Gratefulheart
Member
- Dec 14, 2024
- 43
- 51
Bibie ongeza umri kidogo basi ili nijipime usaili.Halafu,hapo kwenye elimu jitahidi usitutenge sisi tulioishia elimu ya kutuwezesha kusoma magazeti/wasomi wa magazeti.Tutakufaa maishani.Fanya kahuruma.Mwanamke miaka 33 natafuta mume ambaye yuko serious kuanza maisha ya familia pamoja,awe na sifa zifuatazo.
umri kuanzia miaka 33 hadi 40
awe Mkristo
Elimu kuanzia bachelor degree na....
awe ameajiriwa/kujiajiri
kama hana mtoto au anaye ni sawa
awe mrefu.
Mimi
miaka 33,mkristo,sina mtoto
Elimu: shahada 1
nafanya kazi,makazi Dar
ni mrefu, asili kanda ya ziwa
Nimeambatanisha picha siyo yangu halisi ila inaelekeana kidogo na jinsi nilivyo mwili,rangi mweusi kidogo na urefu.
Kama unafit karibu.
Naomba kujua umuhimu wa degree kwenye ndoaElimu kuanzia bachelor degree na....
Haujaona imesindikizwa na ..."ajiriwa"...!Maokoto yawe manene.Kwa ufupi asiende muokota chupa barabarani.Naomba kujua umuhimu wa degree kwenye ndoa
Kazi kweli kweli..!Haujaona imesindikizwa na ..."ajiriwa"...!Maokoto yawe manene.Kwa ufupi asiende muokota chupa barabarani.
Kufundisha watoto wa familia kiingereza cha awali na hesabu.Mungu akupe sawa sawa na haja ya moyo wako but naomba kuuliza , Degree yake itasaidia Nini kwenye ndoa ?😀😀😀
Kazi kazini.Haina kudeka.Kazi kweli kweli..!
Akiwa hana kazi/hela hamtutaki..?Mwanamke miaka 33 natafuta mume ambaye yuko serious kuanza maisha ya familia pamoja,awe na sifa zifuatazo.
umri kuanzia miaka 33 hadi 40
awe Mkristo
Elimu kuanzia bachelor degree na....
awe ameajiriwa/kujiajiri
kama hana mtoto au anaye ni sawa
awe mrefu.
Mimi
miaka 33,mkristo,sina mtoto
Elimu: shahada 1
nafanya kazi,makazi Dar
ni mrefu, asili kanda ya ziwa
Nimeambatanisha picha siyo yangu halisi ila inaelekeana kidogo na jinsi nilivyo mwili,rangi mweusi kidogo na urefu.
Kama unafit karibu.
AiseeeMwanamke miaka 33 natafuta mume ambaye yuko serious kuanza maisha ya familia pamoja,awe na sifa zifuatazo.
umri kuanzia miaka 33 hadi 40
awe Mkristo
Elimu kuanzia bachelor degree na....
awe ameajiriwa/kujiajiri
kama hana mtoto au anaye ni sawa
awe mrefu.
Mimi
miaka 33,mkristo,sina mtoto
Elimu: shahada 1
nafanya kazi,makazi Dar
ni mrefu, asili kanda ya ziwa
Nimeambatanisha picha siyo yangu halisi ila inaelekeana kidogo na jinsi nilivyo mwili,rangi mweusi kidogo na urefu.
Kama unafit karibu.
Tena yawe yameshiba maokotooHaujaona imesindikizwa na ..."ajiriwa"...!Maokoto yawe manene.Kwa ufupi asiende muokota chupa barabarani.
Kama una kazi yako wewe safi.Mwanamke miaka 33 natafuta mume ambaye yuko serious kuanza maisha ya familia pamoja,awe na sifa zifuatazo.
umri kuanzia miaka 33 hadi 40
awe Mkristo
Elimu kuanzia bachelor degree na....
awe ameajiriwa/kujiajiri
kama hana mtoto au anaye ni sawa
awe mrefu.
Mimi
miaka 33,mkristo,sina mtoto
Elimu: shahada 1
nafanya kazi,makazi Dar
ni mrefu, asili kanda ya ziwa
Nimeambatanisha picha siyo yangu halisi ila inaelekeana kidogo na jinsi nilivyo mwili,rangi mweusi kidogo na urefu.
Kama unafit karibu.