Mume kumgeuza rafiki ndio kila kitu kwake

Pole dada uyo mume wako atakua SHOGA, yes yaani baba junior ni punga either anakazwa au anamkaza uyo rafiki ake wa mbagala.

Machoko wengi sana mjini hapa
Ova
 
Pambana ukiwa ndani, usije kuacha mume kwa ajili ya mpita njia, mtafute Mungu kwa maombi atakusaidia[emoji123]
 
Itabidi nikupigie unipe vizuri hii story huku nikibembelezwa na sauti yako laini 😊
 
Huyo mumeo ni mwanamke mwenzio, ukiendelea kuchunguza zaidi utagundua mambo mabaya sana.
 
Karma will take place
 
Ndo iwe hatua hiyooo? Mmmmmh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ina maan docs za nyumba na ardhi zilikua jina la nani?
Khaaaaaaah.
 
No 1 ndo iko on fleak, afu no 1 imefanywa na mtu no 1.
 
We dada nakuibia siri, huyo rafiki wa mme wako ni mke mwenzako, either mumeo anakula au analiwa chunguza utaleta mrejesho hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaaaa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…