona haja ya kuomba ruhusa kutoka kwa mume wangu, hivyo akaanza kulipa ada. Baadaye nililazimika kumwambia mume wangu kuwa ada inalipwa na baba yake mtoto, kwani kuna kipindi walilipa ada mara mbili shuleni.
Mume wangu alilipa ada ya mtoto bila kuniambia, wakati huo baba yake alikuwa tayari ameshalipa. Alikasirika kwa nini sikumwambia, lakini nilimwambia ni mwanangu na yule ni baba yake, hivyo ana haki zote. Tuliongea, yakasahaulika kwani watu waliniambia hata kama yeye si baba wa mtoto, kwa heshima nilitakiwa kumwambia kwani alibeba majukumu wakati baba wa mtoto kanitelekeza. Niliomba msamaha, yakamalizika, tukarudi kwenye hali nzuri.
Mtoto wangu amemaliza darasa la saba mwaka huu, na kuna shule mimi na baba yake tulipanga kumpeleka ili afanye usaili, ambayo ipo mkoani. Nilipoongea na mume wangu kumwambia kuwa tunataka kumpeleka mtoto, aliniambia hapendi hicho kitu, kwamba kama ni kumpeleka, nimpeleke mimi mwenyewe au baba yake ampeleke mwenyewe lakini si kuongozana kwenye gari moja mpaka mkoani, alikataa kabisa.
Nilijaribu kumuelewesha kuwa yule tumeshatengana naye, ni mzazi mwenza wangu tu, lakini hata hakujali. Aliniambia, "kama vipi nitakupeleka mimi, ila siwezi kukuruhusu kupanda gari moja na X wako." Nilimwambia hapana, yule ni baba yake mtoto na ana haki hivyo huwezi kunipangia. Aliniambia, "kama ukienda, ukirudi rudi huko huko." Mimi namjua mume wangu, ni mtu wa kunitishia-tishia kwani anahisi hajiamini, kwa kuwa huyo baba wa mtoto ana pesa zaidi, anaona kama ana hofu. Hivyo nilimwambia hapana.
Tulipanga na baba wa mtoto tukampeleka mtoto huko mkoani, nilimuaga lakini hakunijibu chochote. Nilienda na sikufanya chochote, hata usiku nilimpigia video call ili aone kuwa sipo chumba kimoja na huyo mwanaume, lakini hakupokea. Baada ya interview, nilirudi nyumbani ila kufika niliambiwa kuwa baba ameondoka. Nilimpigia simu kumtafuta, akaniambia "nimekuachia nyumba utakaa na watoto, mimi sidhani kama naweza kuendelea kuwa mume wako tena."
Sikufanya chochote, nilikaa kimya nikijua kuwa hasira zikiisha atarudi, lakini juzi nimepewa wito wa kuitwa Baraza la usuluhishi kwani mume wangu amefungua madai ya talaka. Kaka, sijui nifanye nini. Ndoa yangu bado naipenda, sina mahusiano na baba wa mtoto; nilimpeleka tu mtoto, nashindwa kuelewa kama huyu mwanaume ananipenda kweli au la. Sikulala na X wangu na nimemwambia aongee naye, lakini hataki kabisa. Naomba ushauri wako, kaka, sijui nifanye nini?
HUPANGIWI JIPANGIE MWENYEWE SASA
Tena huyo mwanaume muungwana sanaKuona kaburi ni muhimu sana......
Ina ukweli au kama kawaida yenu story za kutunga?, kama kweli huyo mwanamke ni mwehu na mpumbavu.wadau huyu Dada tumshauri nn?

Sasa mbona watu wanaoowa single maza wanasema wanahofu na friend match na nyie single faza mnakana?Mara chache sana mwanaume kumchukua mtoto aliye zaa nje na kukaa nae, mara chache sana. Na ikitokea mwanaume kakaa na mwanae, ni ngumu kwa mwanaume huyo kumrudia mama mtoto, ngumu sana; anaweza kupiga friend match na mwanamke mwingine but NOT her. Hi ndio tofauti yetu
Katika watu wajinga nadhani wewe huwezi kukosekana kwenye list, hebu tufanye yeye ndio wewe ungechukuliaje? hakuwahi kumtesa mtoto wako, hajakataa kwenda na wewe kumtafutia shule lakini ukasimamisha masikio juu juu kuharibu ndoa yako mwenyewe. Mume wako yuko sahihi 100%. Ningekuwa ndio mimi ningekupiga talaka huko huko safarini. Eti nimepiga video call anione sijalala naye? kwani alikwambia umelala naye? hiyo video call umepiga kama CCTV camera 24 Hrs coverage? nathubutu kusema wewe ni mwanamke mjinga na talaka unastahili.wadau huyu Dada tumshauri nn?
Mume wangu anataka kuniacha kwa kumpeleka Mtoto shule Mimi na X ambaye tulizaa kabla ya ndoa!
Mimi ni mama wa watoto 3. Mtoto wangu wa kwanza nilizaa na mwanaume mwingine ambaye tulikuwa kwenye mahusiano lakini alikuja kuoa mwanamke mwingine. Mwanzo mimi na yeye hatukuwa tunaongea kabisa kwani aliniacha vibaya, baadaye nilikutana na huyu mume wangu wa sasa. Katika mahusiano alikuwa ni mwanaume mzuri mpaka nikasahau kama nilishawahi kuumizwa.
Mpaka tunafunga ndoa, nilikuwa sifikirii kabisa kuhusu baba wa mtoto wangu, kwani huyu mume wangu alikuwa ananihudumia mimi na mwanangu kwa kila kitu. Kuna kipindi baba wa mtoto alirudi na kuomba msamaha, akasema anataka kuwa sehemu ya maisha ya mtoto na kulipa ada na mambo mengine.
Nilimkubalia na kwa kuwa ni mtoto wangu sikuona haja ya kuomba ruhusa kutoka kwa mume wangu, hivyo akaanza kulipa ada. Baadaye nililazimika kumwambia mume wangu kuwa ada inalipwa na baba yake mtoto, kwani kuna kipindi walilipa ada mara mbili shuleni.
Mume wangu alilipa ada ya mtoto bila kuniambia, wakati huo baba yake alikuwa tayari ameshalipa. Alikasirika kwa nini sikumwambia, lakini nilimwambia ni mwanangu na yule ni baba yake, hivyo ana haki zote. Tuliongea, yakasahaulika kwani watu waliniambia hata kama yeye si baba wa mtoto, kwa heshima nilitakiwa kumwambia kwani alibeba majukumu wakati baba wa mtoto kanitelekeza. Niliomba msamaha, yakamalizika, tukarudi kwenye hali nzuri.
Mtoto wangu amemaliza darasa la saba mwaka huu, na kuna shule mimi na baba yake tulipanga kumpeleka ili afanye usaili, ambayo ipo mkoani. Nilipoongea na mume wangu kumwambia kuwa tunataka kumpeleka mtoto, aliniambia hapendi hicho kitu, kwamba kama ni kumpeleka, nimpeleke mimi mwenyewe au baba yake ampeleke mwenyewe lakini si kuongozana kwenye gari moja mpaka mkoani, alikataa kabisa.
Nilijaribu kumuelewesha kuwa yule tumeshatengana naye, ni mzazi mwenza wangu tu, lakini hata hakujali. Aliniambia, "kama vipi nitakupeleka mimi, ila siwezi kukuruhusu kupanda gari moja na X wako." Nilimwambia hapana, yule ni baba yake mtoto na ana haki hivyo huwezi kunipangia. Aliniambia, "kama ukienda, ukirudi rudi huko huko." Mimi namjua mume wangu, ni mtu wa kunitishia-tishia kwani anahisi hajiamini, kwa kuwa huyo baba wa mtoto ana pesa zaidi, anaona kama ana hofu. Hivyo nilimwambia hapana.
Tulipanga na baba wa mtoto tukampeleka mtoto huko mkoani, nilimuaga lakini hakunijibu chochote. Nilienda na sikufanya chochote, hata usiku nilimpigia video call ili aone kuwa sipo chumba kimoja na huyo mwanaume, lakini hakupokea. Baada ya interview, nilirudi nyumbani ila kufika niliambiwa kuwa baba ameondoka. Nilimpigia simu kumtafuta, akaniambia "nimekuachia nyumba utakaa na watoto, mimi sidhani kama naweza kuendelea kuwa mume wako tena."
Sikufanya chochote, nilikaa kimya nikijua kuwa hasira zikiisha atarudi, lakini juzi nimepewa wito wa kuitwa Baraza la usuluhishi kwani mume wangu amefungua madai ya talaka. Kaka, sijui nifanye nini. Ndoa yangu bado naipenda, sina mahusiano na baba wa mtoto; nilimpeleka tu mtoto, nashindwa kuelewa kama huyu mwanaume ananipenda kweli au la. Sikulala na X wangu na nimemwambia aongee naye, lakini hataki kabisa. Naomba ushauri wako, kaka, sijui nifanye nini?
HUPANGIWI JIPANGIE MWENYEWE SASA
Anaye oa ni nani? Mwanaume hawezi kuwa sawa na mwanamke na wala msitake kujifananishaSio tu single maza, hata singo faza kuaga anaenda kuonana na mzazi mwenzie yale yale......
Kaburi muhimu sana wanachama
Yawezekana hata sehemu ya hao watoto sio wakeKazi kweli kweli
Hata mimi siwezi kuendelea kuwa na wewe kama mke wangu sababu hauheshimu kile nachokwambia usikifanye
Video call haiwezi kuniaminisha kuwa umelala mwenyewe
Kwa uchache na kwa ufupi sana bado upo kwenye mahusiano na huyo X wako(BADO MNAKULANA)
Hiyo ni kwa imani yako, sasa msimamo wa imani yako siyo msimamo wa dunia acha ujinga, kwa imani yangu hakuna mtoto haramu, wala mtoto wa zinaa mtoto ni mtoto tu ilimradi kazaliwa.Hakuna singomaza wala singo faza. Msiondoshe makali ya maneno, watoto wa zinaa hao. Kiswahili tunasema watoto wa haramu.
Nakuja na mada ya ma singo maza.
Single Maza huwa wanaabudu mizimu. Hata ukimuoa ataendelea kumpenda marehemu kuliko wewe. Huwa wanasherehekea birthday za marehemu. KIMSINGI MWANAMKE ALIYEZAA KABLA YA NDOA AMELAANIKA.Kuona kaburi ni muhimu sana......
Hapana hii inaweza inaweza kuwa ni story ya kweli maana nimesha shuhudia kisa kama hicho hicho nikiwa mahali fulan , ila nilicho jifunza wanawake wa pwani ni watu wasio jali kabisa hii tasnia ya ndoaHata kama ni chai lakini ina funzo ndani yake! Hasa sisi tunaolea na kurjuani!